Tuliaminishwa na of course mimi niliamini kwa dhati kuwa CUF ni CCM B! Aliyenifanya niamini hivyo si mwingine ni mwanasiasa machachari na "mwanasheria nguli" Tundu Lissu!
Kwa kudhihirisha hilo CHADEMA ilikataa kabisa kata kata kuungana na CUF ili kuunda Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni!
Hata hivyo, hivi karibuni CUF kimeshikamana na CHADEMA wakiiponda CCM eti kupanga maandamano na mikutano ya hadhara kwa pamoja! Kweli hii ni ajabu sana!
Hebu tujiulize maswali yafuatayo:
1. Je, tuhuma za u-CCM B za CUF zilikuwa za kweli?
2. Kama zilikuwa za kweli, Je, kwa sasa CUF imeshakuwa "mtoto mzuri" na hatarudia tena utukutu wake?
3. Kama zilikuwa si za kweli, kuna sababu yoyote ya kuendelea kuiamini CDM?
4.......
Karibuni kwa mjadala, matusi, kejeli, nk si mahala pake, hata kama hatutakubaliana kila kitu, tuheshimiane!
Namnukuu Hamad Rashid wakati akiwa (KUB) anasema wakiwa bungeni mbunge wa Moshi mjini Philemon Ndesamburo aliniuliza hichi chama chenu cha CUF mbona kimekaa kiislamu?
Leo hii hawa hawa wafuasi wa Chadema wanasema chama cha ACT ni chama cha kiislamu kisa nyota mara chama cha watu wa Kigoma hapo nani muanzilishi/muendelezaji wa udini na ukabila?
jaribu kuelewa hoja ya lissu. Hawa wawili walikuwa mapacha wa dhana fulani yaani kuunganisha utawala kati ya cuf na ccm. Hayo ndiyo makubaliano. Ccm wangekuja na dhamiri ya umoja na maridhiano hayo, cuf wangeendelea kuwa wamoja. Kama mmoja kavunja makubalaino hapo upinzani unajitokeza wazi. Katika siasa hakuna wa kudumu. Ni uadui wa namna ya kufukiri. Anayefikiri tofauti na wewe leo ni mpinzani wako leo. Kesho akibadilisha mtazamo mnakuwa wote.tuliaminishwa na of course mimi niliamini kwa dhati kuwa cuf ni ccm b! Aliyenifanya niamini hivyo si mwingine ni mwanasiasa machachari na "mwanasheria nguli" tundu lissu!
Kwa kudhihirisha hilo chadema ilikataa kabisa kata kata kuungana na cuf ili kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni!
Hata hivyo, hivi karibuni cuf kimeshikamana na chadema wakiiponda ccm eti kupanga maandamano na mikutano ya hadhara kwa pamoja! Kweli hii ni ajabu sana!
Hebu tujiulize maswali yafuatayo:
1. Je, tuhuma za u-ccm b za cuf zilikuwa za kweli?
2. Kama zilikuwa za kweli, je, kwa sasa cuf imeshakuwa "mtoto mzuri" na hatarudia tena utukutu wake?
3. Kama zilikuwa si za kweli, kuna sababu yoyote ya kuendelea kuiamini cdm?
4.......
Karibuni kwa mjadala, matusi, kejeli, nk si mahala pake, hata kama hatutakubaliana kila kitu, tuheshimiane!
Tuliaminishwa na of course mimi niliamini kwa dhati kuwa CUF ni CCM B! Aliyenifanya niamini hivyo si mwingine ni mwanasiasa machachari na "mwanasheria nguli" Tundu Lissu!
Kwa kudhihirisha hilo CHADEMA ilikataa kabisa kata kata kuungana na CUF ili kuunda Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni!
Hata hivyo, hivi karibuni CUF kimeshikamana na CHADEMA wakiiponda CCM eti kupanga maandamano na mikutano ya hadhara kwa pamoja! Kweli hii ni ajabu sana!
Hebu tujiulize maswali yafuatayo:
1. Je, tuhuma za u-CCM B za CUF zilikuwa za kweli?
2. Kama zilikuwa za kweli, Je, kwa sasa CUF imeshakuwa "mtoto mzuri" na hatarudia tena utukutu wake?
3. Kama zilikuwa si za kweli, kuna sababu yoyote ya kuendelea kuiamini CDM?
4.......
Karibuni kwa mjadala, matusi, kejeli, nk si mahala pake, hata kama hatutakubaliana kila kitu, tuheshimiane!
Mtoa hoja
unamatatizo,kabla hujatoa hoja yako ungefafanua maana ya neno "ukawa",na
tambua huu umoja sio wa chadema na cuf,kwa kifupi viongozi hawa hawako
kwa maslahi ya vyama vyao,bali kwa kuitetea katiba ambayo ndo sheria
mama,kwa watanzania wote.
Is that all you can say?
Mleta mada hana Tofauti na Intarahamwe Msaka Tonge
Mkuu, haya ni mambo ya siasa kwa kawaida wanasiasa hu react negatvely pale upande wa pili unapokuwa kikwazo kwa malengo yake na positively pale upande wa pili unapo supportKwa hiyo CUF imeacha kuwa CCM B au haijawahi kabisa kuwa CCM B, na CHADEMA waliruongopea juu ya hilo?
Tuliaminishwa na of course mimi niliamini kwa dhati kuwa CUF ni CCM B! Aliyenifanya niamini hivyo si mwingine ni mwanasiasa machachari na "mwanasheria nguli" Tundu Lissu!
Kwa kudhihirisha hilo CHADEMA ilikataa kabisa kata kata kuungana na CUF ili kuunda Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni!
Hata hivyo, hivi karibuni CUF kimeshikamana na CHADEMA wakiiponda CCM eti kupanga maandamano na mikutano ya hadhara kwa pamoja! Kweli hii ni ajabu sana!
Hebu tujiulize maswali yafuatayo:
1. Je, tuhuma za u-CCM B za CUF zilikuwa za kweli?
2. Kama zilikuwa za kweli, Je, kwa sasa CUF imeshakuwa "mtoto mzuri" na hatarudia tena utukutu wake?
3. Kama zilikuwa si za kweli, kuna sababu yoyote ya kuendelea kuiamini CDM?
4.......
Karibuni kwa mjadala, matusi, kejeli, nk si mahala pake, hata kama hatutakubaliana kila kitu, tuheshimiane!
CUF walikuwa CCM B na tuhuma zilikuwa za ukweli, na kithibitisho ni hichi hapa
angalia kwa utulivu
lakini chadema tuko tayari kuungana na chama chochote chenye maslai chanya na rasilimali za Taifa la Tanzania
kwa kifupi lipumba anasema kikwetu alikuwa kwa wakati mgumu na ili yeye aweze kuokoa jahazi ilibidi atoe suport ya namna fulani kwa CCM this evidence show us that hawa walikuwa CCM B
Labda kwasababu huwa mnatoa ufahu wenu kwenye kufikiria hutataka kuangalia hiyo video na ukiangalia utataka kuelewa na ukibahatika kuelewa utajitoa ufahamu wako kama kawaida ya CCM na kunzaanza kutumia viungo vingine kufikiria badala ya ubongo