Tundu Lissu kufanya mahojiano na Azam Tv tarehe 01, Januari 2018

Angalau Chadema itatoka ICU maana Kakobe alikuwa anaizidi CDM kwa umaarufu, wote waliufyata angalau Sasa tutawaona kina Mbowe kwenye press conference za Lissu
Halafu walivyokuwa na kiherehere hawa jamaa duh. Haya mahojiano yalifanywa siku kadhaa nyuma na kipande kilishaonyeshwa kwenye tarifa ya habari Azam TWO, lakini wao wanasema Lisu atafanya mahojiano Jumatatu. Hakuna jipya hapo.
 
..sidhani kama kuna jambo jipya litapatikana kutokana na mahojiano hayo.

..tatizo ni ndugu zetu waandishi wa kiTz kukosa weledi na ujasiri wa kuuliza maswali magumu.
Hili ndo ttz kuu.Huyo lisu anatakiwa ahojiwe na watu kama zuhura Yunus.Mtu anahojiwa,anaongea yy tu mwanzo mwisho hakuna hata maswali magum.Kuna mtu alihojiwa na Zuhura Yunus alipona kulia.
 
Alipigwa swali na BBC kwanini alipoona anafuatiliwa na watu asiowajua hakurudi kuripoti polisi? Hayo majibu yake sasa mmmmmh na Angekua ni Zuhura Yunus pasingetosha kabisa.Kuna maswali Mengi ya kumhoji ila sema wanaomhoji asilimia kubwa Hawana Critical Thinking Skills kiasi cha kuhoji vitu critical.
 
Acha ujuha wewe kwa akili ipi uliyonayo? Ungekuwa na akili usingekubali kuidumaza akili yako kiasi hiki cha kuja humu na kuandika upuuzi.

Tangu aingie madarakani kishachota zaidi ya trilioni mbili toka hazina kufanyia mambo mbali ambayo hayana tija kwa Watanzania ikiwemo kujenga Airport Chato, kugawa rushwa kwa Wabunge wa CCM na kupeleka nyingine CCM kwa uongo wake kwamba CCM inaidai Serikali.

Wewe mwenye akili hebu tuwekee kipengele kinachompa huyu uchwara mtenda maovu mamlaka ya kuchota pesa hazina bila idhini ya Bunge. Tuwekee kipengele kinachompa huyu mtoa rushwa mamlaka ya kutumia mabilioni ya pesa za walipa kodi ili muswaada wake uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini upitishwe na pia kununua wachumia tumbo akina Tumbili eti anaimarisha chama.

Ni hasara kubwa sana kwa Taifa kuwa na Wapumbavu kama wewe.

Ungekua na akili kama ungekua unaorodhesha sheria au katiba anayovunja.kuongea mambo ya sheria au katiba bila vifungu ni UJUHA.Lete vifungu tujadili kwa hoja, toka kelele za kuvunjwa kwa katiba au sheria sijawahi ona sio mwanasheria uchwara wala wafuasi wake uchwara wakiorodhesha kuwa Jpm anavunja sheria namba flani na flani au kifungu flani anavunja na ukiwahoji utasikia kwani we huoni?Ndio majibu yao.Kama unaakili timamu lete vifungu anavyovunja tushindane kwa hoja.
 
Alipigwa swali na BBC kwanini alipoona anafuatiliwa na watu asiowajua hakurudi kuripoti polisi? Hayo majibu yake sasa mmmmmh na Angekua ni Zuhura Yunus pasingetosha kabisa.Kuna maswali Mengi ya kumhoji ila sema wanaomhoji asilimia kubwa Hawana Critical Thinking Skills kiasi cha kuhoji vitu critical.

..lile jibu lilikuwa zuri tu.

..lilidhihirisha kwamba Polisi walikuwa na taarifa za TL kufuatiliwa.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom