Tundu Lissu kuitwa na Mahakama akiwa Bungeni

PrN-kazi

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
2,900
444
Ni haki kumletea wito wa mahakama Mbunge ndani Bunge, akiendelea na shughuli za kitaifa!! Bunge kama limefikia hatua kama hii ya kudharaulika ni hatari; kwanza huyo aliyempa Tundu Lissu summons ngani ya Bunge kapitia wapi?
 
Asante kwa hiyo post. Nadhani hawa watu wamechoka amani. Huwezi kuipuuza nguvu na influence ya chadema. They must be serious
 
Summons kwa kesi ipi wandugu?

Ana kesi kibao huyu.

Alidhania akipata ubunge atakuwa ameukimbia mkono wa sheria.

Judge hawezi kukurupuka kumtumia summons, there are very serious issues.

Aache kulalama na kuyumbisha bunge likiwa kazini, hakuna wa kumwonea huruma mhalifu.

Sheria ni msumeno, apambane na kesi yake.
 
Tatizo la Lisu ni papara, anapaswa kuvipitia vifungu vya sheria ya bunge kabla hajakurupuka kuomba muongozo wa spika kutafuta cheap populality, kama sikosea hii mara ya nne sasa namuona lisu anaomba muongoza kwa papara na makinda anatumia nafasi hiyo kumzima na kumfanya aonekane hajui asemalo.

Lisu aliomba muongozo kupitia kifungu cha komba hoja ya dharura kuwa kapewa samansi wakati kikako kinaendelea na kanuni za bunge hazirunusu.

Makinda akamtaka asome mazingira ya kuwa na hoja ya dharura, ndipo ikaonekana hai-fit na akamshauri hayo ni mambo ya kwenda ofisini na kumaliza kwa mujibu wa vifungu vya kanuni za bunge na si swala la hoja ya dharura
 
Haya bwana, ngoja tuone mbichi itajulikana, mwenye kesi na ambaye hana kesi. But it will remain to be historical.
 
Ana kesi kibao huyu.

Alidhania akipata ubunge atakuwa ameukimbia mkono wa sheria.

Judge hawezi kukurupuka kumtumia summons, there are very serious issues.

Aache kulalama na kuyumbisha bunge likiwa kazini, hakuna wa kumwonea huruma mhalifu.

Sheria ni msumeno, apambane na kesi yake.
Umeulizwa summons kwa kesi ipi? wewe unasema kesi nyingi!!
Yani unajibu kimbayuwayu tu!
 
Ana kesi kibao huyu.

Alidhania akipata ubunge atakuwa ameukimbia mkono wa sheria.

Judge hawezi kukurupuka kumtumia summons, there are very serious issues.

Aache kulalama na kuyumbisha bunge likiwa kazini, hakuna wa kumwonea huruma mhalifu.

Sheria ni msumeno, apambane na kesi yake.

ni hatari sana kuropoka ropoka tu..... summons siyo lazima uwe na kesi... court summons unaweza pewa kwa ajili ya kutoa ushahidi kama state witness .....

wewe kishongo umerudi tena na akili yako yenye makengeza
 
Ana kesi kibao huyu.

Alidhania akipata ubunge atakuwa ameukimbia mkono wa sheria.

Judge hawezi kukurupuka kumtumia summons, there are very serious issues.

Aache kulalama na kuyumbisha bunge likiwa kazini, hakuna wa kumwonea huruma mhalifu.

Sheria ni msumeno, apambane na kesi yake.

Kesi ipi si mbona hueleweki? Tushawazoea mafisadi na sera za maji taka!
 
Naam, kumekucha! CCM wenyewe walisema ni bora kuwa na akina Dr slaa 5 Bungeni kuliko Tundu Lissu mmoja Bungeni. Na bado, ndiyo mwanzo! CCM safari hii nguo zote chini!!!
 
Unajua kusema Tundu Lissu amepewa summons ni sawa na wewe kuambiwa kuwa mkeo kajifungua halafu hujaambiwa ni mtoto wa kike au wa kiume, taarifa inakuwa si timilifu.

Amepewa summons ya nini? Kesi gani anayotakiwa kwenda kujibia. Kama huna hoja jamani ni bora tukaa kimya kuliko kukurupuka tu.
 
Tafadhalini wana JF tufahamisheni wenzenu kwanini lisu amepewa summon bungeni ? sio kupeana maneno ya ushabiki tu. Jamani lisu ni mtu wa watu ndio maana watu wengi wanataka kujua kwanini amaitwa mahakamani. Anayejua atufahamishe.
 
anayefahamu atufahamishe jamani tunataka kujua sababu ni nini au ndio mpango wa CCM. Tunaomba jamani mtujulishe.
 
Lissu kaomba bunge lisitishwe ili ijadiliwe hoja ya dharura. Alipoulizwa kuhusu nini akasema kutokana na yeye kama mbunge kuletewa sumons aripoti kwa jaji Mwangesi.

Akasoma vifungu vya sheria kuwa mbunge hawezi kuandikiwa sumons wakati bunge linaendelea hivyo bunge lijadili na kutoa tamko kuwa limedharauliwa. Mh Lissu hakupewa nafasi ya kueleza summons hiyo imetokana na tuhuma zipi au madai gani, bali spika alimwambia akae kwani hilo halina maslahi kwa umma.

Nadhan mmepata picha.
 
Nguvu tu ya chama tawala kupunguza mabomu bungeni na makinda kujibu haina maslahi kwa umma kwani ye kaenda kuuza njugu mjengoni au...? Jaman wanasheria mnalitambua hilo swala tuwekane wazi of what is behind the scene....
 
Tatizo la Lisu ni papara, anapaswa kuvipitia vifungu vya sheria ya bunge kabla hajakurupuka kuomba muongozo wa spika kutafuta cheap populality, kama sikosea hii mara ya nne sasa namuona lisu anaomba muongoza kwa papara na makinda anatumia nafasi hiyo kumzima na kumfanya aonekane hajui asemalo.

Lisu aliomba muongozo kupitia kifungu cha komba hoja ya dharura kuwa kapewa samansi wakati kikako kinaendelea na kanuni za bunge hazirunusu.
Makinda akamtaka asome mazingira ya kuwa na hoja ya dharura, ndipo ikaonekana haifit na akamshauri hayo ni mambo ya kwenda ofisini na kumaliza kwa mujibu wa vifung vya kanuni za bunge na si swala la hoja ya dharura

hii hoja yako inahusiana nini na hiyo summons, au ameletewa summons kwa sababu anaomba mwongozo wa spika mara kwa mara, mtashindwa na mtalegea vizabizabina
 
Ana kesi kibao huyu.

Alidhania akipata ubunge atakuwa ameukimbia mkono wa sheria.

Judge hawezi kukurupuka kumtumia summons, there are very serious issues.

Aache kulalama na kuyumbisha bunge likiwa kazini, hakuna wa kumwonea huruma mhalifu.

Sheria ni msumeno, apambane na kesi yake.

Kesi kibao siyo jibu, taja hata moja. Kama sheria ni msumeno kwa nini isitumike kwa watuhumiwa wa ufisadi walio wazi? Acha ushabiki...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom