Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

March 18. 2017
Arusha, Tanzania

Tanganyika Law Society (TLS) mkutano wa mwaka katika ukumbi wa Simba, Arusha International Conference Centre (AICC), Arusha, Tanzania. Chama cha wanasheria Tanganyika TLS kuandika historia mpya ya chama ili kuleta mguso ktk taaluma ya wanasheria huru wanaojitambua na kuacha kuogopa mbinyo-hasi toka serikalini.

 
Nipo hapa siti ya mbele kabisa nikisubiri updates.
Nitoe wito tu kwa wale wanao panga njama za kuharibu au kuvuruga uchaguzi (kama tetesi zinavyo dai) huu waache mara moja. Kila la kheri
TLS HAINA WALINZI WA KULINDA ILI KUSITOKEE FUJO MAANA ARUSHA NDO CHIMBIKO LA WAPENDA HAKI AWAPENDI KUONEWA.
 
Baada ya mawakili wote kuwasili ukumbini kura zitapigwa kuanzia saa kumi na mbili muda huu mpaka saa tatu asubuhi.
 
Sasa huyu Lisu akishinda na kila siku ndio mvunja sheria kiasi kwamba lumande ni kama kwake, hamuoni kuwa haitaleta picha nzuri katika hiyo nafasi aliyopo. Maadili ni kitu muhimu sana.
Point yako haina mashiko.
Sawa sometimes alivunja sheria... lakin mara nyingi ni figisu figisu za viongoz wa serikali. Kes nying walizompeleka mahakaman hazina mashiko... ndio maana jamaa anawashinda mahakamani kila leo.
 
Point yako haina mashiko.
Sawa sometimes alivunja sheria... lakin mara nyingi ni figisu figisu za viongoz wa serikali. Kes nying walizompeleka mahakaman hazina mashiko... ndio maana jamaa anawashinda mahakamani kila leo.
Asante kama unatambua kuwa huwa anavunja sheria. Sasa sijui unakataa nini na kukubali nini ilihali nawe unatambua uvunjaji sheria wake.
 
Kabla ya kuingia ndani ya ukumbi wa AICC ukaguzi mkubwa sana unafanyika huwezi kuingia kama huna kitambulisho bado mawakili wanaingia kwa ajili ya zoezi la kupiga kura.
 
Back
Top Bottom