Tundu Lissu ana siasa za majitaka

moma2k

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
1,091
1,404
Ni upuuzi kuomba kumtembelea mtu, na kutangaza ajenda zako zote kwenye vyombo vya habari na kumkebei mwenyeji wako mtarajiwa kabla hata ya kupata mwaliko.

Na kutoa vitisho eti asipokubali atakuwa amekukimbia.Na kwamba utawaambia wananchi. So what?

Naomba Ikulu isimuruhusu mtu wa aina hii kukanyaga sehemu takatifu kama Ikulu.
 
Haya ni matatizo ya kudumazwa akili na hivyo kushindwa kutumia uwezo aliokupa Mungu wako badala yake kukubali kuendeshwa kama gari bovu. Tia akili kichwani na achana na kuandika pumba kama hizi humu, pumba hizi peleka mtaa wa Lumumba.


Ni upuuzi kuomba kumtembelea mtu, na kutangaza ajenda zako zote kwenye vyombo vya habari na kumkebei mwenyeji wako mtarajiwa kabla hata ya kupata mwaliko. Na kutoa vitisho eti asipokubali atakuwa amekukimbia.Na kwamba utawaambia wananchi. So what? Wewe Lissu huku ni kukosa adabu na busara kwa ofisi kuu ya uma. Lissu umelewa msululu wa mavyeo ambayo umeyazoa kila kona kama panyabuku. Wewe Lissu ni takataka tu mbele ya raisi wa nchii hii. Naomba Ikulu isimuruhusu mtu wa aina hii kukanyaga sehemu takatifu kama Ikulu. Amesha pre-empty safari yake. Mwanasheria ambaye ni impartial kwa kuzingatia professional Ethics za uwakili hawezi kutoa utumbo kama huo.
 
kijana tulia maana umeandika uharo bado unaleta matusi kichwa yako imejaa bashite tu
Shida kubwa ya ninyi CDM mnaongozwa na viongozi walioogopa umande. Hawana shule.Na wafuasi wao wanakunywa umbumbumbu wa maboss wao bila kuhoji.
 
Akikataa imekula kwake (magufail)
Akaambiwe cha kufanya. Sasa kwa hulka yake atajimaliza kabsaaaa huyu Huhihuhi, mfalme wa nchi ya kufikirika ya wagagagigikoko.
 
Akikataa imekula kwake (magufail)
Akaambiwe cha kufanya. Sasa kwa hulka yake atajimaliza kabsaaaa huyu Huhihuhi, mfalme wa nchi ya kufikirika ya wagagagigikoko.
Lissu ni nani ktk nchi hii? Usitishie nyau!
 
Hivi Members humu JF tunajua maana na dhana halisi ya kuanzisha Uzi / Thread halafu unaiwekea News Alert? Mkuu katika Content nzima ya Uzi wako au Thread yako hii sijaona umuhimu wa Wewe kuipa hadhi ya kusema ni News Alert. Tunapoelekea kuna siku Mtu atakuja na uzi humu wenye kichwa cha Habari ' nakunya sana jamani ' halafu ataupa hadhi ya News Alert.
 
Shida kubwa ya ninyi CDM mnaongozwa na viongozi walioogopa umande. Hawana shule.Na wafuasi wao wanakunywa umbumbumbu wa maboss wao bila kuhoji.
Nadhani nyie vijana wa lumumba ndiyo mnaongozwa na viongozi bashite tu ndiyo maana hata wakija wageni wasiojua kiswahili hamkawii kuwakimbia moma2k:
 
Kuna watu wasiasa za maji taka kama ccm na serikali, wanaamzisha vita ya madawa ya kulevywa lengo ni kumchafua mbowe, mmeshindwa kufanya siasa matokea yake mnazua wote kufanya siasa.
Yeye anasema amechaguliwa na wananchi hakujipeleka pale mwenyewe sasa kukutana na wananchi wako kuna tabu gani, alichofanya Lisu ni kuwafahanisha wadau ni nini atamwambia Raisi maana hamkawii kusema kuwa amekwenda kunywa juice,
 
Mleta huu uzi ukapimwe akili, Mpuuzi kabisa.
Hata rais wa marekani anapopanga kuja kumtembelea Rais wa TZ huweka wazi ajenda atakazoziongelea, sasa Lissu kuweka mambo wazi atakayojadili au kumueleza Rais shida iko wapi?
Mpuuzi mburulaazz wa Lumumba buku 7.
Je huwa anakebei na kutisha?
 
Mtoa Uzi na wenzako wa Lumumba nimekuandalia file lako tayari pale Morembe!
Karipoti haraka kabla hali yako haijabadilika ukifika we taja jina lako tu utapokelewa.
 
You are not of my size. Bogus.

Kweli kwa kuanzisha uzi wa Kijinga kabisa na kuupa hadhi ya News Alert Kipumbavu kabisa ama hakika Mimi siyo saizi yako. Siku nyingine jitahidi uufiche Usimbilizi wako kwani humu ni Nyumbani kwa Great Thinkers na vitu vya Kipuuzi kama ulivyovifanya huwa havitakiwi. Halafu nimekipenda mno Kiingereza chako cha darasa la Tatu. Eti News Alert......ptuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!
 
Back
Top Bottom