Unamsoma FaizaFoxy lakini humuelewi na sidhani kama utakuja kumuelewa!! Huyu dada/bibi alishawahi kulimwa #LifeBan na #Mods ...miaka ile (nadhani badae alisamehewa na ndo ndio unamuona tena hapa jamvini).Bado najiuliza kama anayeandika hapa ni FaizaFoxy ninayemsomaga humu, au aliacha computer bila ku-log out sasa kuna mtu anaitumia!
Kweli huu muungano batili umewagawa CCM kwa wengine wakitetea maslahi ya nchi kama FaizaFoxy na wengine wakitetea matumbo yao kama MwanaDiwani ambaye cheo alichonacho CCM hapo kabla hakikuwepo, hivyo akitumia akili kuhusu huu muungano kwa kudai Tanganyika yetu, huenda cheo chake kikafutiliwa mbali kwenye uso wa sisiem.
So inamlazimu aendelee kutumia tumbo kufikiri kwenye masuala nyeti kama haya.
Hoja ya Kassimu Hanga ilishajibiwa jana na mtoto wa Hanga. Alisema kuwa baba yake alikufa kifo cha kawaida na alizikwa kwa mujibu wa taratibu zote za dini ya kiislam. Anasema pia kaburi la baba yake lipo
Aisee napata shida kuielewa hiyo kauli yako BLUE naona unairudiarudia bila hoja. Kwani ukipelekwa mahakani au hata selo za polisi kwa kosa la kuiba kuku, kweli pale utaanza kuhukumiwa tu bila kuulizwa kama uliiba kuku au la? Hapo lazima ujibu NDIO nimeiba au SIO sijaiba jibu ambalo litamuhitaji anayekushtaki sasa aje na hiyo "proof".Ndugu, Kama ni swala la maandiko tu, mbona kuna maandiko ya fiction mengi tu.
Hoja hapa siyo maandiko bali mantiki iliyoko ndani ya maandiko halafu cha kushangaza, anayedaiwa kutenda ndiyo tena anaulizwa kama ametenda.
Hapa unacheza na maneno, na hujaja na jibu.
Tunachotaka ni majibu, jee, walikufa kweli wakiwa mikononi mwa Serikali ya Nyerere na au Karume? Jee, walifungwa kwanini kama jibu la kwanza ni ndio. Jee, kama walizikwa kisheria ya dini zao, walizikwa wapi, kwani Tundu Lissu kasema bungeni na hakuna mpaka sasa kauli iliyotoka kujibu shutuma za hawa watu.
Tundu Lissu hakusimama pale bungeni na hoja yake binafsi, Tundu Lisssu alikuwa anaongea hoja za wapinzani. Serikali kukaa kimya kwa hili inatutia mashaka sisi wananchi.
Na hapa naona wewe unakuja kucheza na maneno, inaonesha ni vipi ulivyo na kejeli katika kuonegelea masuala ya binaadam ambao wengi tumesikia juzi bungeni maafa yaliowakuta wakiwa mikononi mwa Serikali. Wala hatukusikia pale bungeni mbunge yeyote akisema Lissu athibitishe aliyoyasema la sivyo afute kauli zake kuwa ni uongo, hatujaona hayo.
Nakushauri amma njoo na majibu ya hayo ki staha na utaarabu amma sema huna majibu, lakini kutetea uovu ni laana kubwa kuliko mfano.
Hakuna ulevi mbaya kama ulevi wa madaraka, na hapa unaongea kama mtu aliyelewa madaraka.
Kwa nini huyo anayesema wamezikwa kwenye handaki asiwapeleke kwenye hilo handaki.
Yaani haya maswali yako nje ya mantiki . Hiyo hiyo serikali inadaiwa iliua halafu hiyo hiyo serikali inaulizwa tena kama iliua.
Mind you. The burden of proof rested with the accuser rather than the accused.
Kwa hali ilivyo sasa inabidi awe mvumilivu la sivyo na huko kutangatanga kwake na kutembeza bakuli kila mahali anaweza akapigwa stop. Hata hivyo anaweza kupata muda wa kujua matatizo ya wananchi wake akitulia inchini. Anaweza kuona watoto wanaokaa chini ,wanaoandikia kwenye magoti yao, wanaosomea chini ya mwembe nk.wasio na maji,wanaokaa kwenye tembe, hospital zisizo na dawa kama Panadol, watu ambao waliuziwa mbegu za pamba silizochakachuliwa nawasijuwe pa kupata fedha za kusaidia maisha yao bila serikali kutoa fidia yoyote.na mengine mengi sanaZamani wapinga muungano kama alivyo Tundu Lissu walikuwa wanashughulikiwa ipasavyo. Tumshukuru Mungu kwa kutuletea Rais mvumilivu sana kwa sasa
Zamani wapinga muungano kama alivyo Tundu Lissu walikuwa wanashughulikiwa ipasavyo. Tumshukuru Mungu kwa kutuletea Rais mvumilivu sana kwa sasa
Kumbuka kuwa hapa hatuongelei "proof", tunaongelea hoja ya watu waliosemekana wamepotezwa kwa kuupinga muungano wa Nyerere na Karume kwa namna moja au nyingine.
