Tundu Lissu afunguka bungeni

Tundu Lissu afunguka bungeni

Lissu ni mropokaji tu hajui sheria, isipokuwa anajua uropokaji wa sheria na kiingereza chake ni cha kuunga unga, ni janga la kitaifa Lissu, Tundu ni mfa maji haichi kutapa tapa

kakojoe ulale masaburi wewe!
 
Lissu ni mropokaji tu hajui sheria, isipokuwa anajua uropokaji wa sheria na kiingereza chake ni cha kuunga unga, ni janga la kitaifa Lissu, Tundu ni mfa maji haichi kutapa tapa

Gamba, AKA Mabwepande, AKA the killers.
 
Lissu ni mropokaji tu hajui sheria, isipokuwa anajua uropokaji wa sheria na kiingereza chake ni cha kuunga unga, ni janga la kitaifa Lissu, Tundu ni mfa maji haichi kutapa tapa

Wewe unajua lugha gani? Maana hata Kiswahili hujui. Ebu rudia kusoma ulichoandika halafu utujulishe ulikuwa umekusudia kuandika nini.
 
  • Thanks
Reactions: UKI
Hata mimi nimeshangaa sana! Halafu anamtisha kuwa ataweza kuishia kwenye kamati ya maadili as if Tundu Lissu amejihusisha na 'malpractice' yeyote. Hivi hawa watu kwa nini hatawaki watu wakosowe mfumo mbaya? Baadala ya kujenga hoja wanaanza ku'attack' wakosoaji. Wiki iliyopita alidai Tundu Lissu hajasomea Katiba as if kuchingia bungeni kuhusu Katiba mpaka uwe ume'specialise' kwenye Constitutional Law. Jamani kama mfumo kushindwa kufanya kazi sasa imefika mwisho. The current ruling system is falling apart/collapsing!

Ahaa,kumbe kila siku wanatuambia tuchangie juu ya katiba huku wakijua hata sheria hatujui wanatuvunga eeh !!!
Kama mbunge mwakilishi wa wananchi anaweza kupuuzwa, fige je atasikilizwa ?Nataka kuamini hakuna katiba ya wananchi itakayoandikwa bali ya ccm.
 
Record ya Judge Werema sio nzuri. Hukumu zake kibao zimetupiliwa mbali. Hawezi hata siku moja kushindana na record ya Tundu Lissu mahakamani. Na tunapokuwa na Manasheria mkuu wa serikali anayesimama bungeni badala ya kutoa ufafanuzi wa kisheria anajikita kumshambulia mbunge -persnally, ni janga la taifa.

Werema anaweza kujiinua sana kwa sababu pengine ana short memory. Angekuwa na memory nzuri angekumbuka Lissu na ule muswada wake na Celina Kombani walio-download kwenye google. Muswada ulirudi bungeni thanks to Lissu na kufanyiwa marekebisho makubwa. Na hata yeye mwenyewe Werema (hansard) alimsifia Lissu kwa uelewa wake wa sheria. Sasa keshapata chips kuku kasahau!

Inashangaza sana AG kutoka katika debeta premises na kuingia personal vendatta.Hiyo ni dalili ya inferiority complex

Nilishasema inabidi kesi zake nyingi alizohukumu zipitiwe upya kwa sababu mara nyingi ameonyesha incompetency ya hali ya juu
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Hivi hotuba ya kambi ya upinzani inaandaliwa na mtu mmoja mwenye influence anu inaandaliwa na jopo maalumu la kambi ya upinzani? Je Bajeti hiyohiyo inaweza kutumika wakiwa madarakani? Nauliza hivi kwakuwa sijona chochote alichosema Lisu nimesikia makelele yaliyoambatana na nguvu nyingi hadi kaharibu kipasa sauti na meza yenyewe akahamia kwa mwingine. Zaidi ya hapo sijaona kitu kama bajeti ila tu kuishambulia serikali kana kwamba anafanya kampeni. Kaaaazi kwelikweli.Tunachezewa akili kwa stali ya kipropaganda

Mkuu naomba unielimishe, kwani kazi ya wabunge wa upinzani ni kutengeneza bajeti mbadala au kukosoa bajeti ya serikali ili kuonyesha mapungufu yaliyopo?

