Tundu Lissu ana siasa za majitaka

Tundu Lissu ana siasa za majitaka

Kuna ubaya gani kuweka wazi agenda zake ? Ni utaratibu wa wasaidizi wa viongozi kutaka kujua agenda za mgeni anayeomba appointment ya kuonana na boss wao .Hivyo hata kama TS ameweka wazi agenda hizo ujue kuwa hata ofisi ya mwenyeji wake wanazijua kwa sababu huwezi kuomba appointment bila kusema nia ya kuomba appointment hiyo.
 
Ni upuuzi kuomba kumtembelea mtu, na kutangaza ajenda zako zote kwenye vyombo vya habari na kumkebei mwenyeji wako mtarajiwa kabla hata ya kupata mwaliko.

Na kutoa vitisho eti asipokubali atakuwa amekukimbia.Na kwamba utawaambia wananchi. So what?

Naomba Ikulu isimuruhusu mtu wa aina hii kukanyaga sehemu takatifu kama Ikulu.
Alianza kumkimbia kitambo Mbona. Huyu ni Rais WA ajabu sana
 
Tuliza kipago we!

Ova
 
Mmezoea kunyenyekewa na kuviziwa,tunaweka ajenda ili muwe na majibu kabisa,sio tunafika hapo mnaanza kukenua tu
 
Umesahau siku chache zilizopita alialika wahuni wa lumumba wakafanyie kikao chao pale!
ikulu takatifu ilikuwa ya baba wa taifa tu sio sasa
Utakatifu enzi ya baba wa Taifa. Leo tunahangaika kuzuia mchanga wenye madini usiende nje tunaibiwa. Huu utakatifu ulikuwa wp ukaruhu dhulma hii? Acha kutumia neno hili vibaya. Mungu atachukia
 
Shida kubwa ya ninyi CDM mnaongozwa na viongozi walioogopa umande. Hawana shule.Na wafuasi wao wanakunywa umbumbumbu wa maboss wao bila kuhoji.
Mimi ni neutra sina chama ila naomba uniambie ni kiongozi gani wa chadema hana elimu? Sikiliza wanavyoongea kwenye majukwaa wanatoa pumba kama hao unaodhani ni sawa? Unataka wawe maprof. maji marefu, Msukuma, mtoto wa waziri aliyefia india, yule mama aliyefia Dubai, nikianza kuongea inatisha na yule aliyetaka kwenye msituni kama katiba ingepitishwa? Je huyu waziri aliyepata demotion toka waziri wa sheria kwenda kukata mauno? Please usiongee kama huwajui viongozi wako. Lisu alivyochaguliwa kuwa Rais wa wanasheria ina maana wote hao woote ni bashite??
 
Ina utakatifu gani wakati mnainajisi kila iitwayo leo! Hukumwelewa Lissu na ndio maana umekimbilia humu kumwaataki na kupata support ya vilaza wenzako. Yule na mwanasheria tena nguli na amemprovoke huyu malaika wenu makusudi ili aropoke. Someni vijana mpate dhima ya mlengwa na sio kukurupuka humu!
Ni upuuzi kuomba kumtembelea mtu, na kutangaza ajenda zako zote kwenye vyombo vya habari na kumkebei mwenyeji wako mtarajiwa kabla hata ya kupata mwaliko.

Na kutoa vitisho eti asipokubali atakuwa amekukimbia.Na kwamba utawaambia wananchi. So what?

Naomba Ikulu isimuruhusu mtu wa aina hii kukanyaga sehemu takatifu kama Ikulu.
 
Mimi ni neutra sina chama ila naomba uniambie ni kiongozi gani wa chadema hana elimu? Sikiliza wanavyoongea kwenye majukwaa wanatoa pumba kama hao unaodhani ni sawa? Unataka wawe maprof. maji marefu, Msukuma, mtoto wa waziri aliyefia india, yule mama aliyefia Dubai, nikianza kuongea inatisha na yule aliyetaka kwenye msituni kama katiba ingepitishwa? Je huyu waziri aliyepata demotion toka waziri wa sheria kwenda kukata mauno? Please usiongee kama huwajui viongozi wako. Lisu alivyochaguliwa kuwa Rais wa wanasheria ina maana wote hao woote ni bashite??
Kwa hiyo nchi hii chadema huwa wana shule zao na ccm huwa wana shule zao?
 
Haahaahaaa, kama una hasira nenda kaanze na wale wakenya kwanza, Lisu ameongea kweli wala sio kebehi tulia tu.
 
Haya ni matatizo ya kudumazwa akili na hivyo kushindwa kutumia uwezo aliokupa Mungu wako badala yake kukubali kuendeshwa kama gari bovu. Tia akili kichwani na achana na kuandika pumba kama hizi humu, pumba hizi peleka mtaa wa Lumumba.

Namshangaa huyu mtu, hiyo ndio ziara ya kisasa inavyotakiwa iwe. Unamwambia mtu nakuja kwako (sio nyumbani) na ajenda zangu ni hizi. Ofisi ile sio ya Magufuli bali ya rais wa JMT na hana haki ya kuiendesha kwa utashi wake bali kile watakacho wananchi.
Akikataa kuonana na Lissu atakuwa amemuogopa Rais wa TLS na kavunja kanuni za jengo letu
 
Shida kubwa ya ninyi CDM mnaongozwa na viongozi walioogopa umande. Hawana shule.Na wafuasi wao wanakunywa umbumbumbu wa maboss wao bila kuhoji.
Yaani wewe jamaa ni sufuru kabisa, unaweza kumfananisha Tundu lissu na kilaza bashite? embu kuwa muungwana japo kidogo, utajijengea heshima ya kudumu hata kwa vizazi vijavyo.
 
Siasa zamaji taka zingemtoa lijualikali keko
 
Well said, huyu nilisha mshtukia siku nyingi ni tabu tupu walahi!
 
Back
Top Bottom