wewe ukituliza ubongounaweza hata mshauli rais.
ila kwa domo lako bovu lisilo na staha ,hata mimi diwezi kukusikiliza hata uje na point.
we msomi uchwars ebu toa udhauri kwa staha.
we unafikiri kuongea ovyo ndio kiki?
Asante kwa kuwafafanulia hawa mataahira wa Lumumba maana wao wakiona kitu amepost Lissu wanakiparamia tu ili wamwahi cashier wao pale dirishani Lumumba waingize siku.
Kama mkataba/sheria inamruhusu kusafirisha makinikia na badala yake anasafirika mchanga wenye dhahabu na wala si makinikia then mwenye kosa ni mwekezaji mwenyewe. Kwenye hili Lissu amakurupuka au anataka wampe kazi au tayari wameshampa kazi ya kuwa tetea mafisadi wa dhahabu
Basi utakua hujui maana ya upinzani, washauri wake wapo, huyu ni mpinzani ni mkosoaji sio waziri au katibu wa madini.unafiki na kujitafutia mtaji kwa wananchi kama unaipenda nchi yetu si ungemuandikia waraka kwake ukamshauri wewe ni kumponda hauna lengo la kuikuza nchi kiuchumi. wewe huo mfano wa bolivia ungemwambia. ila kila kukicha ni kumkosoa na sio kushauri, mpe way forward
kipi ambacho upinzani inapendekeza bungeni wabunge wenu wa CCM wakakubali? Kwanza juzi si JPM kasema hakuna kuwapa airtime upinzani? Nyinyi endeleeni kunyoosha nchi halafu tuone kama haijakatika.Hawa wa upinzani si walipiga kelele kabla nchi inapoteza pesa, sasa haya wanayoyaongelea now je waliwahi kupendekeza bungeni kabla!?
unaambiwa 70% ya extraction na pu rification ya dhahabu inafanyika hapa na miche ya dhahabu inapakiwa kwenye ndege inaondoka.Kama mkataba/sheria inamruhusu kusafirisha makinikia na badala yake anasafirika mchanga wenye dhahabu na wala si makinikia then mwenye kosa ni mwekezaji mwenyewe. Kwenye hili Lissu amakurupuka au anataka wampe kazi au tayari wameshampa kazi ya kuwa tetea mafisadi wa dhahabu
Rais mwenyewe kushauriwa sasa lissu akae kimya bila kusema ukweli,naona pombe imekaa kichwanunafiki na kujitafutia mtaji kwa wananchi kama unaipenda nchi yetu si ungemuandikia waraka kwake ukamshauri wewe ni kumponda hauna lengo la kuikuza nchi kiuchumi. wewe huo mfano wa bolivia ungemwambia. ila kila kukicha ni kumkosoa na sio kushauri, mpe way forward
Utamshauri mtu ambaye hashauriki? Kwa akili unashinda kuelewa kuna mtu analipwa mshahara kwa kodi kazi yake kumshauri raisi anakula mshahara bure.unafiki na kujitafutia mtaji kwa wananchi kama unaipenda nchi yetu si ungemuandikia waraka kwake ukamshauri wewe ni kumponda hauna lengo la kuikuza nchi kiuchumi. wewe huo mfano wa bolivia ungemwambia. ila kila kukicha ni kumkosoa na sio kushauri, mpe way forward
Hashauriki, hapangiwi na hajaribiwi.unafiki na kujitafutia mtaji kwa wananchi kama unaipenda nchi yetu si ungemuandikia waraka kwake ukamshauri wewe ni kumponda hauna lengo la kuikuza nchi kiuchumi. wewe huo mfano wa bolivia ungemwambia. ila kila kukicha ni kumkosoa na sio kushauri, mpe way forward
CHADEMA MMEPOTEZA UELEKEO
Tatizo siyo nyie tatizo ni akili zenu "Tundu hayo unayoyatetea kwa maslahi ya nani,utadai mikataba ndio inayolinda yote hayo ,je mbona tuna mikataba mingi mibovu iliyotiwa saini kwa njia za rushwa kwa hiyo tuache tu kwa kuwa akina Kafumu waliruhusu,kwa mpango huu nashukuru Mungu ,Chadema mtaiona tu ikulu ,zamani mlijipambanua kama watetea haki na maslahi ya nchi ,siku hizi Chadema inateteta kila aina ya uozo,ufisadi.Chadema mshakuwa chama cha hovyo kabisa.
Hawa wa upinzani si walipiga kelele kabla nchi inapoteza pesa, sasa haya wanayoyaongelea now je waliwahi kupendekeza bungeni kabla!?
