Tundu Lissu Awindwa

Tundu Lissu Awindwa

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
6,346
Reaction score
1,872
Habari wana Jamvi

Kwa mujibu wa taarifa niliyoipokea sasahivi kupitia Radio ya M/ kiti wa ccm Mwanza,Bwana Diallo kuwa,katika jimbo la Singida Mashariki uongozi wa ccm umemuagiza Mkuu wa wilaya,CAG na idara zinazohusika,wafanye ukaguzi katika mahesabu wa mfuko wa jimbo jinsi ulivyotumika.

Hali hii imekuja baada ya Uongozi wa ccm ngazi ya Mkoa na Wilaya katika ziara yao kufanya ziara jimboni humo kukagua utekelezaji wa ilani ya ccm.wamegundua kuna miradi hewa ambayo imetumia fedha zaidi ya milioni 400.

My take
Hivi mfuko wa jimbo ,mwenye mamlaka ya kuchukua fedha benki kuzipangia matumizi,na kuzitumia ni Mbunge?

Je,mfuko huo unaelekeza fedha hizo zitumike kwenye miradi gani?

Hivi halmashauri hiyo,wakati ripoti ya CAG ya 2013/2014, ikiwasilishwa kwa Spika na kamati ya PAC,taarifa ya Jimbo la Singida Mashariki hakuwemo?

Kila Halmashauri ina mchumi wake,je kwenye kikao cha Madiwani vipaumbele vyao havigusi mfuko wa Jimbo.Wadau hebu tupime kauli ya Katibu wa ccm wa Singida!
 
...waanze na uchunguzi wa magogoni kwanza, kuna mzigo wa maana sana umepigwa...
 
Mh lissu yuko vizuri jimboni kwake watafute sababu zao za kuombea kura lakini lissu alisha maliza siku nyingi kwenye jimbo lake akuna mchango wowote wa kipuuzi ndio maana serikali za mitaa aliwatandika sawasawa
 
We una nguvu ya kumtetea Lissu??!!
Kama unasema hachukui pesa benki unachecheta nini sasa??!?
Kama una uhakika PAC na CAG waliona safi motive yako ya "kuwindwa" ni nini??!!!
Kama unajua kuna mchumi na DT bado hofu yako inajengeka juu ya nini haswa??
 
Habari wana Jamvi

Kwa mujibu wa taarifa niliyoipokea sasahivi kupitia Radio ya M/ kiti wa ccm Mwanza,Bwana Diallo kuwa,katika jimbo la Singida Mashariki uongozi wa ccm umemuagiza Mkuu wa wilaya,CAG na idara zinazohusika,wafanye ukaguzi katika mahesabu wa mfuko wa jimbo jinsi ulivyotumika.

Hali hii imekuja baada ya Uongozi wa ccm ngazi ya Mkoa na Wilaya katika ziara yao kufanya ziara jimboni humo kukagua utekelezaji wa ilani ya ccm.wamegundua kuna miradi hewa ambayo imetumia fedha zaidi ya milioni 400.

My take
Hivi mfuko wa jimbo ,mwenye mamlaka ya kuchukua fedha benki kuzipangia matumizi,na kuzitumia ni Mbunge?

Je,mfuko huo unaelekeza fedha hizo zitumike kwenye miradi gani?

Hivi halmashauri hiyo,wakati ripoti ya CAG ya 2013/2014, ikiwasilishwa kwa Spika na kamati ya PAC,taarifa ya Jimbo la Singida Mashariki hakuwemo?

Kila Halmashauri ina mchumi wake,je kwenye kikao cha Madiwani vipaumbele vyao havigusi mfuko wa Jimbo.Wadau hebu tupime kauli ya Katibu wa ccm wa Singida!
Hivi unajua maana ya kuwindwa wewe?
 
Wewe wasiwasi wako upi kama mbunge wako hajahusika na ufisasi wa matumizi ya mfuko wa jimbo?
 
We una nguvu ya kumtetea Lissu??!!
Kama unasema hachukui pesa benki unachecheta nini sasa??!?
Kama una uhakika PAC na CAG waliona safi motive yako ya "kuwindwa" ni nini??!!!
Kama unajua kuna mchumi na DT bado hofu yako inajengeka juu ya nini haswa??
Ukweli utawaweka huru jibu hoja wacheni kuwa vioja holo jimbo nikati yamajimbo yanayofanya vema sana kwenye nchi hii sasa mnataka kuleta vioja jibuni hoja
 
Nimesoma sijaona sehemu yeyote Lissu akiwindwa, naona unalalamika tu kuhusu mfuko wa jimbo kama unaamini Lissu ni msafi wasiwasi wa nini sasa.
Uchafu atole wapi wakati anawashugulikia ccm vilivyo. Nyie ndio mekosa pakutokea ndio mekuja na futuhi la Mfuko wa jimbo
 
mwenye mamlaka na mfuko wa jimbo ni mbunge,kwanini wasiende kukagua kwa majimbo wa ccm?wakianza na ukonga,na segerea?
 
Waanze na jimbo la pinda kule hakunaga maji wala barabara watoto wanakaa chini darasani
 
Hivi unajua maana ya kuwindwa wewe?

Kitengo cha ccm kukomalia majimbo ya upinzani wakat ya kwao yanapishana na maendeleo ndio kuwindwa...unadhan kuwindwa ni kama unavyowinda wale tembo na kikampuni chenu cha familia?
 
Habari wana Jamvi

Kwa mujibu wa taarifa niliyoipokea sasahivi kupitia Radio ya M/ kiti wa ccm Mwanza,Bwana Diallo kuwa,katika jimbo la Singida Mashariki uongozi wa ccm umemuagiza Mkuu wa wilaya,CAG na idara zinazohusika,wafanye ukaguzi katika mahesabu wa mfuko wa jimbo jinsi ulivyotumika.

Hali hii imekuja baada ya Uongozi wa ccm ngazi ya Mkoa na Wilaya katika ziara yao kufanya ziara jimboni humo kukagua utekelezaji wa ilani ya ccm.wamegundua kuna miradi hewa ambayo imetumia fedha zaidi ya milioni 400.

My take
Hivi mfuko wa jimbo ,mwenye mamlaka ya kuchukua fedha benki kuzipangia matumizi,na kuzitumia ni Mbunge?

Je,mfuko huo unaelekeza fedha hizo zitumike kwenye miradi gani?

Hivi halmashauri hiyo,wakati ripoti ya CAG ya 2013/2014, ikiwasilishwa kwa Spika na kamati ya PAC,taarifa ya Jimbo la Singida Mashariki hakuwemo?

Kila Halmashauri ina mchumi wake,je kwenye kikao cha Madiwani vipaumbele vyao havigusi mfuko wa Jimbo.Wadau hebu tupime kauli ya Katibu wa ccm wa Singida!

kwani hizo pesa si wanakabiziwa wakurugenzi miji? japo nao wabunge wanapewa pesa zao kukazia pale panalegalega sasa wengine wanatumia kununua jez na mipira
 
Unachoandika wala hakina mantiki hata kidogo endelea kujiposha uone kama utapata faida yoyote.
 
Back
Top Bottom