Tundu Lissu Awindwa

Tundu Lissu Awindwa

Da! tittle kaka imenirusha rohokweli kumbe ningepita wimatu

Weka motochini upime uwezo wa Think Tank ya Singida Mashariki,imeshindwa kuwashawishi shemeji zangu,kwenye Serikali za mitaa, inarusha mateke ishara ya kukata roho,subirini udiwani atawasafisha kabisa bora muanze kufanya mwafaka mapema!
 
Haki itendeke katika ili.isiwe ni mbwembwe za kisiasa.maana kwa uelewa wangu mdogo pesa ya mfuko wa jumbo haiwekwi kwenye acc bnafsi ya mbunge bali inawekwa kwenye acc ya halmashali hucka na kuna kamati hucka na wala sio pesa bnafsi ya mbunge.
 
Maneno ya kipuuzi, Tundu Lissu awindwe kwani yeye Simba? Mleta uzi huu ana harufu mithili ya Kimagamba. POLE SANA!
 
Haki itendeke katika ili.isiwe ni mbwembwe za kisiasa.maana kwa uelewa wangu mdogo pesa ya mfuko wa jumbo haiwekwi kwenye acc bnafsi ya mbunge bali inawekwa kwenye acc ya halmashali hucka na kuna kamati hucka na wala sio pesa bnafsi ya mbunge.

Ndio ujue ccm imekosa washauri wazuri,ndio maana wanaropoka tu
 
Acheni maneno mil.400 tu! Mbona atakuwa amekula kidogo sana, mmesahau joka la makengeza? Hata Lissu atakuwa alitumwa na wapiga kura wake ndiyo maana michango ya kijinga jimboni kwake haipo, huenda hizo fedha zimesaidia kulipia michango
 
Back
Top Bottom