kandamatope
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 589
- 630
Nilikuepo Leo uwanjani acha kuwaongopea watu , kwani uanja haukujaa sana kama unavyotuaminisha , ila nimsifu lissu watu tulikuja wenyewe kwa hiari yetu kabisa sema alituangusha sana leo kwani hakuongea chochote kuhusu ilani ya chadema wala atatufanyia nini , sijawahi hudhuria mkutano wowote wa lissu ila kwa leo nilichokitegemea sicho nilichokutana nacho . Pia naona ishu ya michango haijapokelewa vizuri maana alipoanza tu kuomba michango watu wakaanza kuondoka kwa wingi . Pia team ya kampeni yake ilipwaya sana hakukua na watu wa kumwaga nondo zaidi tu bananga alijitahidi . Pia MC wa leo alikua moto sana kwangu ndio Man of the matchTundu Lissu kamwaga sumu Morogoro uku akishangiliwa mwanzo wa mkutano mpaka mwisho View attachment 1566658View attachment 1566659View attachment 1566660View attachment 1566661
Tungo za yule mhenga bado mnazo. Chama nacho kinamfuata hukohuko makaburini hivi karibuniUpinzani ulishajifia tangu 2015, kilicho baki ni futuhi tu.
Nimemsikliza kwa makini ingawa kuna sehemu sisikii sauti(maybe my PC) na dhahiri kuwa hana uoga na wala miezi michache iliyopita hatukutegemea kuwa atatokea mtu wa kuyasema haya aliyosema LIssu hadharani bila uoga.Tundu Lissu kamwaga sumu Morogoro uku akishangiliwa mwanzo wa mkutano mpaka mwisho View attachment 1566658View attachment 1566659View attachment 1566660View attachment 1566661
Asante kutupa picha halisi sio ile waliyo edit kitengo cha editing cha ChademaNilikuepo Leo uwanjani acha kuwaongopea watu , kwani uanja haukujaa sana kama unavyotuaminisha , ila nimsifu lissu watu tulikuja wenyewe kwa hiari yetu kabisa sema alituangusha sana leo kwani hakuongea chochote kuhusu ilani ya chadema wala atatufanyia nini , sijawahi hudhuria mkutano wowote wa lissu ila kwa leo nilichokitegemea sicho nilichokutana nacho . Pia naona ishu ya michango haijapokelewa vizuri maana alipoanza tu kuomba michango watu wakaanza kuondoka kwa wingi . matchView attachment 1566733
Kwa uoga uliopo hata hao wachache waliovaa Tshirt za Chadema wamejikaza hasa.Watu Wengi hawapendi kuhusishwa na upinzani hasa katika awamu hiiUkitaka kujua watu wana mapenzi gani n.a. timu iwe Simba au yanga angalia uwingi wa uvaaji nguo za timu kwenye uwanja
Tofauti ya mikutano ya CCM na Chadema ni kuwa CCM inahudhiriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM Chadema wanaohudhuria ni wasiojulikana ni Chama gani
Huoni zile tshirt za Chadema ushahidi kuwa wanaohudhuria ni wapita njia waliokuja th kumshangaa Lisu
Kwa mtizimo ukitizama picha zote za mikutano ya Chadema wavaa Tshirt za Chadema ni wa kumulika na tochi ni kama hawapo kabisa
CCM mikutano yake unaona wazi kuwa waliofurika wengi ni wafia chama sio wapita njia Chukua picha zote za uzinduzi wa Chadema na za CCM utaona hilo tofauti wazi bila chenga
Hiyo picha yake ni ya uongo?Nilikuepo Leo uwanjani acha kuwaongopea watu , kwani uanja haukujaa sana kama unavyotuaminisha , ila nimsifu lissu watu tulikuja wenyewe kwa hiari yetu kabisa sema alituangusha sana leo kwani hakuongea chochote kuhusu ilani ya chadema wala atatufanyia nini , sijawahi hudhuria mkutano wowote wa lissu ila kwa leo nilichokitegemea sicho nilichokutana nacho . Pia naona ishu ya michango haijapokelewa vizuri maana alipoanza tu kuomba michango watu wakaanza kuondoka kwa wingi . Pia team ya kampeni yake ilipwaya sana hakukua na watu wa kumwaga nondo zaidi tu bananga alijitahidi . Pia MC wa leo alikua moto sana kwangu ndio Man of the matchView attachment 1566733
Sio ya uongo ila amecheza na angle ili picha ionekane anavyotaka yeye . kwa wapiga picha wanalijua hili ,pia ame crop na kuondoa vitu ambavyo hakutaka vionekaneHiyo picha yake ni ya uongo?
Yaani ukisoma posts za wafuasi wa Lissu unaishia kucheka tu. Mods mngekuwa mnazipeleka Jukwaa la Utani!Sasa hizo picha ndo kufuta CCM morogoro? Au hiyo kanzu na baraghashia ndo kufuta CCM Moro?
Ajabu Sana.
Si uende kwenye mikutano yake au uangalie TBC maana walivyofukuzwa walilalamika sana mpaka wakasamehewaHapo kwenye picha Kuna nondo gani? Mnaleta picha halafu mnasema nondo.
Anajichanganya mwenyeweeeee hadi ifike October kachanganyikiwa kabisa 😁😁😁😁😁Lissu ameshamchanganya Magufuli; kwasasa anaendelea kufuta alikopita Magufuli.
CCM ilishafutika siku nyingi sana hapo morogoro, sijajua kwanini yule aliyekuwa mgombea wa cdm 2015, sijui Marcos kilimpata nini, maama yule wa mgombea wa cdm, 2010, aliuza jimbo, kwa huyo mwarabu, na ndio maana this time akataka apite bila kupingwa maana anajua huwa hashindi uchaguzi,
Goto hoja ya kuponda ujenzi ilisababisha azomewe mbagala.Kule wanajengewa barabara ya mwendo kasi alipojitia kuponda ujenzi wakaamza kumzomeaJambo la pili kwa watu wanaofikiri na kuona mbali tayari ameweza ku pre empty hoja ya mambo yaliyofanywa na serikali hasa katika ujenzi.
Morogoro zero? Mbona uko biased kina Kiwanga,Lijualikali na Prof.Jay walishinda majimbo ya mkoa wa dodoma ama?Sisi tunaotembea tembea vijijini ukisoma baadhi ya uzi humu unabaki unacheka tu,
Mtu amekaa bar anakula balimi zake akishapata stim anaanzisha uzi
Nimetoka morogoro vijijini inaitwa morogoro mashatiki
Mbunge na madiwani wote wamepita bila kupingwa na wananchi awana hata hamasa ya uchaguzi
Uchaguzi wa 2015 kulikuwa na diwani mmoja tu wa upinzani akitokea ACT kata ya kiloka kijiji cha tomondo na kungwe
Mwaka huu yule diwani kaunga mkono juhudi karudi ccm kapita bila kupingwa
Hivi tunavyo ongea karibu madiwani wote wa ccm wamepita bila kupingwa
Kifupi mkoa wa Morogoro upinzani ZIRO..
Kilichoandikwa humu ni porojo..soma potezea ...matembele wametuzidi..
Ananichefuaga balaaHuku yule mchawi Countrywide humuoni.
Acha uongo mkuu Mbagala mie nilikuepo mwanzo Mwisho hakuna aliyezomewa zaidi ya TBC alipotimuliwa na walipoulizwa mbunge wa CCM alikua wapi miaka hii 5 kuwapigania bungeni?Goto hoja ya kuponda ujenzi ilisababisha azomewe mbagala.Kule wanajengewa barabara ya mwendo kasi alipojitia kuponda ujenzi wakaamza kumzomea