Tundu Lissu: Je, mkataba wa uwanja wa ndege Chato upo wapi? Mkataba wa Madini upo wapi? Adai haijawai kupelekwa bungeni

Mkuu kama una mkataba weka hapa, Hoja hujibiwa kwa hoja

Ukitukana ina maana wewe uwezo wako wa kujibu hoja na kufikiri ni mdogo

Weka mkataba hapa au Jibu hoja

Povu la nini kiongozi Jibu hoja mikataba ipo? Ilipelekwa bungeni?
Akawatetee ACCACIA ndio watamuwekea mkataba
 
Anajifanya SAA hz anajus hoja tutamnyoa kwa kupa ya maji mtetezi wa mashoga majizi na mabeberu
Hv kwnn huwa hamuwezi kujibu hoja kwa hoja?? Hv kwnn wanaccm wengi wenu kujibu hoja huwa mnatukana?? Lete mkataba wa chatto airport..leteni mikataba ya kila alichowatuhumu mhe.Lissu msilete ngojera
 
Hakuna nchi yoyote dunuani ambayo huweka mikataba wazi, hayo ni mambo ya kiserikali, kawadanganye wasiojua. Hata yeye (Lissu ) akiwa Rais hataweka mikataba yote hadharani, hizo ni porojo za kisiasa tu.
Wanaficha nini. Mikataba inasomwa bungeni na sisi wananchi ambao hatukubali kirahisi tunaweza wafuata wabunge watupatie copy ya mikataba hiyo tuisome kujiridhisha.....

Sasa wewe una maanisha nini kusema mikataba ni siri....?!
 
Mikataba ya ununuzi wa magari ya chadema Mimi sijawahi Iona mbona hawaoaniki wazu

Mchanganuo wa gharama za matibabu yake aweke wazi sababu hela za chama na michango ya Watu

Mbona hajawahi kuweka wazi? Charity begins at home aweke openly hapa
Kiongozi Hatujadili chama tunajadili mambo ya kitaifa na serikali

Jibu hoja, Kitendo cha kukimbia hoja ni udhaifu na mapungufu makubwa kwenye elimu yako uliyotunukiwa cheti

Mtoto anakuambia daftari limeisha wewe unasema Punguza mwandiko, mwandiko wako mkubwa una akili kweli? Au Unahamishia hoja

Jibu hoja hiyo mikataba ya Chato ilipelekwa bungeni? Je hiyo ya madini ilipelekwa bungeni, kwanini inakuwa siri

Hoja hujibiwa kwa hoja sio kwa kuonyesha udhaifu na kuhamisha hoja
 
Members, Mahojiano aliyoyafanya Mwandishi Jenerali Ulimwengu kupitia Jeneralionline pamoja na Tundu Lissu kuna mambo ya msingi Tundu Lissu amehoji.

Mosi: Je, mkataba wa kujenga uwanja wa ndege Chato lini ulipelekwa bungeni? Ni Mtanzania gani anafahamu kilichoandikwa ndani ya mkataba huo, Adai serikali inaleta maneno matamu tu kama zamani.

Pili, Mkataba wa stiglers gorge lini ulipelekwa bungeni ili kuhakiki kinachoandikwa na kusemwa ni kweli, adai haya mambo ya kuficha mkataba hakuna mwenye uchungu na rasilimali zetu, adai kwanini iwe siri.

Tatu, adai kwenye madini ni maneno tu yanazungumzwa, mkataba wa madini kati ya Barrick na Tanzania hujawahi peleka bungeni kujadiliwa, adai wanaongea tu majukwaani kupamba the mambo. Tundu Lissu anadai hakuna anayepigania madini nchi hii kwani mikataba imekuwa ikifichwa awamu zote mpaka sasa.

Tundu Lissu anadai yeye amekuwa akiomba mikataba iwe wazi tangu enzi za Mkapa mpaka sasa hii mikataba mipya inafichwa.

Je, kuna anayefahamu ukweli wa mambo haya, Mkataba wa uwanja wa ndege Chato nani anafahamu?