Hili suala si jepesi kama unavyolichukulia, na hizi ndio baadhi ya kero kuu za Muungano, wanaoongelewa ni watu na si vitu.
Serikali inatakiwa ije na majibu ya kuridhisha wananchi na si kuja na maswali mbadala. Kama walikufa walipokuwa chini ya mikono ya Serikali inabidi serikali ieleze na walipozikwa ni wapi na kwanini waliwekwa kizuizini.
Ndugu, Kwanza lazima uelewe hii siyo selo achilia mbali mahakama.Aisee napata shida kuielewa hiyo kauli yako BLUE naona unairudiarudia bila hoja. Kwani ukipelekwa mahakani au hata selo za polisi kwa kosa la kuiba kuku, kweli pale utaanza kuhukumiwa tu bila kuulizwa kama uliiba kuku au la? Hapo lazima ujibu NDIO nimeiba au SIO sijaiba jibu ambalo litamuhitaji anayekushtaki sasa aje na hiyo "proof".
So maswali ya Lissu au Upinzani yapo wazi tunahitaji majibu ya upande wa pili na si mipasho...!(Kiufupi maswali yenyewe ni haya: Je ni kweli walikuwa torchered na waliuawa? Je walishtakiwa kwa kosa gani? Je ni mahakama gani iliwashtaki? Wapi wazikwa kwenye handaki moja?)
Ndugu, kama hujasoma sheria utafahamu vipi mambo ya kisheria na kuanza kuwakosoa wengine ambao hufahamu kama ni wataalam wa sheria.We Jamaa sheria umesoma wapi? Mimi sijasoma sheria lakini hapa naona kama unachanganya mambo.
Ndugu, swali lako ni zuri sana.
Hiyo hotuba tunafahamu imeandikwa na CUF na akapewa Tundu Lissu aisome kwa sababu yeye kwa sasa ndiyo mwenye "akili kubwa' ndani ya UKAWA.
CUF nia yao ni kupandikiza mbegu za utengano kwa kumshambulia Mwl. Nyerere wakitegemea kushusha heshima yake katika taifa ili hata hoja zao za Muungano zipate wafuasi.
Mbona inaonekana mnalazimisha mjibiwe mnavyotaka nyie, serikali iachane na kujibu uzushi kila siku jamaa alishazusha kuhusu hati za muungano na zikaonyeshwa watu mkabaki midomo wazi sasa mtoto wa Hanga amesema serikali ijibu nini tena.
Hakuna wananchi wanaotaka hayo majibu wengi wamezaliwa baada ya muungano na tuko poa, wanasiasa ndio wanaotaka majibu na wananchi msiwasingizie semeni mnachotaka straight.
Kassim Hanga alikuwa waziri mkuu na baadae makamu wa Rais , hivi ni kiongozi yupi alihudhuria mazishi yake ? Kiongozi mkubwa kama huyu hata Sheha asiiwakilishe serikali kweli?Ndugu, Kwanza lazima uelewe hii siyo selo achilia mbali mahakama.
Pili, utampelekea mtu sero bila kidhibiti/kielelezo ambacho ni kuku aliyeibiwa?. Lazima kwanza huyo kuku aliyeibiwa awepo.
Tukirudi kwenye hoja, kiko wapi hicho kielelezo/kidhibiti kinachofanya uniulize maswali na hasa unapodai marehemu walizikwa kwenye mahandaki.
Ndugu, swali lako ni zuri sana.
Hiyo hotuba tunafahamu imeandikwa na CUF na akapewa Tundu Lissu aisome kwa sababu yeye kwa sasa ndiyo mwenye "akili kubwa' ndani ya UKAWA.
CUF nia yao ni kupandikiza mbegu za utengano kwa kumshambulia Mwl. Nyerere wakitegemea kushusha heshima yake katika taifa ili hata hoja zao za Muungano zipate wafuasi.
Sasa hapa jamii ndo unamkanya ama kwanini hamkujibia bungeni zaidi mnakwepa kujibu hoja zake badala yake mnamuongelea yeye kama TL!Madaraka na Haki za Bunge
100.-(1) Kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika Mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge.
(2) Bila ya kuahiri Katiba hii au masharti ya sheria nyingine yoyote inayohusika, Mbunge yeyote hatashtakiwa au kufunguliwa shauri la madai mahakamani kutokana na jambo lolote alilolisema au kulifanya ndani ya Bunge au alilolileta Bungeni kwa njia ya maombi, muswada, hoja au vinginevyo.
Hata hivyo sijawahi kuona mnamjibu zaidi ya kuja kwetu na kulialia, kwani sisi ni nani kwa TL? baba yake au mwalimu wake?
Kajibu hoja sisi tunaangalia point za mtu na sio uwongo uwongo wenu wa enzi za kula mizizi na nyama mbichi!
Juma Abdallah Hanga, na Tundu Lissu alimuongelea Kassim Hanga. Wapi na wapi?