Tundu Lissu ana Schizophrenia!

Binti mleta mada atakuwa kwenye siku zake huyu,Okay malizia MP urudi hapa.
 
This is rubbish,ni takataka in lissu's voice
Umeandika upupu,
Hizi pumba pelekea kuku aisee sisi humu humu ni binadamu
Sawa nimekusikia. Naheshimu maoni yako. Lakini yanaweza kuwa sahihi au sio sahihi kama yalivyo ya Lissu kwa hivyo sio lazima nifuate maoni yako.
 
Wa kumwelewa Lissu ni wachache sana. Ili umwelewe fanya haya:
1. Sikiliza bila kuwa n.a. mtazamo/tafsiri hasi.
2.Zingatia hoja ya msingi anayoongelea(msisitizo wake).
3.Usikariri( panua wigo wa kufikiri).
4. Chuki weka pembeni.
Pia lugha hakuna mwenyewe,haijalishi una kiwango gani cha elimu ya darasani( ukiondoa waliobobea ktk lugha hiyo). Wengine ni jinsi unavyoitumia ndo unajenga uwezo wa kuimudu.
 
And he's not faking it, not this one, he's definitely my patient! ........ with a broad spectrum cocktail of symptoms ...... MULTIPLE PERSONALITIES, DELUSIONS OF GRANDEUR, CATATONIA ...... NAME IT!
 
Hii hoja inaonesha moja kwa moja ni namna gani unapenda kubishia kiuno.
 
Well said anajua kuliko anavyojua simply nasema anajivika kot so saiz yake
 
Thanx. Your De Best of De best
 
Siku zote simuamini Mtu yeyote anayeongea Kwa Kutumia High Convince Power ili aweze Kueleweka Mfano. Sauti Kali Yenye Jaziba, Body Gesture mfano Mikono ,macho Kichwa , Na Anapoongea Empty Words without Document Kiukweli watu kama Hao Cnaga Imani Nao Hata Kidogo.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi wako kuhusiana na maana ya research.
Swali: Je, wewe umefanya "research" ya kutosha kukupa uwezo wa ku-conclude kwamba Tundu Lissu hajafanyia research hicho anachokiongea?

Na kuhusu habari ya Muhongo, nina hakika ubongo wetu ni complex na una uwezo wa kufanya multi-tasking, provided files to be executed are identified appropriately. Hatuwezi kud-deal na mtu mmojahadi tumalize issue zote zinazomhusu. Sometimes inapojadiliwa issue fulani lazima tuunganishe humo watu mbalimbali wanaoguswa moja kwa moja na issue hiyo.
 
Me nafkir upo sawa kwa maelezo ya kufafanua abt research....ila upo wrong kwa kusema mtu afanye research kuprove wrong ...wakat kisheria research ya awali ilikua na makosa!!!!
 
Mkuu napata shida kufanya mjadalala na wewe, yeye amepinga na kuita takataka tafiti iliyofanywa na wasomi wa fani husika tena wameelezea namna walivyochukua sample na njia za kisayansi walizotumia kupata aina na viwango vya madini yaliyomo ktk udogo ule. Sasa ktk jumuiya za wasomi angalau wa shahada ya kwanza wanajua ukitaka kukataa majibu ya utafiti ule inabidi uje na wa kwako uoneshe zile takwimu zilizotolewa na utafiti ule zilikuwa sio sahihi, unaeleza matokeo ya utafiti wako na umetumia njia gani za kisayansi kupata matokeo yako yanayopingana na matokeo ya utafiti ule, au unaeleza udhaifu wa kisayansi wa njia na vifaa viliyotumika kupata majibu ya utafiti ule wa tume. Majibu ya majaribio ya kisayansi ya yaliyofanywa maabara hayapingwi kwa kuvitaja vifungu au vyombo vya kisheria vya kusimamia wawekezaji wa kimataifa kama MIGA. Sasa naomba wewe utueleze huo Utafiti aliofanya Lissu ukampa ujasiri wa kutukana watu na taaluma zao alifanya lini na alitumia njia gani kupata majibu yanayokinzana na yale ya anawaotukana kupitia kazi yao ya kisayansi.
Talking about multi-tasking? Yes we can but that will be futile! Jiulize upo katikati ya somo la Predicate and Quantifiers in Mathematics ghafla mwanafunzi mmoja anaomba mjadili kuhusu historia ya Chief Mkwawa kujinyonga, Je huo mjadala utakuwa na faida kwa somo husika la hesabu kwa wakati husika? Lakini ukiwa ktk somo la historia mnajadili mashujaa wa kiafrika waliojaribu kupinga ukoloni pengine itakuwa na faida kubwa. Kwa ukosoaji ule wa kishabiki kama wa Simba na Yanga itabidi mjiulize mara mbilimbili kama kweli Lissu anastahili kuitwa msomi.
 
Me nafkir upo sawa kwa maelezo ya kufafanua abt research....ila upo wrong kwa kusema mtu afanye research kuprove wrong ...wakat kisheria research ya awali ilikua na makosa!!!!
Unakosoa majibu ya kisayansi kwa vifungu vya sheria???? Basi ngoja nikubali hiyo sayansi yako ya sheria against laboratory results, Niambie vifungu gani vya sheria ipi vilivunjwa? Au kwa sababu Lissu kasema?
 
Umeeleweka vizuri ila nyumbu hawatakuelewa
 
Usisahau kujadili na viatu alivyovyaa Tundu Lissu
-----wala Rambi rambi wakubwa nyie-------
teh teh rambi rambi kukarabati hospitali? Kweli ccm ni mafisi.
Mpe pole mataputapu
mnadhulumu mpaka marehemu
 



Na yule aliyekamata mchanga ni mkemia lakini hajui sheria
 


Na ndicho alichosisitiza Lissu, nashangaa mtu anasema hajui equation ya kemia, Lissu amewakumbusha kuwa mali inaondokea kwenye air stips huko migodini, na sheria inasema kila wananchochimba ni chao, kama wakiamua kukichenjulia hapa au nje ya nchi ni chao according to sheria - kaeleweka vizuri kabisa
 


Nahisi umesahau kusema na hasa kama amevaa miwani myeusi

Hahahaa "joke"
 
Lissu ana utaira fulani hivi, unaoitwa autism.

Angechelewa kuzaliwa kwa masaa tu angekuwa full na ulemavu wa utaira.

Nyie mtazameni sura yake na mataira halafu semeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…