Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,400
- 3,928
Akawatetee ACCACIA ndio watamuwekea mkatabaMkuu kama una mkataba weka hapa, Hoja hujibiwa kwa hoja
Ukitukana ina maana wewe uwezo wako wa kujibu hoja na kufikiri ni mdogo
Weka mkataba hapa au Jibu hoja
Povu la nini kiongozi Jibu hoja mikataba ipo? Ilipelekwa bungeni?