Tundu Lissu kumrithi Dr. Slaa


Mkuu kwa watu wanaoendelea kufaidika na maovu ya mfumo wa kifisadi wa ccm,lazima wataendelea kupigana hadi tone la damu yao ya mwisho ili ccm ibakie madarakani
 
Sitamlaumu Dr.Slaa wala Mnyika.Ninawasupport maana wanasimamia wanachokiamini.J J Mnyika go back to school.Ukirudi kutakuja chama kitakachokuwa kinawajali watanzania.

Kwa Dr.Slaa utaheshimika zaidi ukiamua kwa Busara na Hekima.
 
Sijaweweseka mkuu na sina sababu ya kuwa hivyo. Nimeandika haya nikiwa na akili timamu

Wewe kwa sasa huwezi kuwa na akili timamu hasa baada ya laana ya kumpiga mzee wetu,utatujua wana mara
 

kwani were ndio msemaji wa chadema mbona utuhabarishi kinacho endelea huko Lindi dhidi ya bao la bafuni
 
Inaonekana CHADEMA wakiingia madarakani Mtei atatangazwa kuwa Baba Mpya wa Taifa

Mkuu kwani hicho cheo si huwa wanapewa marais wastaafu? Kwani jk tutamuita nani?
 
Mh!!! Leteni habari za kweli hapa sio mnakaa na kuota asubuhi mnatueleza mlichoota.
 
Kwa nini mnaongelea matatizo ya ukawa na kuacha kuongelea ya kwenu ndani ya ccm?Toa boriti kwenye jicho lako ndipo uweze kuona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.Very simple.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…