Tundu Lissu kuhutubia Taifa 7/9/2022

Tundu Lissu kuhutubia Taifa 7/9/2022

View attachment 2349126

Hii ndio taarifa ya dharula iliyosambazwa kwa Wananchi wote na chama chake , kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Mh Tundu Lissu , Mgombea Urais wa Chadema kwenye uchaguzi wa 2020 , ambaye hotuba zake za kampeni ( ZILIZOITWA SPANA ) zimetajwa na dunia kusababisha Magonjwa ya Moyo kwa wanaccm , na huku wengine wakipoteza maisha , Leo Saa mbili (2:00) Usiku kwa saa za Tanzania ATAHUTUBIA TAIFA , hotuba ambayo itarushwa moja kwa moja kwenye mitandao yote ya kijamii Duniani .

Ikumbukwe kwamba siku kama ya leo mwaka 2017 , huko Dodoma kwenye majengo ya Mawaziri na wabunge , Lissu alishambuliwa na kikosi maalum kwa lundo la risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua , hasa baada ya hoja zake za kupinga udikteta kukosa majibu kwenye Majukwaa ya Kisiasa .

Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Leo Lissu bado angali hai na mwenye afya na nguvu .

Ngoja tujiandae kumsikiliza .
Kumekucha
 
Ni Yeye
 
Ahadi ya kurudi nyumbani imemshinda kutimiza? Kila mwezi anaahidi kurudi sasa anamdanganya nani si aseme tu kama amenogewa na mavituzi ya Amsterdam.
Fatilia acha kuropokwa amemuomba raisi amuhakikishie usalama wake na alipwe fedha za matibabu aliyojigaramia badala ya kugaramiwa na bunge au serikali,anacho subiri tamko la wazi la serikari tuu na siyo ujinga unao ongea wew kubwa jinga nazi
 
porojo tu na kujifariji, Taifa gani ambalo alihutubie? Kwa Sera na ajenda zipi? Watanzania waache kumsikiliza na kumfuatilia mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani waanze kupoteza muda huko kwa Lisu? Watanzania kwa Sasa masikio na akili yao Ni kwa Rais Samia tu
 
Yaani kuskia hii taarifa mm moyo mweupee sema neno Rais roho yangu ipone
 
Ngoja niweke bando nimsikilize. Naamini mpaka kuanzia wa kule Mtama hadi wale wa kisiwandui watamsikiliza
Kwa ushawishi gani alionao? Hukuona alivyokataliwa na watanzania uchaguzi uliopita alipokuja kuwahadaa watanzania kuwa anataka kuwa Rais halafu mfukoni anatiketi ya ndege kwenda ubelgiji

halafu anawaambia watanzania waandamane, kwa bahati nzuri watanzania siyo wajinga wakamwambia andamana mwenyewe, hata wewe tu uligoma kuandamana
 
Mbona wewe upo Tanzania na upo salama, Tanzania chini ya mama shupavu Samia suluhu Hassani Ni salama na imara Sana, yeye Kama anataka kukaa huko akae tu Wala asilete mashariti kwa mtu, nchi hii Ni salama Sana na ndio maana hata wewe umepata muda wa kuandika mbwembwe zako hapa
Fatilia acha kuropokwa amemuomba raisi amuhakikishie usalama wake na alipwe fedha za matibabu aliyojigaramia badala ya kugaramiwa na bunge au serikali,anacho subiri tamko la wazi la serikari tuu na siyo ujinga unao ongea wew kubwa jinga nazi
 
Kwa ushawishi gani alionao? Hukuona alivyokataliwa na watanzania uchaguzi uliopita alipokuja kuwahadaa watanzania kuwa anataka kuwa Rais halafu mfukoni anatiketi ya ndege kwenda ubelgiji

halafu anawaambia watanzania waandamane, kwa bahati nzuri watanzania siyo wajinga wakamwambia andamana mwenyewe, hata wewe tu uligoma kuandamana
929932BD-950E-4A5A-9A12-3ADF3BB243EE.jpeg
 
Back
Top Bottom