YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,906
- 51,928
Wamekesha kwenye pombeVijana hamlali kabisa kudadeki asubuhi yote hii
Wamekesha kwenye pombeVijana hamlali kabisa kudadeki asubuhi yote hii
Punguza ulevi saa sita asubuhi ndio kitu gani umekesha kwenye pombeZoezi la kupiga kura litaanza majira ya saa. 6:00 asubuhi muda wa dakika 51 kuanzia sasa.
TLS HAINA WALINZI WA KULINDA ILI KUSITOKEE FUJO MAANA ARUSHA NDO CHIMBIKO LA WAPENDA HAKI AWAPENDI KUONEWA.Nipo hapa siti ya mbele kabisa nikisubiri updates.
Nitoe wito tu kwa wale wanao panga njama za kuharibu au kuvuruga uchaguzi (kama tetesi zinavyo dai) huu waache mara moja. Kila la kheri
Bob Gecha tayari kafika Arusha kufuta, ndio kama kawaida yakeVp kura zinalindwa lakini?
Au ndyo hbar za mita 200
Point yako haina mashiko.Sasa huyu Lisu akishinda na kila siku ndio mvunja sheria kiasi kwamba lumande ni kama kwake, hamuoni kuwa haitaleta picha nzuri katika hiyo nafasi aliyopo. Maadili ni kitu muhimu sana.
Wewe je?Vijana hamlali kabisa kudadeki asubuhi yote hii
Time is maney, tunakwenda na time mkuuHivi kwanini huo uchaguzi Una fanyika asubuhi sana kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 asubuhi ??
Sasa kama yeye ni mvunja sheria iweje kesi zote ashinde?Mkuu asubuhi hii usitafutie watu ban.Sasa huyu Lisu akishinda na kila siku ndio mvunja sheria kiasi kwamba lumande ni kama kwake, hamuoni kuwa haitaleta picha nzuri katika hiyo nafasi aliyopo. Maadili ni kitu muhimu sana.
Asante kama unatambua kuwa huwa anavunja sheria. Sasa sijui unakataa nini na kukubali nini ilihali nawe unatambua uvunjaji sheria wake.Point yako haina mashiko.
Sawa sometimes alivunja sheria... lakin mara nyingi ni figisu figisu za viongoz wa serikali. Kes nying walizompeleka mahakaman hazina mashiko... ndio maana jamaa anawashinda mahakamani kila leo.