Mkuu! Nikikuonyaga humu kwamba Lisu wenu hatapata zaidi ya 20% na nikakupa sababu.Nimecheka kwa nguvu, eti kashapigwa kwenye box la kura. Ni hivi, hilo utatamani maisha yako yote lakini haitakaa itokee. Sana sana itabidi Tiss, polisi, nk ndio wawe wanawezesha ccm kutangazwa washindi. Kilichofanyika kwenye box la kura wote tumekiona, imedhihirika ccm haina uwezo tena wa kushinda kwa kura halali za wananchi. Imeisha hiyo.
Unapoongelea kuwa Upinzani Tanzania haupo jaribu kufikiri je kinachosababisha Upinzani ukose nguvu Tanzania je ni nini? Ni viongozi wake au wanachama wake?? Ni serikali inayoongozwa na CCM kwa kivuli cha mfumo wa vyama vingi lakini haitaki upinzani Tanzania??.Kwa Tanzania naona upinzani ni maneno tu ikija ishu ya vitendo ndipo unagundua upinzani wenyewe haupo.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Wacha tulime kazi kazi tu mengine acha wafia siasa wafie huko na kelele za kwenye mitandao.Eti na familia yako. Yaani Lissu tapeli yule akupotezee muda wako. Tangu Rais amefungua milango ya kutengeneza mabilionea wa Tanzaniasisi tumemuelewa na sasa tunavyeka mapori kuanza kilimo cha umwagaliaji.Mtabaki kuwa walalamikaji na kupoteza muda kwa subiri Lissu awe rais.
Acha aende Bungeni hiyo ni haki yake kama CHADEMA haitamtambua Ubunge unaweza ukakoma na akagombea tena kupitia chama kilichompa fadhila kwa kivuli cha CHADEMA kikiwa na malengo yake watampitisha kihalali kwenye chama chao na ataendelea kuwa Mbunge,hilo halitaiathiri CHADEMA hata kidogo kuliko muda huu yeye kuwa Mbunge kama mwakilisho wa CHADEMA akiwa na meno butu.Kama huu ndio msimamo uliotokana na maamuzi ya vikao vya chama, yule Mbunge aliyepo Bungeni lini atakoma kuingia kule kama Mbunge na mwanachama wa CHADEMA?
Hii kitu inaweza kwenda kuleta mtafaruku mkubwa.
Mkuu! Nikikuonyaga humu kwamba Lisu wenu hatapata zaidi ya 20% na nikakupa sababu.
Nikaiona hapa unajipinda kusema ule ulikuwa aiyo uchgauzi bali uchafuzi na huku umeshiriki mwanzo mpka mwisho, nakuona hujielewi, na huna tofauti na mleta mada au member mwingine wa humu anaeitwa mmawia
Ingekuwa kulikuwa na uchaguzi hata Mimi njngesononeka, Ila sio kile nilichokiona kwa macho yangu. Nilihakikisha najiridhisha na mchakato mzima ili nisiwe na shaka na matokeo. Nasema hivi bila kupepesa macho, ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Ila ww kwakuwa ulichotamani kusikia ndio ulichopata, una haki ya kushangilia, lakini usitamani kujua ukweli wa kilichofanyika kama kweli hujui, maana utaishia kufedheheka.
Mimi hapa nilipo roho hainiumi maana ukweli naujua, sana sana nameishia kulipuuza rasmi zoezi la upigaji kura. Yaani uvae nguo, utembee uchi, ufahamu ccm haina uwezo tena wa kushinda kwa kura halali za wananchi, na haitakaa iwe na uwezo huo fullstop.
Naam, niko hapa na familia yangu tunasubiri kumsikiliza mheshimiwa Rais wetu halali.
Alitapeli Familia yako au CCM?Lisu ni tapeli ,mchumia tumbo kwa mgongo wa huruma ya watanzania haijawahi tokea katika historia ya siasa nchi hii.
Hawa wazeee wa kiki wakwetu nimakanjanja na matapeliiiiNipe tofauti yao.
Thabo Mbeki alikimbia SA, je alipoteza mvuto? ANC kilifutwa SA, je kilikufa? Tumia akili unapotoa maoni.Lissu ameshapoteza mvuto tokea ameondoka kwa kukimbia nahisi hana tena impact yeyote, hawezi mapambano bora angebaki mbunge mstaafu tu akawa anakosoa serikali ingetosha, viatu vya kuutaka urais bado hajaiva.
Raia uliyewakataa ni wewe individual, Mimi sijawakataa. U CCM wako usijifanye kuwawakilisha wa Tz wote. Jiwakilishe kama wewe, usitusemee.Nawasikiliza, hawana jipya, raia tulishawakataa. Ila waache wamalizie chenchi za mabeberu maana walishapewa advance kwa kuwaahidi kuwauzia nchi.
Mwambie huyo mjinga.Unashangilia upuuzi huku familia yako inadidimia kwenye umasikini
Ndiyo haohao, wameongeza neno "TA" tu.Nasikia kuna shule karibu 30+ zimefutiwa matokeo ya darasa la saba sababu ya UDANGANYIFU..
BORA NECTA INGEKUWA NDO NEC.
Mungu wa CCM ni mwizi, mnafiki, muuaji, mkuu wa wasiojulikana, mtekaji.Unamjua Mungu au unasema tu,yeye asikilizi maombi ya mwenye dhambi na maombi ya mwenye dhambi ni kelele mbele za Mungu,,hapo nimekupa kidogo kuhusu Mungu mkuu sasa sijajua wewe unamahanisha Mungu yupi!?
unajua sana kiingereza , Hongera !Mkuu Erythrocyte (Any cells that carry oyxgen around the blood system) a red blood cell, which (in humans) is typically a biconcave disc without a nucleus. Erythrocytes contain the pigment haemoglobin, which imparts the red colour to blood, and transport oxygen and carbon dioxide to and from the tissues.
Baada ya kutoa tafsiri ya kitalaamu ya utambulisho wako jukwaa lingetarajia kubeba sifa hiyo
To be precise you are wasting your precious time and resources to pose as a mouthpiece advocating a man of blasphemy. And to get it right the route you are taking is too narrow for you to walk over to the other side dof the alleyed river.
Both Hon. Seif & Jussa at different occasion responded in an interview that they are still considering the Isles revolutionary government invitation to form a GNU as prescribed in the Zanzibar constitution, so why is he emerging to speak out something tasteless to amicable leadership agreement?
It is of no doubt you are being financed to sooth the desperate expectations of the radical enthusiastic political supporters who might have been brainwashed to chant the impossible.
[Kuna sehemu hili swali limejibiwa? Au ndiyo tusubiri mpaka parapanda ikiliaKwa Zitto, wewe ni kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na mpaka sasa bado mmekataa matokeo, tunajua Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi ameandika barua kwa chama chako kuunda baraza au serikali ya umoja wa kitaifa na chama chako kimesema kimepokea barua na kinafanya mkutano wa ndani. Kama mnakataa matokeo kwanini mmepokea barua na kitu gani mnaenda kuzungumza?
endeleeni kuedit maandishi , ni wapi ulikoni quote nimeweka andiko hilo ? kutengeneza uongo na kuuweka JF ni kosa kwa mujibu wa sheria za jf na inaweza kukupa Ban ya mileleKuna sehemu hili swali limejibiwa? Au ndiyo tusubiri mpaka parapanda ikilia...
Ndiyo haohao, wameongeza neno "TA" tu.