MAPOKEZI YA TUNDU LISU KIBONDO JIMBO MUHAMBWE
Takwimu za Haraka : Idadi ya Watu: Huduma za Kijamii: Maendeleo ya Watu : Maendeleo ya Vitu : source : Mwanzo
Hotuba za Tundu Lissu na Felix Mkosamali leo tarehe 20.09.2020 mjini Kibondo, Kigoma imegusia yafuatayo :
Ilani ya CHADEMA 2020 kuhusu Uhuru , Haki na Maendeleo ya Watu . Kinyago tulichokichonga wenyewe hatushindwi kukigeuza kuni Oktoba 2020. Barabara ya Nyakanazi haijakamilika miaka 50 lakini Chato International Airport imejegwa chapchap kijijini kwake Chato.
Hivi wana Kibondo ununuzi wa ndege za bombardier na Dreamliner ni vipau-mbele vyenu ? Mwezi ujao kinyango tulicho chonga wenyewe hakiwezi kututisha, hivyo piga kura ya mbunge kwa Felix Mkosamali wa CHADEMA, udiwani wote CHADEMA na Urais kwa Tundu Lissu.
Waziri wa Fedha Philip Mpango alinyakua fedha za kujenga barabara za Kibondo mwaka 2015 na kuzipeleka katika jimbo lake huko kwao Dr. Mpango.
Polisi OCD wa Kibondo alaumiwa kwa kuwanyanyasa wananchi wa Kibondo na IGP aombwa amuondoe Kibondo. Biashara ya dagaa inafuatiliwa utafikiri ni biashara ya bangi.
Maji katika mji wa Kibondo ni tatizo kubwa sana, CHADEMA itatafuta chanzo cha kuaminika kutoka Mto Malagarasi .
Tundu Lissu ampa angalizo kali OCD wa Polisi kuwa atende haki asiwanyanyase wananchi pia asitumike kuvuruga uchaguzi wa 2020.

- Idadi ya Watu kutokana na sensa ya Mwaka 2012 = 261,331
- Idadi ya Kata = 19
- Number of Villages = 50
- Idadi za Shule ya Msingi = 84
- Number Secondary Schools = 24
- Health Delivery Facilities = 45
- Idadi ya Tarafa = 3
Kibondo : Hali ya kisiasa, utendaji, wakimbizi, misaada ya Umoja wa Mataifa kuhusu Wakimbizi
Posted On: February 12th, 2020
UNHCR KIBONDO YASAIDIA UJENZI WA BARABARA KIBONDO
Posted On: February 12th, 2020
Kamati ya siasa ya chama cha Mapinduzi wakiongozwa na DED Mkurugenzi Mtendaji imekagua ujenzi wa barabara kwa kiwango cha changarawe kilometa 10.8 toka Nengo hadi Kambi ya wakimbizi Nduta.Ujenzi wa mradi huu umepitia OR TAMISEMI kwa ufadhili wa shirika la UNHCR kwa ghrama ya T.sh 212,691,235.66 na ujenz wa mradi umesimamiwa na TARURA na umekamilika. Ziara ya kukagua mradi ilifanyika tarehe 10 mwezi februari 2020