Tundu Lissu angeweza kuisaidia sana serikali katika suala la makinikia ya Acacia

Ikifika wakati tukaweza kutofautisha itikadi zetu na maslahi ya Taifa basi tutakuwa tumepiga hatua kubwa.

Mazungumzo kati ya Kampuni ya madini Acacia na Serikali huenda yangezaa matunda mazuri kama serikali ya ccm ingekuwa tiyari kuwatumia wanasheria waliobobea kama kina Lisu na wengine bila kujali uchama.

Tuweke maslahi ya Taifa letu mbele.
Tundu Lissu angesaidia??? You are not serious. Anayesema nchi iwekewe vikwazo ili iyumbe kiuchumi ndio atasaidia nchi ipate pesa yake ili iimarike kiuchumi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikifika wakati tukaweza kutofautisha itikadi zetu na maslahi ya Taifa basi tutakuwa tumepiga hatua kubwa.

Mazungumzo kati ya Kampuni ya madini Acacia na Serikali huenda yangezaa matunda mazuri kama serikali ya ccm ingekuwa tiyari kuwatumia wanasheria waliobobea kama kina Lisu na wengine bila kujali uchama.

Tuweke maslahi ya Taifa letu mbele.
Tundu yupi unayemuongelea hapa
Au mie mgeni hapa ???
Unamzungumzia Tundu huyu aliyetoa tamko la kuwahamasisha wadau wetu wa maendeleo wasilete misaada nchini kwetu ?
Tundu huyu ambaye amekuwa kinara wa lawama dhidi ya hatua tulizochukua kwa mwekezaji huyu wa makinikia ?
Tundu huyu anayepinga kila jambo ali mradi tu limesemwa na walioko kwenye madaraka ?
Tundu huyu asiye na staha dhidi ya mamlaka zilizopo
Naomba kumfahamu Tundu unayemuongelea vinginevyo mod futa huu uzi
 
Ni mtu sahihi kuliko hata aliyeunda hiyo kamati. Historia ya Lissu katika kupigania rasimali za madini katika Nchi hii ni ya kutukuka kuliko hawa waliopo leo.
Lkn sio kitu rahisi Lissu kuwemo humo. Watu wale watajiona wanampa ushindi Lissu badala ya ushindi kwa Taifa!
 
Tundu yupi unayemuongelea hapa
Au mie mgeni hapa ???
Unamzungumzia Tundu huyu aliyetoa tamko la kuwahamasisha wadau wetu wa maendeleo wasilete misaada nchini kwetu ?
Tundu huyu ambaye amekuwa kinara wa lawama dhidi ya hatua tulizochukua kwa mwekezaji huyu wa makinikia ?
Tundu huyu anayepinga kila jambo ali mradi tu limesemwa na walioko kwenye madaraka ?
Tundu huyu asiye na staha dhidi ya mamlaka zilizopo
Naomba kumfahamu Tundu unayemuongelea vinginevyo mod futa huu uzi
UNATAKA MISAADA WAKATI TUNAJIANDAA KUUZA MITUMBA ULAYA ?? TUMIA AKILI KUFIKIRI
 
Ikifika wakati tukaweza kutofautisha itikadi zetu na maslahi ya Taifa basi tutakuwa tumepiga hatua kubwa.

Mazungumzo kati ya Kampuni ya madini Acacia na Serikali huenda yangezaa matunda mazuri kama serikali ya ccm ingekuwa tiyari kuwatumia wanasheria waliobobea kama kina Lisu na wengine bila kujali uchama.

Tuweke maslahi ya Taifa letu mbele.
Yeye hakuwa na mawazo ya kufanya mazungumzo. Yeye alitaka aka'practice' taaluma yake ya sheria huko 'MIGA cortrooms'. Hivyo hasingetufaa kwenye hili.
 
Ikifika wakati tukaweza kutofautisha itikadi zetu na maslahi ya Taifa basi tutakuwa tumepiga hatua kubwa.

Mazungumzo kati ya Kampuni ya madini Acacia na Serikali huenda yangezaa matunda mazuri kama serikali ya ccm ingekuwa tiyari kuwatumia wanasheria waliobobea kama kina Lisu na wengine bila kujali uchama.

Tuweke maslahi ya Taifa letu mbele.
kama unamawazo haya ungeanza na hao chadema kuwaambia wasipingi juhudi hizo wangeshirikiana tangu mwanzo so unafiki hauhitajiki mkuu,,, muache abaki na elimu yake wapo wengne watakaopambana kwa faida ya taifa,, muache lisu apambane na hali yake ya faida ya tumbooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikifika wakati tukaweza kutofautisha itikadi zetu na maslahi ya Taifa basi tutakuwa tumepiga hatua kubwa.

Mazungumzo kati ya Kampuni ya madini Acacia na Serikali huenda yangezaa matunda mazuri kama serikali ya ccm ingekuwa tiyari kuwatumia wanasheria waliobobea kama kina Lisu na wengine bila kujali uchama.

Tuweke maslahi ya Taifa letu mbele.
.

Muungwana Lisu angekubali kutumikia mabwana wawili?
 
Ikifika wakati tukaweza kutofautisha itikadi zetu na maslahi ya Taifa basi tutakuwa tumepiga hatua kubwa.

Mazungumzo kati ya Kampuni ya madini Acacia na Serikali huenda yangezaa matunda mazuri kama serikali ya ccm ingekuwa tiyari kuwatumia wanasheria waliobobea kama kina Lisu na wengine bila kujali uchama.

Tuweke maslahi ya Taifa letu mbele.
Hatumuhitaji yeye asubiri tushtakiwe kibaraka wa wazungu yule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikifika wakati tukaweza kutofautisha itikadi zetu na maslahi ya Taifa basi tutakuwa tumepiga hatua kubwa.

Mazungumzo kati ya Kampuni ya madini Acacia na Serikali huenda yangezaa matunda mazuri kama serikali ya ccm ingekuwa tiyari kuwatumia wanasheria waliobobea kama kina Lisu na wengine bila kujali uchama.

Tuweke maslahi ya Taifa letu mbele.
Ww unaumwa naona nenda.kapimwe huyu lisu kahongwa na accaia then unatuambia vitu vya ajabu pole yako ww na lisu wako.sie tunasuburia noah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom