Tundu Lissu hajamshangaa waziri Mwakyembe juu ya yeye kugombea urais TLS asema neno

Naskia Tundu Lissu ana Llb (Yaani digrii) moja tu ya Sheria, huyo sjui nani ana phd (Digrii 3) Sasa ipi feki na ipo orijino kwa matamahi yao,na unaonaje uwezo wao wa kufikiri?
Kusoma sana sio kwamba eti unajua sana, kwa aina ya madkt na maprofessa kama lipumba, Benson Bana, mwakyembe, ndalichako, magu nimeamua kabisa kwamba nitabaki tu na kadigrii kangu kamoja.

Naamini kabisa lissu angekua CCM angeshakua appointed kama jaji mkuu au AG.
 
TLS isiwe na mrengo wa kisiasa. Sasa kama kiongozi wa upinzani atakuwa pia kiongozi wa TLS hamuoni kwamba kutakuwa na mgongano wa kimaslahi?

Kwa hiyo unaona hao mawakili ni watoto wadogo wasiojua tofauti ya siasa na sheria? Au tatizo ni TLS kuwa na kiongozi atakayesimamia sheria bila woga?
 
Kungekuwa na Wanasheria 10+ tu wa aina ya Tundu Antipas Lissu...mustakabali mzima wa Taifa kuhusu maswala ya kisheria ungenyooka sawasawa,sasa tuna wachumia tumbo na woga wengi ambapo wanaona haki ikikanyagwa,ikiingiliwa,ikivunjwa na wanakaa kimya!wamekaa kwenye kutetea haki,alafu wanakuwa WOGA!hii ni dhambi kubwa asilani,simameni kwenye kweli mtakuwa HURU!
 
Uliponusurika pale njombe kugongwa n.a. semitrealer ulitukimbilia wananchi ukilia wanataka kukuua tukaungana nawe na kukutetea.Uliponyolewa nywele na ngozi kuharibika kama ya kenge ukatukimbilia tena na. makanisani wakakuombea yote umesahau kwa kuwa umerudishiwa utamu sasa unataka kutuondolea hata watetezi wa haki zetu. Kweli tenda wema nenda zako ila ujue kuna siku utarudi kwetu maana hujafa hunaumbika.
 
Back
Top Bottom