MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
Nyie mlio rongwa na mrozi kisha kufaTatizo mwenge ndio unaowaroga vijana wa tanzania waipende ccm Mwl hata kama ikifanya mabaya
Mnataabu
Nyie mlio rongwa na mrozi kisha kufaTatizo mwenge ndio unaowaroga vijana wa tanzania waipende ccm Mwl hata kama ikifanya mabaya
Nyie mlio rongwa na mrozi kisha kufa
Mnataabu
..na nyie pia mnalazimisha.
..mnafanya kila fitina ili wananchi wamchukie.
..lakini TL ni mtetezi wa wanyonge kwa miongo kadhaa sasa.
Wewe uache kujitoa ufahamu..aliyelalamika kurogwa ni nani kama siyo ccm?
Kama vile wabunge wa ccm aka makinikia walivyo na utimamu na kutomuunga mkono Lissu. Ila wakiambiwa Mnyika ndio sababu ya mikataba mibovu wanaitikia NDIOOOO!Ukikua kiakili utaacha
Saizi bado unaviroba kichwani!
Mtu mwenye utimamu hawezi muunga mkono lisu kwa ujinga wake anao ufanya kwa sasa.
Matibabu ya kichwa yanakuhusu ndugu, wahi!Wewe uache kujitoa ufahamu
Umekurupuka kuanzisha habari kumi kumi humu
Unajaribu kusafisha kinyesi kamwe hauta weza
Cdm kimekuwa chama cha wapuuzi na watetea wezi ,wapiga dili
Kamwe hamta iondoa ccm
Hiyo itakuwa 70% ya wanaccm sio ya watz .....acha vichekesho jiongezechadema inakubalika kwa 17% tu ya Watanzania kwa mujibu wa takwimu za twaweza, wakati CCM ni zaidi ya 70%!
TWAWEZA ni tawi la CCM unafikiri wangesema chama cha mafisadi kinapendwa 10% unafikiri nn kingetokea? Wanajikomba halafu uchunguz wao wanasubiri mpaka kwenye matukio.Hiyo itakuwa 70% ya wanaccm sio ya watz .....acha vichekesho jiongeze
Unajua kiac alichochota kwenye issue ya binyankulu[emoji15] gari na nyumba juu so huyu mtetea tumbo tu anatoka mapovu anajua anachokifanyaTundu Lissu sidhani kama analazimisha kupendwa bali amekuwa ktk harakati za kutetea Maslahi na rasilimali za nchi hii toka akiwa mwanaharakati mpaka Sasa Mbunge
chadema inakubalika kwa 17% tu ya Watanzania kwa mujibu wa takwimu za twaweza, wakati CCM ni zaidi ya 70%!
Amechota kama nani huko kwenye migodi? Na yeye ni Mbunge tu!!Unajua kiac alichochota kwenye issue ya binyankulu[emoji15] gari na nyumba juu so huyu mtetea tumbo tu anatoka mapovu anajua anachokifanya
chadema inakubalika kwa 17% tu ya Watanzania kwa mujibu wa takwimu za twaweza, wakati CCM ni zaidi ya 70%!
Mnampa kiki tu mnavyomzunguzia huyo mnafiki...
Kitendo cha Lisu kumpokea na kumtetea maMvi kilinifanya niamini kunamambo binadamu tunayafanya utafikiri mshipa wa aibu umekatika.Hasa nikikumbuka povu lilipokua lina mtoka pale mwembe Yanga.
usipende kuwasemea wenzioKama wewe ni Kiongozi mzuri na una damu ya kupendwa utapendwa tu, hauna haja kulazimisha watu wakukubali na wala hauhitaji kujitetea kwa chochote, namuongelea Tundu Lisu, he's is all over kutaka kujiuza na kulazimisha Watanzania wamkubali, Magufuli alienda kuchukuwa Fomu ya Uraisi peke yake na kuzunguka nchi nzima kutafuta Wadhamini yeye na gari lake, leo hii ni Raisi wa JMTZ,, Waswahili tunasema kama ipo ipo tu, kama watu wanakukubali na kukupenda watakupenda tu wala huhitaji kutumia nguvu, ...