Tundu Lissu: Kuna mtu ana ugonjwa mbaya wa kutaka kusifiwa muda wote hata kwa mambo ambayo sio ya kweli

Hahahahaha lo! You are mad Bro!? Povu la nini sasa!? JINYONGE ZERO BRAINS wenzio watakulilia ju.ha mkubwa wewe! Hata waliowahi kushika nafasi za juu za uongozi ndani ya CCM na Serikalini wanaona huyo dhalimu jinsi nchi ilivyomshinda lakini weye ZERO BRAIN bado umekazana kumpamba tu ili kuganga njaa zako pimbi wewe!!!

Mwinyi: Nchi sasa inakwenda kama Gari bovu
Haha hahaaa a, Ivi kichwa chako kina funza? soma post ya kwanza utaelewa kama nashabikia huo ukichaa kama wewe.. Acha kinifananisha na CCM au CHADEMA... Wote hao wapo kimaslahi tu.. Sasa wewe jidanganganye hata hao waliokuajiri kuwa mdomo wao mtandaoni... Wanasiasa wote ni waongo, utatumika kwa huo ujira waliokubebesha hadi utie akili. You can't be serious 24 hours herein JF. SIMUAMINI YEYOTE mimi na siwezi kuwa chini ya hao unaodhani.
Upo?
 
Wewe ni taahira tu huwezi kubainisha uongo na ukweli kutokana na ufinyu wa akili yako. Achana na kudumaza akili yako ZWAZWA.

Jaji Warioba: Nchi imepoteza mwelekeo, inaendeshwa na matukio



Haha hahaaa a, Ivi kichwa chako kina funza? soma post ya kwanza utaelewa kama nashabikia huo ukichaa kama wewe.. Acha kinifananisha na CCM au CHADEMA... Wote hao wapo kimaslahi tu.. Sasa wewe jidanganganye hata hao waliokuajiri kuwa mdomo wao mtandaoni... Wanasiasa wote ni waongo, utatumika kwa huo ujira waliokubebesha hadi utie akili. You can't be serious 24 hours herein JF. SIMUAMINI YEYOTE mimi na siwezi kuwa chini ya hao unaodhani.
Upo?
 
Lisu hana jipya, mwulizeni Dr Kigwangala maana ndo alikuwa daktari wake UGONJWA WA AKILI. Kuna kipindi alikuwa anaunga mkono bungeni anapiga meza kwa mikono yake mpaka inaharibika. Akili za Antipas haziko sawa
 
Kuna mtu ana ugonjwa mbaya wa kutaka kusifiwa muda wote hata kwa mambo ambayo sio ya kweli. Ugonjwa huu nauita 'Attention Deficiency Syndrome' au ADS. Nitoe mfano halisi wa dalili za ADS.

Leo Joe Mbilinyi 'Sugu' na Katibu wa Kanda Emmanuel Masonga wameachiliwa huru baada ya kukaa gerezani miezi mitatu kwa chuki na hila za kisiasa tu.

Mara ghafla tunawasikia wapambe Magufuli wakisema Sugu na Masonga wameachiliwa kwa msamaha wa Rais na jina la Bwana Mtukufu Rais lihimidiwe!!!

Kama kweli wameachiliwa kwa msamaha wa Rais, kwa nini imechukua wiki mbili tangu tarehe 26 Aprili inayodaiwa kuwa ndio siku ya msamaha huo???

Kwa nini Magufuli mwenyewe hakusema ametoa msamaha huo kwa Sugu na Masonga???

Kama kuna mtu anafikiri hilo haliwezekani, akumbuke Rais Ali Hassan Mwinyi alifanya nini kwa wanajeshi waliofungwa maisha kwa kujaribu kuipindua Serikali ya Mwalimu Nyerere.

Mwinyi alitoa taarifa rasmi kwamba amewapa msamaha wahaini hao. Hiyo ilikuwa mwaka '95 kabla ya Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa vyama vingi.

Tuendelee. Kila mfungwa, ukiachia waliofungwa kipindi kirefu kwa makosa makubwa au waliohukumiwa kifo, anastahili kupata automatic remission ya theluthi moja ya kifungo chake.

Remission hii ilikuwa inawahusu Sugu na Masonga vile vile. Je, hawakuipata??? Kama wameipata kama inavyotakiwa na sheria, hiki kinachoitwa msamaha wa Rais ni kitu gani kama sio uthibitisho wa ugonjwa wa ADS???

Lissu, Ubelgiji,
10 Mei 2018.
Hata vichaa huamini wao ni wazima na wale tunaojiweka kundi la wazima tunaangaliwa kama vichaa mbele ya macho ya kichaa. Huyu jamaa ni mzima?
 
Back
Top Bottom