Tundu Lissu kuhutubia Taifa 7/9/2022

Tundu Lissu kuhutubia Taifa 7/9/2022

porojo tu na kujifariji, Taifa gani ambalo alihutubie? Kwa Sera na ajenda zipi? Watanzania waache kumsikiliza na kumfuatilia mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani waanze kupoteza muda huko kwa Lisu? Watanzania kwa Sasa masikio na akili yao Ni kwa Rais Samia tu
Heeee HeeenHeeee!

Umejipambanuakweli kweli kuwa huko kichwani hakuna kitu!

Kila siku maneno yaleyale, hivi hata huoni aibu ya kuyarudia kila mara?

Kama unalipwa kwa kazi hii unayofanya hapa JF, huyo anayekulipa hajui thamani ya pesa anazopoteza kwa mtu kama wewe.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
View attachment 2349126

Hii ndio taarifa ya dharula iliyosambazwa kwa Wananchi wote na chama chake , kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Mh Tundu Lissu , Mgombea Urais wa Chadema kwenye uchaguzi wa 2020 , ambaye hotuba zake za kampeni ( ZILIZOITWA SPANA ) zimetajwa na dunia kusababisha Magonjwa ya Moyo kwa wanaccm , na huku wengine wakipoteza maisha , Leo Saa tatu (3:00) Usiku kwa saa za Tanzania ATAHUTUBIA TAIFA , hotuba ambayo itarushwa moja kwa moja kwenye mitandao yote ya kijamii Duniani .

Ikumbukwe kwamba siku kama ya leo mwaka 2017 , huko Dodoma kwenye majengo ya Mawaziri na wabunge , Lissu alishambuliwa na kikosi maalum kwa lundo la risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua , hasa baada ya hoja zake za kupinga udikteta kukosa majibu kwenye Majukwaa ya Kisiasa .

Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Leo Lissu bado angali hai na mwenye afya na nguvu .

Ngoja tujiandae kumsikiliza .
Huyo mwamba amebarikiwa sana.
 
Heeee HeeenHeeee!

Umejipambanuakweli kweli kuwa huko kichwani hakuna kitu!

Kila siku maneno yaleyale, hivi hata huoni aibu ya kuyarudia kila mara?

Kama unalipwa kwa kazi hii unayofanya hapa JF, huyo anayekulipa hajui thamani ya pesa anazopoteza kwa mtu kama wewe.
Hanaga pointi huyo ana ID kibao humu.

Huyo ni Kamanda Asiyechoka
 
Ni Yeye !

ELIAH_NGASE%F0%9F%85%B0_on_Instagram%3A_%E2%80%9CNiyeye!!!!%E2%80%9D%22_.jpg
 
Ahadi ya kurudi nyumbani imemshinda kutimiza? Kila mwezi anaahidi kurudi sasa anamdanganya nani si aseme tu kama amenogewa na mavituzi ya Amsterdam.
Kwani hakutumii matumizi ya mtoto?
Mwombee arudi salama akushughulikie ukate kiu
 
Sema atahutubia Chadema na sio Taifa
Msikilize kwa makini Lissu kasema nini katika hotuba yake hiyo ya miaka 5 ya siku ya shambulio lake. Kisha nitafutie kiongozi yeyote wa CCM aliye hai mwenye uwezo wa kupangilia hotuba yake kiakili kama Lissu umtaje.
Ni ndefu kidogo ila kama una uhaba wa MB za kusikilizia njoo inbox nikutumie fedha kidogo kugharamia. Please kuwa huru

Nitumie hizo MB na umejuaje kama bundle langu ndio laishia
 
Back
Top Bottom