Mkuu, haya ni mambo ya siasa kwa kawaida wanasiasa hu react negatvely pale upande wa pili unapokuwa kikwazo kwa malengo yake na positively pale upande wa pili unapo support
wanasiasa huwa na lengo X na wapiga kura wanaweza kuwa na lengo Y. basi wanasiasa wataenda na lengo Y ku win support na wakishapata nafasi hurudia tena lengo lao X. THOUGH POLITICS IS A DIRTY GAME, all of us live within it
umeangalia iyo clip rafiki .................................chadema maslai ya taifa kwanza , lakini najua kwa muungano huu CCM lazima mpanicTundu Lissu alidai kuwa CUF ni CCM B kwa kuwa CUF na CCM walifunga ndoa kwa kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar. Sasa tuambie hiyo ndoa ilishavunjwa au bado? Msitupelekeshe kihivyo wakuu mkafikiri tumesahau yaliyopita!
CUF = CCM B................(i)
CUF = CHADEMA............(ii)
Recall equation (i)
CHADEMA = CCM B........(iii)
CUF = WALIBERALI.............(iv)
CHADEMA = CUF............(v)
Recall equation (iv)
CHADEMA = WALIBERALI......(vi)
Mimi nafikiri CCM ilipanga kwa hao sasa kodi ya pango imeisha na wao hawataki tena ushirika na CCM, Sasa wameamua kumtoa nje CCM, ndo maana UKAWA ikaundwa kwa vile wako free, CCM baada ya kutolewa nje ameona aachane na kupanga na sasa amejenga nyumba yake mwenywe ambayo ni ACT na ADC
.... Kamuulize Mama Yako
Chezea wanasiasa wewe. Hawakuishia hapo, waliwaita wenzao mashoga lakini leo vyama hivyo ni mashoga (marafiki). Unaweza shangaa wanaiita CCM ni chama cha wazalendo ii mradi tu wapate madaraka!Tunataka majibu mkuu, ndio tuwaamini! Sio kutuaminisha kuwa CUF ni CCM B na hutaki kushirikiana naye, halafu kesho unawakumbatia na kuonesha kuwa wao ni "wazalendo!"
CDM ni CCM "C".
UKAWA itawasumbua sana nyinyi wajinga. Na Mwaka huu mnavikaragosi watupu. Hakuna mtu CCM anayekubalika na Wananchi. Hakuna anayeuzika. Mtakoma.
Kila swali linahitaji jibu lake, plse!