Hujaelewa mtoa mada anataka nini. Suala si summons.........ila mahala alipopewa hiyo sumans, angepewa akiwa nje ya bungeSummons ni wito wa kisheria wa mahakama kwa mshitakiwa, mlalamikaji au shahidi kwenda mahakamani. Hivyo Lissu kupelekewa summons si lazima awe mtuhumiwa; hivyo tusubiri tujuwe huo wito ni wa nini!! Ni Mtuhumiwa , Mlalamikaji au Shahidi?
Lusinde went on and on about him being one of the poorest guys to hit BUNGENI..he wants some sympathy out of his heroic outsy of Mzee MalecelaIngekuwa mafisadi nao wanapelekewa summons popote walipo tungekuwa mbali sana, naona hata Lowassa leo katabasamu Bungeni wakati John Lusinde akimfagilia eti "kwa kujiuzulu kwa makosa ya watu wengine!" Huyu dogo Lusinde hajui kwamba Lowassa na Dowans ni kama uji na mgonjwa? Ama kweli Bunge limetekwa!
...Kama nimeelewa, ina maana bunge kudharauliwa haina maslahi kwa umma?
Lusinde went on and on about him being one of the poorest guys to hit BUNGENI..he wants some sympathy out of his heroic outsy of Mzee Malecela
To me he wants people to start associating themselves with his cheap ideologies..he's just an %&¤ kisser and a blue eyed boy of Bunge.. A status that sadly lasts in a day..
Mhandisi mwandamizi wa mifumo na njia kUu za umeme
Tatizo la Lisu ni papara, anapaswa kuvipitia vifungu vya sheria ya bunge kabla hajakurupuka kuomba muongozo wa spika kutafuta cheap populality, kama sikosea hii mara ya nne sasa namuona lisu anaomba muongoza kwa papara na makinda anatumia nafasi hiyo kumzima na kumfanya aonekane hajui asemalo.
Lisu aliomba muongozo kupitia kifungu cha komba hoja ya dharura kuwa kapewa samansi wakati kikako kinaendelea na kanuni za bunge hazirunusu.
Makinda akamtaka asome mazingira ya kuwa na hoja ya dharura, ndipo ikaonekana hai-fit na akamshauri hayo ni mambo ya kwenda ofisini na kumaliza kwa mujibu wa vifungu vya kanuni za bunge na si swala la hoja ya dharura
Nimeipenda hii.Umeulizwa summons kwa kesi ipi? wewe unasema kesi nyingi!!
Yani unajibu kimbayuwayu tu!
Lissu kaomba bunge lisitishwe ili ijadiliwe hoja ya dharura. Alipoulizwa kuhusu nini akasema kutokana na yeye kama mbunge kuletewa sumons aripoti kwa jaji Mwangesi.
Akasoma vifungu vya sheria kuwa mbunge hawezi kuandikiwa sumons wakati bunge linaendelea hivyo bunge lijadili na kutoa tamko kuwa limedharauliwa. Mh Lissu hakupewa nafasi ya kueleza summons hiyo imetokana na tuhuma zipi au madai gani, bali spika alimwambia akae kwani hilo halina maslahi kwa umma.
Nadhan mmepata picha.
Summons ni wito wa kisheria wa mahakama kwa mshitakiwa, mlalamikaji au shahidi kwenda mahakamani. Hivyo Lissu kupelekewa summons si lazima awe mtuhumiwa; hivyo tusubiri tujuwe huo wito ni wa nini!! Ni Mtuhumiwa , Mlalamikaji au Shahidi?
Sasa Makinda alitumia ubabe sababu anayehusika ni mpinzani. Kwa kuwa mambo hayo yapo kwenye kanuni alipaswa kulitolea ufafanuzi. Kumnyofoa mbunge akiwa kwenye harakati katika muhimili wake ni dharau ambayo alipaswa kuitetea isitokee. Kesho ikitokea kwa mccm na au spika mwenyewe atatoa kauli aliyoitoa?[/QUOTE]
haiwezi kutokea kwa ccm sababu mahakama zimekaa kiccm na ndo maana wanamsummon TL akiwa mjengoni
Rimbumbu ra sheria rinakurupuka tu kuongea. Watu wengine bwana. Mpotezee tuni hatari sana kuropoka ropoka tu..... summons siyo lazima uwe na kesi... court summons unaweza pewa kwa ajili ya kutoa ushahidi kama state witness .....
wewe kishongo umerudi tena na akili yako yenye makengeza
Lissu kaomba bunge lisitishwe ili ijadiliwe hoja ya dharura. Alipoulizwa kuhusu nini akasema kutokana na yeye kama mbunge kuletewa sumons aripoti kwa jaji Mwangesi.
Akasoma vifungu vya sheria kuwa mbunge hawezi kuandikiwa sumons wakati bunge linaendelea hivyo bunge lijadili na kutoa tamko kuwa limedharauliwa. Mh Lissu hakupewa nafasi ya kueleza summons hiyo imetokana na tuhuma zipi au madai gani, bali spika alimwambia akae kwani hilo halina maslahi kwa umma.
Nadhan mmepata picha.
Ana kesi kibao huyu.
Alidhania akipata ubunge atakuwa ameukimbia mkono wa sheria.
Judge hawezi kukurupuka kumtumia summons, there are very serious issues.
Aache kulalama na kuyumbisha bunge likiwa kazini, hakuna wa kumwonea huruma mhalifu.
Sheria ni msumeno, apambane na kesi yake.