Lisu anapoteza mwelekeo japo mkulu kapotea zaidi
Vigeugeu
CHADEMA WAMEPOTEZA UELEKEO
HAWAONGEI KWA FAIDA YA NCHI
WANAPINGA MAZURI YA SERIKALI
PUMBAVU KABISA
Anatumia mbinu za kibashite bashite. Mara ooh yumo kjgogo kwenye orodhaBinafsi sioni kosa la Lissu, ameeleza ni nini Rais alipaswa kufanya kabla ya kuzuia mchanga kusafirishwa.. Magufuli ana nia nzuri lakini njia anazotumia zinaweza zikaliingizia taifa hasara zaidi badala ya faida kwa sababu ya mikataba iliyoingiwa na serikali zilizopita na wawekezaji hawa..
Tusiwe mashabiki wa watu, tuwe mashabiki wa ukweli.. Tanzania ni yetu sote
Hotuba ya jana ya Rais Magufuli ni ushahidi mwingine, kama bado kuna shaka, ya rule of state lawlessness ambayo mtukufu anatuingiza kama taifa. Natumia marufuku yake ya kusafirisha mchanga wenye madini nje ya nchi kama mfano.
Zaidi ya dhahabu, mgodi wa Bulyanhulu unazalisha pia madini ya fedha (silver), cobalt, copper na cadmium (ya mwisho kama sikosei!). Bulyanhulu ni mgodi pekee nchini wenye madini yote hayo na mchanga unaosafirishwa nje unatoka Bulyanhulu. Madini yote hayo, kwa mujibu wa Sheria ya Madini na Mikataba ya Uendelezaji Madini (MDAs) waliyopewa na Rais Ben Mkapa na kurudiwa na Jakaya Kikwete, ni mali ya wawekezaji.
Mgodi wa Bulyanhulu unafanya smelting ya dhahabu tu (takriban 70% ya processing yote). 30% iliyobaki inafanyikia Japan ambayo ina hiyo capacity ya smelting ya hayo madini mengine.
Ndio maana mchanga huo umekuwa unasafirishwa kwenda Japan tangu 2001. Sasa a smart president angewaelekeza wawekezaji wajenge kwanza hiyo capacity ya smelting ndani ya nchi kabla ya kupiga marufuku export ya mchanga. Kwa kuzingatia kwamba wawekezaji hawa wanalindwa kisheria na kimkataba, a smart president would've renegotiated the MDAs or changed the relevant law ili kufanya processing yote ifanyike internally.
Badala ya a smart president, tuna JPM anayeamini kwamba ametumwa na Mungu kuinyoosha nchi hii na neno lake ndio sheria. Matokeo yake, atagombana na wawekezaji na serikali zao na mabwana wakubwa wa kifedha duniani ambao ndio wamiliki halisi wa rasilmali zetu.
Watampeleka kwenye arbitral tribunals za kimataifa ambazo Mkapa na Kikwete walizikubali kuwa ndio mahakama za migogoro kati yetu na hao tuliowapa rasilmali zetu. Na tukipelekwa huko hatuponi kwa sababu tutakuwa tumevunja mikataba na sheria zinazolinda wawekezaji. More importantly, hatapata hicho anachokifikiria, i.e. internal capacity ya mineral processing yote kwa sababu we simply don't have that capacity currently.
Na, kwa taarifa ya wale wasiojua mambo haya, huo mchanga unaosafirishwa nje sio magwangala. Magwangala ni rock waste yanayotupwa pembeni ya migodi baada ya dhahabu kutolewa. Yana madini kiasi kidogo sana ambayo sio commercially viable kwa wawekezaji kuyavuna. Hayo ndio madini Magufuli 'aliyowagawia' wananchi jana. Ni makapi yanayoachwa nyuma baada ya karamu ya wawekezaji. Hiyo, kwa busara za John Pombe Magufuli, ndio stahili ya waTanzania waliomchagua.
Evo Morales wa Bolivia alikuwa na mikataba kama ya kwetu alipochaguliwa in December ya 2006. Cha kwanza alichofanya ni kuiondoa Bolivia kwenye MIGA Convention na kwenye bilateral investment treaties (BITs) zilizokuwa zinalazimisha international arbitration kwenye migogoro ya uwezekaji. Baada ya hapo ndio akabadilisha sheria na mikataba ya uwekezaji iliyoipa Bolivia sehemu kubwa ya umilikaji wa gesi na mafuta ya nchi yake. Of course, Morales is a Bolivarian na rafiki wa Castro, marehemu Hugo Chavez na wakushoto wengine. Magufuli is none of the above. He's a proto-fascist who believes in nothing but violent state power.
TUNDU LISSU
Mwanasheria mkuu
CHADEMA
Bunge gani? Bunge hili la Tulia? Thubutu yako!! Tulia akikalia kiti cha speaker anajiona yeye =mungu =bashite. Acha muisome nambaHawa wa upinzani si walipiga kelele kabla nchi inapoteza pesa, sasa haya wanayoyaongelea now je waliwahi kupendekeza bungeni kabla!?