Tundu Lissu atishiwa Kifo

Tundu Lissu atishiwa Kifo

Nani amtishie huyo maisha? Hivi kama kuna mtu ana nia naye kwa nini amtishie badala ya kufanya kimya kimya? Kick zingine za kipumbavu sana
Kama kawaida au sio? Kisha kwenye kiroba halafu tupa mtoni! Hivi mnajisikia amani sana eeh? Na wafanyieni wenzenu as if ninyi mtaishi milele. Roho mbaya tu!
 
Back
Top Bottom