Tundu Lissu ni bonge la mbunge,Tundu Lissu yeye peke yake ni sawa na wabunge 50 CCM.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Naangalia bunge kuna mvutano kati ya kiti cha spika na Tundu lissu juu ya hotuba ya lissu katika mjadala wa bajeti ya sheria nakatiba, kikubwa ni kuhusu lissu kuwashambulia majaji juu ya uteuzi wao. wana JF weledi wa mambo ya parliamentary laws naomba mtupe undani wa mgongano huu ili watz wapate kuelewa
:
Source :TBC1 Kipindi cha bunge

Nawasilisha
 
Leo nimeshangaa sana tundu anatumia magazeti kukazia ushahidi wake kwa kuwataja watu walimtesa Dk ulimboka kwa kutumia magazeti, leo hivi kesho si atatumia magazeti ya UDAKU?
 
Ni vema mkatujuza!
Ingawa tunaanza kupata harufu ya kwa kumbe mjengoni wanaoruhusiwa kujadiliwa, HILI BUNGE KUMBE LA KIJINGA NAMNA HII!!!!
 
Leo nimeshangaa sana tundu anatumia magazeti kukazia ushahidi wake kwa kuwataja watu walimtesa Dk ulimboka kwa kutumia magazeti, leo hivi kesho si atatumia magazeti ya UDAKU?

Toa ujinga hapa......sasa hapo cha kukushangaza ni kipi?.....acha umbea mtoto wa kiume!
 
Naangalia bunge kuna mvutano kati ya kiti cha spika na Tundu lissu juu ya hotuba ya lissu katika mjadala wa bajeti ya sheria nakatiba, kikubwa ni kuhusu lissu kuwashambulia majaji juu ya uteuzi wao. wana JF weledi wa mambo ya parliamentary laws naomba mtupe undani wa mgongano huu ili watz wapate kuelewa
:
Source :TBC1 Kipindi cha bunge

Nawasilisha

Mahakama haijutungiii sheria yenyewe. Rais (kama taasis) hajitungii sheria mwenyewe. Bunge ndicho chombo pekee chenye mamlaka ya kutunga sheria na kuisamamia serikali. Kama kuna upungufu wa kisheria au namna serikali inavyotekeleza sheria zilizopitishwa na bunge, basi bunge lina wajibu/uwezo wa kurekebisha.

Kama uteuzi wa majaji una matatizo kiasi kwamba kunaathiri utoaji wa haki bunge linaweza kurekebisha. Kusema bunge haliwezi kujadili mahakama ni very vague statement to make. Hivi si bunge hili hili lilipitisha sheria ya kuruhusu wakuu wa wilaya na mikoa kusimamia nidhamu kwenye mahakama? Sasa leo wanataka kugeuka?
 
tl akapimwe akili ctegemei kwa mwanasheria kama yeye kujidhalilisha hvyo
 
Leo nimeshangaa sana tundu anatumia magazeti kukazia ushahidi wake kwa kuwataja watu walimtesa Dk ulimboka kwa kutumia magazeti, leo hivi kesho si atatumia magazeti ya UDAKU?

Kuna tatizo hasa upande wa viongozi kudharau habari za kwenye magezeti. Lakini hao hao viongozi ndio kila kukicha wanawaita waandashi wa habari na kuwapa press release au hotuba zao. Kama si chochote au lolote kwanini viongozi wanawaganda waandishi? Ukiachilia vijigazeti vya propaganda yapo magazeti yanaandika mambo ya uhakika kabisa.
 
Leo nimeshangaa sana tundu anatumia magazeti kukazia ushahidi wake kwa kuwataja watu walimtesa Dk ulimboka kwa kutumia magazeti, leo hivi kesho si atatumia magazeti ya UDAKU?
 
magazeti yapo kisheria na mwanahalisi ndo gazeti linalo aminika kwani ndilo lililomtoa Lowasa pale magogoni na wenzake wakina msabaha na karamagi. chezea mwanahalisi wewe!
 
Leo nimeshangaa sana tundu anatumia magazeti kukazia ushahidi wake kwa kuwataja watu walimtesa Dk ulimboka kwa kutumia magazeti, leo hivi kesho si atatumia magazeti ya UDAKU?

tofautisha kati ya kutoa ushahidi(evidence submission) na kunukuu kitu kilichokwisha semwa au kuandikwa (quote)
 
Leo nimeshangaa sana tundu anatumia magazeti kukazia ushahidi wake kwa kuwataja watu walimtesa Dk ulimboka kwa kutumia magazeti, leo hivi kesho si atatumia magazeti ya UDAKU?

mkigoma kumbuka kuwa magazeti yapo kisheria na huwa yananukuliwa mahakamani katika maamuzi mbalimbali. usikurupuke tu.
 
Back
Top Bottom