Tundu Lissu katoa somo sana katika siasa za Tanzania

Upinzani hasa Tundu Lissu na Chadema umeshinda kwa 100% ajenda zao zote walizozisimamia Leo mama Samia ndio anazifanyia kazi .

Nakumbuka Tundu Lissu alizunguka nchi na kukusanya maelfu ya watu na kuwaambia ukweli juu ya utawala wa Magufuli.

Watu walielewa ila somo halikuwaingia waliokuwa watawala wa utawala wa Hayati Magufuli.

Sasa Mama anawaumbua kwamba ukitaka kutawala vema lazima usimamie kile watu wengi wanachokitaka.

Kuanzia Sera za uchumi
Sera za elimu
Sakata la corona
Swala la Democrasia
Maswala ya TRA
Jinsi ya kuvuta wawekezaji
Uhuru wa vyombo vya habari
Kuongeza mishahara kwa wafanyakazi
Ajira mpya kwa vijana
Hali ya mahakama na binge kuwa hoi

Ukisikiliza hotuba za lissu wakati anazunguka nchi mwaka Jana ndio utanielewa.

Leo ndio wimbo wa taifa wa chama kile kile kilicho madarakani.

Liwe fundisho kwa watawala wa kiafrika kuwa tunatakiwa kuwa na siasa za hoja sio polojo na publicity kama ilivyokuwa utawala wa Magufuli.

Kwamba Leo waliokejeli hoja za Tundu lissu Leo ndio vipaza sauti wa hoja hizo hizo za Mama samia.

Tujifunze kuweke akiba ya maneno.

Du vinyonGa vinyonga. Lini mtaacha kujifariji. Lissu Ni kichaa. Hawezi kushinda Tz wala duniani. Hana sifa zozote. Labda ukiranja kwenye shule zile kiongozi Ni yule anayeweza kugombana na walimu.
 
Kama ni hivyo basi CHADEMA na nyumbu wenzao waunge mkono juhudi za Samia.

..tatizo ni kwamba wana ccm walielekezwa kupinga kila alichokuwa akikisema Tundu Lissu.

..kuna mahali Lissu alikuwa anakosea na kuna mahali alikuwa anapatia. Vijana wa ccm hawakuambiwa ukweli huo.

..sasa serikali inapoanza kutekeleza baadhi ya mambo mazuri ambayo Lissu au wapinzani waliyasema vijana wa ccm wanachanganyikiwa.

..wapinzani nao wanakosea kudhani kwamba mawazo mbadala yatakwisha au kukauka. Kwa hiyo wakati mwingine hawajui jinsi ya kuenenda serikali inapotekeleza mambo ambayo chimbuko lake ni hoja za vyama vya upinzani.

NB:
..serikali iko mbioni kupeleka mswada wa bima ya afya kwa wote. Hii ni hoja ambayo Lissu aliibeba wakati wa kampeni.

..ccm walimpinga pamoja na kwamba ilikuwepo ktk ilani yao.
 
Wenzako watakuita msaliti shauri yako 🤣 hawapend kusikia upinzani wakipata credit kweny jambo flan.
Siku zote na jua upande wa pili (upinzani huwa unamulika pale serikali ilipokosea au kushindwa na nn kinatakiwa) ila kwa huku Africa na baadhi nchi za mashariki ya kati inaonekana upinzani unataka kuwanyang'anya keki mdomoni,, kumbe siyo) chama changu cha CCM tusipo angalia tutukuja kuondoka madarakani bila kupenda,, kwa viboko,, kupigwa mawe,, kwa kushindwa kuongoza nchi!!!!
 
TL alipigani haki za mabeberu kwa kutishia MIGA na haki za mashoga kwa mgongo wa haki za binadamu. Usi inasibishe hotuba ya Mh Rais SSH na huu upuuzi. Hatuja sahau ni juzi kati tu yametendeka haya.
 
Pia Tundu Lisu alikazia upungufu wa Huduma ya maji kwa wananchi, naona Hayati JPM pia na raisi wa Sasa SHS amelivalia njuga
 
Upinzani hasa Tundu Lissu na Chadema umeshinda kwa 100% ajenda zao zote walizozisimamia Leo mama Samia ndio anazifanyia kazi .

Nakumbuka Tundu Lissu alizunguka nchi na kukusanya maelfu ya watu na kuwaambia ukweli juu ya utawala wa Magufuli.

Watu walielewa ila somo halikuwaingia waliokuwa watawala wa utawala wa Hayati Magufuli.

Sasa Mama anawaumbua kwamba ukitaka kutawala vema lazima usimamie kile watu wengi wanachokitaka.

Kuanzia Sera za uchumi
Sera za elimu
Sakata la corona
Swala la Democrasia
Maswala ya TRA
Jinsi ya kuvuta wawekezaji
Uhuru wa vyombo vya habari
Kuongeza mishahara kwa wafanyakazi
Ajira mpya kwa vijana
Hali ya mahakama na binge kuwa hoi

Ukisikiliza hotuba za Lissu wakati anazunguka nchi mwaka Jana ndio utanielewa.

Leo ndio wimbo wa taifa wa chama kile kile kilicho madarakani.

Liwe fundisho kwa watawala wa kiafrika kuwa tunatakiwa kuwa na siasa za hoja sio polojo na publicity kama ilivyokuwa utawala wa Magufuli.

Kwamba Leo waliokejeli hoja za Tundu lissu Leo ndio vipaza sauti wa hoja hizo hizo za Mama samia.

Tujifunze kuweke akiba ya maneno.

Ha ha haaa

Kabla ya hizi Magufuli alishinda kwa kuchukua hoja zote za wapinzani

leo mama samia kashinda tena

Last time wote hawa ni CCM sio?

Inahuzunisha sana kujianika kisiasa hivi
 
Hayati JPM alikuwa akiwaaminisha wananchi wakati wa kampeni chagueni mgombea wa ccm nitaleta maendeleo ktk eneo lenu. Kwetu Walimchagua diwani wa ccm. Mpaka Sasa barabara ni mbovu hata dalili za kutengenezwa hakuna, maji hamna, huduma za afya ovyo. 2025 wananchi watagundua walilagaiwa, watarudi upinzani kwa kishindo.
 
Tuliwahi kuambiwa

"Magufuli ni Raisi Bora kuliko Kikwete. Anafuata sera za chadena"

Upinzani wa kitaarabu utaifanya CCM itawale milele

Back
Top Bottom