Je, na huu mkataba wa Barrick na Tanzania nani aliwahi kuuona, nini yameandikwa ndani ya mkataba?

Je, na ujenzi wa Stiglers Gorge nini kimeandikwa ndani ya mkataba na lini bunge lilijadili?
Kwaio atawaambia watanzania kua ndio magufuli kajenga ivi vitu ila tusimpe kura kwa sababu hajatoa mikataba? Chadema Bana et izo ndio point
 
Mkuu unafahamu maana ya MIGA?

Mambo haya ndio maana yanakuwa siri sana hasa mikataba

Serikali nyingi duniani zimesaini makubaliano na umoja wa mataifa kuhusu kulinda wawekezaji

Tanzania tumesaini mikataba mingi sana, Mpaka sasa kwenye MIGA convention hatujajitoa, Tunajua Madhara ya kujitoa kwenye hiyo mikataba kwani tutakuwa tumejitenga na dunia

Hivyo siri zinazoendelea ni kutokana na mambo hayo ya makubaliano ya kimataifa MIGA

Nani atakupa mkataba wa madini kwa sasa, Kuna mambo mengi nyuma ya pazia kiongozi

Hata Mkapa alisaini mikataba ya kuleta hao wachimba madini ilikuwa siri

Ametoka madarakani ndio tunapiga kelele sasa

Haya yanayoendelea huko stiglers gorge, SGR ni siri tu

Je ni mikopo inajenga stiglers gorge?
Je ni mikopo inajenga SGR?

Yote hayo yapo kwenye mkataba, Majukwaani Tunaambiwa Fedha za ndani
Mamabo ya mikataba ni siri na ndo maana hata chadema kuna misaada hupata kutoka nje wataisema kwa jujuu tu lakini hawawezi kuitoa kwenye media kuwa wamekubaliana nini zaidi na masharti ni nini?
Swara la miga liko wazi lakini halihahalishi mmoja kuwa mwizi kisha useme MIGA ipo kumlinda,
Kwa hiyo tundu lisu yeye angefanyaje ili kuzilinda hizo rasilimali?
Angesubili mkataba wa miaka mia uishe eti kisa MIGA?
Aache siasa za udanganyifu.
 
Members, Mahojiano aliyoyafanya Mwandishi Jenerali Ulimwengu kupitia Jeneralionline pamoja na Tundu Lissu kuna mambo ya msingi Tundu Lissu amehoji.

Mosi: Je, mkataba wa kujenga uwanja wa ndege Chato lini ulipelekwa bungeni? Ni Mtanzania gani anafahamu kilichoandikwa ndani ya mkataba huo, Adai serikali inaleta maneno matamu tu kama zamani.

Pili, Mkataba wa stiglers gorge lini ulipelekwa bungeni ili kuhakiki kinachoandikwa na kusemwa ni kweli, adai haya mambo ya kuficha mkataba hakuna mwenye uchungu na rasilimali zetu, adai kwanini iwe siri.

Tatu, adai kwenye madini ni maneno tu yanazungumzwa, mkataba wa madini kati ya Barrick na Tanzania hujawahi peleka bungeni kujadiliwa, adai wanaongea tu majukwaani kupamba the mambo. Tundu Lissu anadai hakuna anayepigania madini nchi hii kwani mikataba imekuwa ikifichwa awamu zote mpaka sasa.

Tundu Lissu anadai yeye amekuwa akiomba mikataba iwe wazi tangu enzi za Mkapa mpaka sasa hii mikataba mipya inafichwa.

Je, kuna anayefahamu ukweli wa mambo haya, Mkataba wa uwanja wa ndege Chato nani anafahamu?

Je, na huu mkataba wa Barrick na Tanzania nani aliwahi kuuona, nini yameandikwa ndani ya mkataba?

