Tundu Lissu angeweza kuisaidia sana serikali katika suala la makinikia ya Acacia

Linalowasumbua Watz wengi ni kukosa unyenyekevu wa kukubali uwezo wa mtu, Lissu amezipigania raslimali za nchi hiyo tangu miaka ya nyuma tena akiwa bado CCM na baadae NCCR Mageuzi. Ameandika mengi toka 1996 bulyanhulu wanafukuza wasukuma chini ya amri ya Kiwelu na wenzake. Ameshughulika na kesi nyingi za kuwasaidia raia waliokuwa wakinyanyaswa aliwa na LEAT. Leo hii anawapa ushauri namna ya kutoka salama katika hili, hawa vijana wa Lumumba waliozoea ushindi wa mezani na ambao wameianza siasa juzi tu tena wakati wa kampeni za kuteua mgombea wa urais kupitia CCM 2015 wanakesha wakitukana mitandaoni tu.

Hawajui kuwa haya matakataka ya mikataba yameletwa na ha hao hao baba zao ambao kwasasa wanawaita "wazalendo". All in all, Maneno ya Albert Einstein bado yamesimama "matatizo hayawezi kutatuliwa na akili ileile iliyoyatengeneza"
 
Aisaidie vp wakati walimpiga hela ili a blackmail issue hiyo? Mnafiki huyo. Ukiona torch inawaka tambua kuna betrii ndani yake. Shame on him. He is so nugatory and hypocrite.

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM ndiyo wanafiki wamekula pesa zao leo hii wamewageuka ili wale pesa zaidi, Lisu hajapewa kitu bali ni propaganda za ccm ili kuwahadaa watanzania wasahau kuwa ccm ndiyo imelifikisha taifa kwenye hasara zote
 
Ikiitwa parade ya wanasheria waliobobea nchi hii na Lissu atajitokeza?

Siasa zisiwapumbaze kiasi hicho!
 
Linalowasumbua Watz wengi ni kukosa unyenyekevu wa kukubali uwezo wa mtu, Lissu amezipigania raslimali za nchi hiyo tangu miaka ya nyuma tena akiwa bado CCM na baadae NCCR Mageuzi. Ameandika mengi toka 1996 bulyanhulu wanafukuza wasukuma chini ya amri ya Kiwelu na wenzake. Ameshughulika na kesi nyingi za kuwasaidia raia waliokuwa wakinyanyaswa aliwa na LEAT. Leo hii anawapa ushauri namna ya kutoka salama katika hili, hawa vijana wa Lumumba waliozoea ushindi wa mezani na ambao wameianza siasa juzi tu tena wakati wa kampeni za kuteua mgombea wa urais kupitia CCM 2015 wanakesha wakitukana mitandaoni tu.

Hawajui kuwa haya matakataka ya mikataba yameletwa na ha hao hao baba zao ambao kwasasa wanawaita "wazalendo". All in all, Maneno ya Albert Einstein bado yamesimama "matatizo hayawezi kutatuliwa na akili ileile iliyoyatengeneza"
Wabunge wa ccm ndiyo walipitisha mikataba yao yote baada ya kula Rushwa, sasa wanajidai kuleta sinema za kuwahadaa watanzania wakidhani wananchi wamelala kumbe wapo macho na moto unawaka mda si mrefu
 
Ikiitwa parade ya wanasheria waliobobea nchi hii na Lissu atajitokeza?

Siasa zisiwapumbaze kiasi hicho!
Utawaita nani zaidi ya Lisu? au utawaita wale wabasheria wa Amri toka juu na wale wa kutembeza Rushwa kwa mahakimu na jaji?
 
Ikifika wakati tukaweza kutofautisha itikadi zetu na maslahi ya Taifa basi tutakuwa tumepiga hatua kubwa.

Mazungumzo kati ya Kampuni ya madini Acacia na Serikali huenda yangezaa matunda mazuri kama serikali ya ccm ingekuwa tiyari kuwatumia wanasheria waliobobea kama kina Lisu na wengine bila kujali uchama.

Tuweke maslahi ya Taifa letu mbele.
Hapana. Huyu Lisu alishasema jitihada zinazofanywa kubana wachimbaji madini ni 'rubbish'. Hafai kuhusishwa kwenye kazi anayoiita 'rubbish'.
 
alinifurahisha sana tundu alipodai kuwa ati mikataba iliyopita kuletwa bungeni ni ndoto na kweli ikawa hivyo hivyo, wakaja na gia ya mikataba mipya,

ila si walisema acacia haikusajiliwa ilikuwa inafanya kazi kinyemela, ni wezi wameiba sana, sasa hao hao wezi mnajifungia ndani na kufanya nao mazungumzo

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Huo ushahidi unao ama ni porojo tu, tatizo hamtaki kukubaliana na ukweli wa Lisu katika kuisadia serikali kisa yeye siyo ccm
Halafu mnajua Lissu ameanza kupigania hili muda mrefu kuliko maelezo niliyonayo na hajawahi KUKANUSHA HILI ni kwa vile hamna pa kusemea aliyoyafanya, hata sasa kwake kuna mgodi ambao kama si yeye kushika bango ungeanza kuchimbwa kama miaka 3 hivi na

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisaidie vp wakati walimpiga hela ili a blackmail issue hiyo? Mnafiki huyo. Ukiona torch inawaka tambua kuna betrii ndani yake. Shame on him. He is so nugatory and hypocrite.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnafiki ni wewe na ulofa wa ufahamu wako. Wakati wa kupitishwa miswada ya hovyo mnashangilia kwa sana lkn mkiambiwa mmekosea mnadai watu wamehongwa. Ni lini mtakuwa tayari kukiita kijiko ni kijiko? Waliotufikisha huko mnadai wasiguswe. Wanafiki wakubwa nyie. Kama nyie ni wasafi kweli kwa nini msifute sheria ya kinga ili kinga yenu ibaki kuwa usafi wenu? Mnadhani sisi wananchi wote ni malofa? You are wrong brother think twice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchawi mpe mwana alee Lisu anafaa kuongezwa ngoja wamalize riport iwekwe hadharani uone atakavyo comment hsa wakisahau MIGA.
Hata hivyo mwenye kujua anaweza kuandika angalau humu JF wataona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are you sure, mbona hajashitakiwa kwa uhujumu. Chuki za vyama zitatuletea laana tu wala si faida. Tafakari kabla ya kukubali kila unaloambiwa.
Aisaidie vp wakati walimpiga hela ili a blackmail issue hiyo? Mnafiki huyo. Ukiona torch inawaka tambua kuna betrii ndani yake. Shame on him. He is so nugatory and hypocrite.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchukueni nyie acacia awatetee dhini ya Tanzania.
Tunao vijana wazuri sana,wapo tayari kwa kazi na wana uchungu na nchi yao
Walikuwa wapi siku zote, au hawajui nchi anataka nini mpaka wapinzani wapige kelele. Hao vijana tuwasikie kwenye gesi basi?!
 
Tatizo Lissu anatamani serikali ishindwe ili apate umaarufu, Ni hatari kuliko ukoma.
Una liku 10, sijajua kama ni kweli , lakini kwa nini hampingi anayoongea na kuleta suluhisho. Je unajua miga ni nini?, na itakuwa activated wakati gani, Je kwenye scenario hii yaweza kuwa activated?. jibu nione uweledi wako?!
 
Back
Top Bottom