Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,692
- 26,208
Halafu walivyokuwa na kiherehere hawa jamaa duh. Haya mahojiano yalifanywa siku kadhaa nyuma na kipande kilishaonyeshwa kwenye tarifa ya habari Azam TWO, lakini wao wanasema Lisu atafanya mahojiano Jumatatu. Hakuna jipya hapo.Angalau Chadema itatoka ICU maana Kakobe alikuwa anaizidi CDM kwa umaarufu, wote waliufyata angalau Sasa tutawaona kina Mbowe kwenye press conference za Lissu