Je, na ujenzi wa Stiglers Gorge nini kimeandikwa ndani ya mkataba na lini bunge lilijadili?
Kwani uliambiwa imejengwa kwa mkopo ile...?? Watu wanatumia kodi za wananchi ............ wapinzani vipi mbona kama hamjiamini jiamini
 
Kwaio atawaambia watanzania kua ndio magufuli kajenga ivi vitu ila tusimpe kura kwa sababu hajatoa mikataba? Chadema Bana et izo ndio point
Mkuu Mimi huwa ni mtetezi wa chama sana kwenye ukweli, kwenye hili la mikataba sijawahi ona hata kusoma kilichoandikwa

Tunatetea pale ambapo watu wanaleta siasa, Kwenye mambo kama haya ya kitaifa usijitoe ufahamu

Hayo mambo Yapasa chama kuyaweka wazi kabla ya October

Ametusaidia kujipanga kwa hoja hizi ni nzito na ngumu

Tumshukuru jenerali ulimwengu ametufumbua macho kuwa kuna kazi ya kujibu kwenye kampeni
 
Ndugu ukwl mchungu ni kwamba kama kuna mtu anaewatia kiwewe huko chama chakavu ni huyu mwamba
Katika watu waliofeli hata kabla ya wakati ni lisu, kwanza kabisa swali moja tu atakaloulizwa ni kwamba,

Kwa nini mpaka sasa hatujashitakiwa na kunyolewa na MIGA kwa chupa?

Hatapata jibu, na majibu akijitahidi atasema, tanzania hakuna flyover, hiyo ya ubungo ni daraja tu, ma flyover yako ulaya.
Eti huyo ndo awe tishio?
 
Kwani uliambiwa imejengwa kwa mkopo ile...?? Watu wanatumia kodi za wananchi ............ wapinzani vipi mbona kama hamjiamini jiamini
Bwana Mkubwa wewe ni mwana ccm kama sisi usijitoe ufahamu kwa ujinga

Hapa tukisaidie chama sio kuleta mipasho

Tume jenga flyover, SGR, Airport Chato na hospital ni kweli tutayaongea, Lakini ishu ya mikataba ni siri watatumia huo udhaifu kutumaliza hata wakiongeza uwongo wananchi wataamini

Kumbuka tumefanya Maendeleo ya vitu miaka mitano, Miaka iliyobaki JPM atajikita Maendeleo ya watu
 
Alitaka tuwekewe vikwazo tuhangaike tunachanja mbuga
 
Tangu atutishie kushtakiwa MIGA basi nikajua electron flow kwenye celebrum iko na shida. Nikamsamehe . Sio wa kuamini tena.
Aweza kujenga hoja hata kukuambia una chupi nyeusi akijua kuvua uonyeshe ni kujidhalilisha, ukikataa anasema . Mmeonaaaa!
 
Bwana Mkubwa wewe ni mwana ccm kama sisi usijitoe ufahamu kwa ujinga

Hapa tukisaidie chama sio kuleta mipasho

Tume jenga flyover, SGR, Airport Chato na hospital ni kweli tutayaongea, Lakini ishu ya mikataba ni siri watatumia huo udhaifu kutumaliza hata wakiongeza uwongo wananchi wataamini

Kumbuka tumefanya Maendeleo ya vitu miaka mitano, Miaka iliyobaki JPM atajikita Maendeleo ya watu
Sasa hapa mipasho iko wapi akati mimi nimeleta hoja ..........na wewe leta hoja .........adabu ni kitu cha bure
 
Mkuu Mimi huwa ni mtetezi wa chama sana kwenye ukweli, kwenye hili la mikataba sijawahi ona hata kusoma kilichoandikwa

Tunatetea pale ambapo watu wanaleta siasa, Kwenye mambo kama haya ya kitaifa usijitoe ufahamu

Hayo mambo Yapasa chama kuyaweka wazi kabla ya October

Ametusaidia kujipanga kwa hoja hizi ni nzito na ngumu

Tumshukuru jenerali ulimwengu ametufumbua macho kuwa kuna kazi ya kujibu kwenye kampeni
Anataka mikataba akashirikiane kutushitaki MIGA?
 
Hahahaha Lissu akae kimya kabisa kwani huo mkataba si tunao? Uko mkataba mmoja una cut across kila hitaji, yaani "The Living/Walking Contract/Agreement"
 
Back
Top Bottom