Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,172
- 20,641
Acha bangi jamaa,, TL stands for Tundu lissu and TLS stands for Tanganyika law society
Kuna jamaa kasema TLS stands for Tundu Lissu Sasa !
Acha bangi jamaa,, TL stands for Tundu lissu and TLS stands for Tanganyika law society
TUNDU LISSU Speak ( TLS)...... Safari hii magu ataisoma namba.Sikujua kama hii TLS ni kifupi cha jina la Tundu Lissu S....(S sijui inasimama badala ya nini?)
Chenyewe utasikia kina muaward magu kwa mkurupuko wake...Huyu TL Kwa nn chuo kikuu cha UDSM Kisimu award PhD ya heshima kwa mchango wake wa kutetea tasnia ya sheria??
Angekuwa ccm angeshakuwa awarded mkuu ila siyo mpinzaniHuyu TL Kwa nn chuo kikuu cha UDSM Kisimu award PhD ya heshima kwa mchango wake wa kutetea tasnia ya sheria??
Kusoma sana sio kwamba eti unajua sana, kwa aina ya madkt na maprofessa kama lipumba, Benson Bana, mwakyembe, ndalichako, magu nimeamua kabisa kwamba nitabaki tu na kadigrii kangu kamoja.Naskia Tundu Lissu ana Llb (Yaani digrii) moja tu ya Sheria, huyo sjui nani ana phd (Digrii 3) Sasa ipi feki na ipo orijino kwa matamahi yao,na unaonaje uwezo wao wa kufikiri?
atakua hajui anachokiongea, ndio wale wanavamiaga Mada tu ili kucrashKuna jamaa kasema TLS stands for Tundu Lissu Sasa !
Mwakyembe kamfundisha lisu pale udsm mkuuNaskia Tundu Lissu ana Llb (Yaani digrii) moja tu ya Sheria, huyo sjui nani ana phd (Digrii 3) Sasa ipi feki na ipo orijino kwa matamahi yao,na unaonaje uwezo wao wa kufikiri?
S=ServiceSikujua kama hii TLS ni kifupi cha jina la Tundu Lissu S....(S sijui inasimama badala ya nini?)
kwa hiyo wakiwa wa ccm haina shida!ila shida inakuwepo wakiwa wa upinzani? Bure kabisaTLS isiwe na mrengo wa kisiasa. Sasa kama kiongozi wa upinzani atakuwa pia kiongozi wa TLS
hamuoni kwamba kutakuwa na mgongano wa kimaslahi?
Sikujua kama hii TLS ni kifupi cha jina la Tundu Lissu S....(S sijui inasimama badala ya nini?)
TLS isiwe na mrengo wa kisiasa. Sasa kama kiongozi wa upinzani atakuwa pia kiongozi wa TLS hamuoni kwamba kutakuwa na mgongano wa kimaslahi?
TLS inamhitaji Tundu Lissu kuliko Tundu Lissu anavyoihitaji
Tundu Lissu Sasa TLSSikujua kama hii TLS ni kifupi cha jina la Tundu Lissu S....(S sijui inasimama badala ya nini?)