The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,536
Watanyooka tuå Ni majibu ya kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Dr Wilson Mahera Charles aliyoitoa jana alipokuwa anazungumza na vyombo vya habari...
Lissu ni chaguo letu sio yule wa kuleta wanafunzi na wasanii kuaminisha anapendwaå Ni majibu ya kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Dr Wilson Mahera Charles aliyoitoa jana alipokuwa anazungumza na vyombo vya habari...
Kwani Lisu yeye ndio anahatarisha aman
Lissu ni saiz yake,makavu ndiyo anayaelewa-shida Lumumba hawajawahi kufikiria siku moja mtu atatokea na kuwafungua macho wananchi kwa style ya lissu ya kuhutubia;Lissu ana skills ya kufikisha taarifa ngumu kwa mtu wa chini kwa jinsi rahisi ambayo ataielewa.Wataelewa tu,kanun znavunjwa kila kukicha na bwana yule wala huwackii wakinyanyua mdomo
wapi??Twende na Tundu Lissu, 2020...!!
Kandamiza Lissu. Hao watumwa wanabwabwaja tuå Ni majibu ya kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Dr Wilson Mahera Charles aliyoitoa jana alipokuwa anazungumza na vyombo vya habari...
Temba aliimba akasema huu ni mwaka wa Shetani. Naona mwingine umekuja na unaletwa na NeC na CCmDuh,mbona kawavua nguo NEC.aibu iliyoje kama ndo Tanzania viongozi wenye dhamana akili zipo hivi!..
å Ni majibu ya kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Dr Wilson Mahera Charles aliyoitoa jana alipokuwa anazungumza na vyombo vya habari....
Shetani hana mwaka. Mikwara ya kizushi ya NEC waanze na Magufuli anayevunja sheriaKuna baadhi ya vitu hii nchi vinauma sana
Ila Mungu yupo
TL is saying nothing but the truth.,
Kweli shetani hana mwaka huu sio mwaka wa shetani. jpm atakwama mwaka huuMh. Tundu Lisu, andaa mapingamizi kwa:-
KAULI ZA VITISHO (Mkichagua UPINZANI MTAJUTA)
Ahadi za utendaji (Tatajenga Hospital au Shule)
Agizo kwa Mtendaji wa TANROAD/TARULA la kuanza Ujenzi wa barabara kule Sengerema na pesa za ujenzi AULIZWE Mgombea wa URAIS.