Wile GAMBA
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 1,809
- 595
lugha iliyo tumiak kumsema tl ni ya kitaarab zaidi na ya kizandiki,... hili ni tatizo kiongozi atumie lugha gani, au hata mtu anyejiheshimu atumie lugha gani, kutofautiana na wanawake wa mtaani ambo hawaja kwenda shule