Tetesi: Tundu Lissu Asikitishwa na yanayoendelea Chadema na Uchaguzi 2020

Watu mtazushaaaa weeee lakini msisahau kitu kimoja. Membe kama kachero mbobezi hawezi Hama CCM labda CCM imfukuze naami CDM wanalijua hilo na CCM wanalijua hilo.
 
Tundu Lissu hawezi kua na akili finyu kiasi hiki, haya yaliyoandikwa hapa hayawezi kua mawazo ya Lisu ni uzushi tu. Pesa zilizokamatwa Dodoma zinahusianaje na Membe? Urafiki wa Membe na Manji ulianza lini? Achani uzushi wandugu tena unaweza kuta aliyeandika haya ni mwana CCM Mwenzetu nia ni kumchafua Membe tu wala sio issue ya Lisu. Pesa ya Gadafi inahusikaje na Membe? Mbona alishatoa maelezo ya hili?
 

nacho furahi chadema kwetu utakiwi kukosoa wala kutushauri.jibu letu ni kupanic
 
Kwahiyo unatakaje siasa niwatu sio visasi hata magufuli akihamia leo tunampokea kwa matarumbeta japo mwwnyekiti yupo segerea hiyo ndio siasa mkuu
 
Nitajie pesa ambazo ziliibwa zikakosa maelezo awamu iliyopita.

 

Nawewe unajiona umechambua hoja unarukia mara Membe mara lisu,wewe nenda shule kanoe huo ubongo kwanza,hovyo kabisa
 
Kwa akili yako hiyo huwezi elewa na hapo wazaz wako wanaamini ulimaliza darasa la saba you cant even understand a simple logic like this one. Nyi mnasababisha elimu yetu ionekane haifai.you cant think, you cant reason. Sasa unafanya nini hapa duniani?

Nawewe unajiona umechambua hoja unarukia mara Membe mara lisu,wewe nenda shule kanoe huo ubongo kwanza,hovyo kabisa
 

Hiyo ni habari ya kufikirika tu.
 
Unacho nena ni ukweli usio pingika
Ifikapo 2019 katikati hiyo mijitu itakosa pesa ya kabisa kwa sababu ya roho zao za usaliti walahi
Wamemkera MAMA TANZANIA naye ana wapiga katika kila sector ya maisha yao walahi
Chadrama mcharuko mizee ya matukio kwishney
Bavicha magoti malofa kwishney
 
hakuna anayemshabikia membe, sisi kazi yetu ni kuchochea kuni moto uwake.
Uwake wapi wakati hamna moto?
Membe lofa si amerudi?
Kimya, jitu zima ukumbuke siri kubwa ya maendeleo ni ku focus sio kwenda nyumba ya jirani umvurugie ili wewe upate maendeleo, it doesn’t make sense walahi
What is wrong with you people walahi
 
Uwake wapi wakati hamna moto?
Membe lofa si amerudi?
Kimya, jitu zima ukumbuke siri kubwa ya maendeleo ni ku focus sio kwenda nyumba ya jirani umvurugie ili wewe upate maendeleo, it doesn’t make sense walahi
What is wrong with you people walahi
eti hamna moto

Bashiru vs Membe vs Msekwa vs Makamba
 
Propaganda za Chekechea, yaani bila hata kafanya upelelezi wowote naweza kuthibitisha kwamba wewe umetumwa na maccm, ni lini Tundu Lissu alikwambia anataka kugombea urais ?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…