Tundu Lissu is fire from hell

Pinga,galagala,suta,tunga ngonjera zote mwisho Wa game tundulisu ni survivor ambaye hana chembechembe ya uoga tena.
Nimemsikiliza tundulisu Wa DW,BBC Na anacho andika hivi Sasa ninauona moto mkali sana ndani yake, ni mtu ambaye amejaa ujasiri mkubwa ,matumaini ya ajabu sana.
Tundulisu ana moto ndani yake ambao hauzimiki Kwa fire extinguisher ya upanga Wala risasi tena.
Kama kuna muujiza ambao upinzani umepata ni survival ya huyu jamaa, upinzani utanyanyuka kupitia huyu jamaa,anakuja Na moto mkali ,mbaya Na pengine ki psychology anavuruga mipango mingi sana.
Wakuu wengi wameshindwa kusimamia misimamo yao lakin huyu jamaa ni active na special contender Wa JPM.
Let's get it straight Tundulisu can knock out somebody psychologically.
Kipsychology mtu anayenusurika kufa ama kuuwawa hua ana nguvu ya ajabu sana either ya Mungu ama mashetan, whatever the creator u name it ,lakin 2019 kuna mtu hatasinzia salama.
UCHUNGUZI HURU UMETHIBITISHA BILA SHAKA YOYOTE KWAMBA MH TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE ENEO LA MAZIWA MAKUU TANGU KUUMBWA KWA MBINGU NA ARDHI
 
Lisu is already a spent force. He can only knock himself psychologically; fortunately.
Hii Spent Force mbona inawahangaisha sana sasa ? Wanataka hadi kuivua ubunge!
Unajua Tanzania ni yetu sote ndugu yangu, haya mambo ya kikundi fulani kujihisi wao ndiyo wana haki sana ya kuwasemea watanzania kuliko watu wengine haitalifikisha taifa mbali.

Mzee Jakaya aliruhusu uhuru wa mawazo lakini hakuna jambo lolote baya lililotokea kutokana na huo uhuru wa mawazo. Sasa sijui Raisi Magufuli anaficha nini hasa....
 
Lisu atamalizwa kisiasa wala hafiki mbali!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo cha kutumia bunduki kutaka kumuua huashiria kushindwa kwa mbinu za kisiasa. Kama walishindwa kummaliza kisiasa tokea mwaka 2010-2017 unadhani wataweza mwaka 2019-2020 ???

Watammaliza kwa mbinu nyingine lakini siyo kisiasa. Kisiasa amemwacha Raisi Magufuli maili mia tano.
 
Tupo watanzania zaidi ya milioni 55. Kila mtu asikilizwe, nani asikilize? Nimeshamsikiliza, nimsikilize mara ngapi?

Ni ndugu zako, wanaitakia mema nchi yako, bila itikidi, ujinga vyama ila wote ni Watanzania muwe na
Kaiulize hiyo serikali, unaniuliza mimi ili iweje?
.

Ok, ila muwe munaongee, mufanye vitu muhimu kwa walalahoi.

Umesadia vipi watu wetu hata kwa kiwango kidogo?
 
Pinga,galagala,suta,tunga ngonjera zote mwisho Wa game tundulisu ni survivor ambaye hana chembechembe ya uoga tena.
Nimemsikiliza tundulisu Wa DW,BBC Na anacho andika hivi Sasa ninauona moto mkali sana ndani yake, ni mtu ambaye amejaa ujasiri mkubwa ,matumaini ya ajabu sana.
Tundulisu ana moto ndani yake ambao hauzimiki Kwa fire extinguisher ya upanga Wala risasi tena.
Kama kuna muujiza ambao upinzani umepata ni survival ya huyu jamaa, upinzani utanyanyuka kupitia huyu jamaa,anakuja Na moto mkali ,mbaya Na pengine ki psychology anavuruga mipango mingi sana.
Wakuu wengi wameshindwa kusimamia misimamo yao lakin huyu jamaa ni active na special contender Wa JPM.
Let's get it straight Tundulisu can knock out somebody psychologically.
Kipsychology mtu anayenusurika kufa ama kuuwawa hua ana nguvu ya ajabu sana either ya Mungu ama mashetan, whatever the creator u name it ,lakin 2019 kuna mtu hatasinzia salama.

huu sio moto wa kuzimwa na Bashite, huu ni mtambo mpya nyuklia zaidi ya zile za Kiduku, mawe na majiwe yatapasuliwa, watu wenye makalio yao ya kutuna yatanywea, wasiojulikana watajulikana...Lisu ni fireeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu sio moto wa kuzimwa na Bashite, huu ni mtambo mpya nyuklia zaidi ya zile za Kiduku, mawe na majiwe yatapasuliwa, watu wenye makalio yao ya kutuna yatanywea, wasiojulikana watajulikana...Lisu ni fireeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mr Masumbuko akimwangalia Lissu kwenye zile interview tokea pale magogoni nahisi huwa anatamani kupenya kwenye TV na amkamate jamaa.
 
Kwa mlala hoi ni faida kuwa na chama tawala na kambi ya upinzani yenye nguvu.Hawa wakirumbana ni faida kwa mvuja jasho.Mfano ni mzozo wa kikokotoo cha wastaafu!
 
Mr Masumbuko akimwangalia Lissu kwenye zile interview tokea pale magogoni nahisi huwa anatamani kupenya kwenye TV na amkamate jamaa.
Alitakiwa akae na watu wenye hekima na busara wamsaidie namna ya kumdhibiti Lissu kisiasa pasipo kutumia bunduki. Yeye akaamuwa kuwashirikisha akina Makonda, le-mbebys et-al, angalia upupu walio utengeneza sasa. Mbaya zaidi wazidi kukosea hawataki kabisa kujiuliza Lissu kafikaje huko aliko na anasimama wapi kuongea hicho anacho kiongea sasa hivi. Mtu anaongelea kupigwa risasi kupungua kwa usalama, wao wanajibu ......lkn pia tumejenga sgr, tumenunua ndege, ...........yahani pamoja na kupiga risasi na kuteka na kupoteza tumejenga reli pia,tumenunua ndege mpya kwa cash, yahani utetezi wa kipumbavu kabisa.
 
Binafsi naona ni more credit kwa Magufuli.. Anaongezewa world popularity.
 
Atashughulikiwa kama Mbowe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnamuweka ndani Mbowe, kagurumjuli ndio mzizi anatembea kifua mbele, yaani hii nchi, ni vibaya kumuhukumu mtu, lakini kuna watu huko siku ya mwisho watageuzwa kuni aisee, kama kagurumjuli angefata kama sheria inavyosema, nina uhakika dada wa watu asingeuwawa, utatoaje viapo kwa chama tawala na wapinzani uwanyime, wametumia njia zote lakini bado wakanyimwa, kwenda kuvifata ofisini, maskini mkamuua dada wa watu aliyekuwa anajiandaa kwenda field na bado jamaa anatembea kifua mbele ati mbowe ndio waliomuua, yaani aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom