Tundu Lissu ahojiwa redioni, adai tumepata uongozi mbaya kuliko wa Kikwete

Tehehe hivi kwa unavyo fikiria hizo million 10, zililipwa wapi au zilitolewaje?
Madhara ya elimu ya kata itolewayo na ccm,kijana hata hajui taratibu, hovyo kabisa.Yeye anadhani unapeleka pesa cash na zinakua tayari ni Mali ya serikali kama vile TRA
danya
 
Mkuu wew hujui tu uongozi wa kikwete taasisi kama bunge hela za warsha , za safari za nje , vikao vya hovyo hovyo kamati zilikuwa nje nje sasa mtu akikuambia uongozi mbaya ujue umate umate hamna
Upinzani wa tz ni pasua kichwa,
kama upinzani unaamini kuwa utawala huu ni mbaya kuliko uliopita unafikiri hata huo upinzani haufai kuwepo.
 
Mkuu wew hujui tu uongozi wa kikwete taasisi kama bunge hela za warsha , za safari za nje , vikao vya hovyo hovyo kamati zilikuwa nje nje sasa mtu akikuambia uongozi mbaya ujue umate umate hamna
Swala co umate umate tatzo utawala mbovu
 
lisu ni moja ya wanasiasa wachache wenye akili sana Africa....mi niseme wazi Mimi mpaka Leo simpendi owasa na sintokaa nijutie kumchagua Magu...najuhudi anazozifanya za kushugulikia ufisadi mwake 100%........lakini nakwazika sana anapoubana upinzani katika kila pande.....pamoja na mapungufu mengii walionayo...wanaumuhim sana hasa kwa mawazo mbadala katika nchi...namifano mingi tunazo.....rais magu angekua rais bora na anaweza akawa rais bora(sababu mda wa kubadili misimamo yake dhidi ya wapinzani bado anao) kama atawaacha wafanye siasa zao kwa uhuru ilimradi wasivunje sheria.......otherwise anajitengenezea maadui ambao kulikua hamna ulazima wakuwatengeneza
Mutaelewa tu nini maana ya dictator uchwara!
 
Nadhani anatakiwa ahukumiwe kifo kwa kunyongwa mpaka kufa kabisa, maana anatuchelewesha maendeleo, tumechoka kusikia uongo na unafiki kila kukicha
ogopa xana akili yako kutumikishwa pale lumumba kama inavotumiwa akil yako ww @ mudawote
 
Nasema SISI kwa sababu tunao Muunga mkono Magufuli tupo wengi kuliko Nyie teh teh teh mwaka wenu huuu lete fyoko fyoko utolewe Ngeu
Na kizuri ni kwamba inafahamika ni kundi gani linalo muunga mkono mh, rais wetu na ndio maaana wengine hatupati taabu kurumbana.
 
Inaonekana lisu anaasili ya ugomvi. .....inasikitisha kwa kweli. ...tutulie tufanye maendeleo jamani!
 
Back
Top Bottom