Tundu Lissu karudi nchini?

nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
3,609
4,097
Sisi wanazi tumemmisi Sana. Tumechoka na waimba mapambio ya kusifia kila kitu mpaka inakera.

Mwamba njoo ingia Tanzania hawatakufanya kitu.

Sasa ni wazi kuwa Kenya ndio taifa kubwa Africa mashariki na kati.

Wagonjwa wa Burundi, South Sudan na Tanzania kimbilio lao ni Kenya.

Wakimbizi wa kisiasa siku hizi ni Kenya sio Tanzania tena.

Hongereni Sana Kenya.

Angalieni hizo picture, leadership characteristics

IMG_20200602_193950.jpg
IMG_20200531_224801.jpg
IMG_20200514_110813.jpg
 
Mmebaki kujifariji mitandaoni tu! Hivi kwa akili zenu timamu tukiacha uchama wetu, Tundu Lissu ana sifa gani ya maana ya kumfanya awe Rais?

Tundu Lissu akiwa Rais basi ndiyo mtauona udikteta halisi, maana yeye anaamini kuwa anajua Kila angle ya maisha, atatumia vifungu vya katiba vinavyompa mwelekeo wa kutenda lolote atakalo!

Kwa Chadema mtu anayefaa angalau kugombea urais Kama umri unaruhusu Ni John Mnyika, huyo Lissu Ni tatizo kwa taifa.

Alitetea waziwazi hao wazungu, sembuse akipewa madaraka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nadhani upinzani mnataka kuchanganyikiwa, eti Mnasema CCM wakimuona Lissu wanatetemeka !
Kwa lipi?

Halafu unakuta humu wengine mnasema tume iliyopo siyo huru, halafu mda huohuo mnasema October mwaka huu ni mwisho wa CCM!

Kuweni na hoja na mikakati, ila mkiendekeza mizaha Chama chenu kitakufa, msipuuze mabadiliko ndani ya Chama chenu.

Tanzania inahitaji upinzani imara wa kuleta mabadiliko siyo kundi la wachumia matumbo, siyo Siri Mbowe Ni mhujumu namba moja wa Chadema, na anatumia Chama kwa maslahi yake binafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanamponda lakini akienda ccm watampa hata uwaziri mkuu ata wife wa jiwe.kama wakina waitara walevi ni mawaziri halafu akili kubwa Makamba hawana chochote maana yake mnawatamani wapinzani kuliko ccm. Dr Slaa alitukanwa sana na wakina Nape leo yako wapi.
 
Mmebaki kujifariji mitandaoni tu! Hivi kwa akili zenu timamu tukiacha uchama wetu, Tundu Lissu ana sifa gani ya maana ya kumfanya awe Rais?

Tundu Lissu akiwa Rais basi ndiyo mtauona udikteta halisi, maana yeye anaamini kuwa anajua Kila angle ya maisha, atatumia vifungu vya katiba vinavyompa mwelekeo wa kutenda lolote atakalo!

Kwa Chadema mtu anayefaa angalau kugombea urais Kama umri unaruhusu Ni John Mnyika, huyo Lissu Ni tatizo kwa taifa.

Alitetea waziwazi hao wazungu, sembuse akipewa madaraka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungewauliza Igp ameshamjibu barua yake?
 
Kapigwa risasi za kutosha uliishia kupiga kelele kwenye majukwaa ya mitandao afu sahv unashauri arudi hatafanywa kitu. Namshauri Lisu ale tu life lake apumzike siasa sio mchezo mwepesi
 
Hiyo picha ya kwanza CCM mkiiona inawarusha roho sana, siku akitua pale uwanja wa ndege mtakunywa maji lita ishirini kutuliza pressure.
Aliandika barua kwa Igp ili ahakikishiwe usalama wake. Ameshajibiwa? Maana kabla ya tukio alikuwa anamchimba mkwara Igp lakini leo anaomba alindwe!
 
Sisi wanazi tumemmisi Sana. Tumechoka na waimba mapambio ya kusifia kila kitu mpaka inakera.

Mwamba njoo ingia Tanzania hawatakufanya kitu.

Sasa ni wazi kuwa Kenya ndio taifa kubwa Africa mashariki na kati.

Wagonjwa wa Burundi, South Sudan na Tanzania kimbilio lao ni Kenya.

Wakimbizi wa kisiasa siku hizi ni Kenya sio Tanzania tena.

Hongereni Sana Kenya.

Angalieni hizo picture, leadership characteristics

View attachment 1466894View attachment 1466895View attachment 1466898
nimefurahishwa na picha ya mwisho
 
Back
Top Bottom