jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
Hahahaaaaaa wanawinda mto Nile
Ukweli utawaweka huru jibu hoja wacheni kuwa vioja holo jimbo nikati yamajimbo yanayofanya vema sana kwenye nchi hii sasa mnataka kuleta vioja jibuni hoja
Nimesoma sijaona sehemu yeyote Lissu akiwindwa, naona unalalamika tu kuhusu mfuko wa jimbo kama unaamini Lissu ni msafi wasiwasi wa nini sasa.
Juzi mkaguzi mkuu wa serikali ameakabidhi makaburasha Ikuru na Akasema ni ukaguzi wa Tanzania Nzima. Kwani Singida kwa Lisu sio Tanzania?. Au nataka Mmtume Afande Kova akakague?. Au hayo makaburasha ya AG hamuyaamini?. Kuweni wawazi. Msimungunye Mane no hapa.
Unachoandika wala hakina mantiki hata kidogo endelea kujiposha uone kama utapata faida yoyote.
Baada yakushindwa kujibu hoja ndio umeona umeandika cha maana sana hicho?Sasa kama wanafanya vizuri unazungumzia nini haswa wewe mtu akija kukuambia kesho utapata mimba wakati unajijua ni mwanaume utakuwa na hofu???!!!!
Nilijua anawindwa kama wanavyowindwa mifugo ya porini.
Baada yakushindwa kujibu hoja ndio umeona umeandika cha maana sana hicho?
Kauli ya katibu wa ccm mkoa kumhusisha Tundu Lissu kwenye Mfuko wa jimbo ni kumwinda kisiasa,
Kwa nini ccm haikukagua mfuko huo wa jimbo Ukonga ambako barabara zake hazipitiki na kumuuliza Makongoro Mahanga na Meya Jerry Slaa mfuko wa jimbi unaishia wapi?
Kwenye ujenzi wa Maabara wananchi wamechangishwa,je hawakuona mfuko unapeleka pesa wapi?

Watafanya kila hila na hawatafanikiwa....waanzie kwa Mwigulu