Uchaguzi 2020 Tundu Lissu achambua mifuko ya Jamii na fao la kujitoa, CCM jibuni hoja hizi

Wastaafu wamebaki kuzungushwa, kuna mtumishi amestaafu toka Disemba mwaka jana, mwajiri wake hata nauli ya kurudi kwao upareni hajalimpa, majuzi amefuatilia mafao/ pensheni psssf anaambiwa faili lake lilisahaulika kwa hiyo halijashughulikia hivyo arudi baada ya wiki mbili. Cha kushangaza eti anaipenda CCM, anadai wapinzani wanatumiwa na mabeberu.
Nikamuuliza mabeberu ya rangi gani hakunijibu.
 
Ila Magufuli na serikali yake mmewadhulumu watumishi wasio na hatia. Mtu afanye kazi miaka kadhaa na baada ya hapo apoteze ajira na huku ana michango yake NSSF anateseka na njaa na watoto Wake, halafu unamwambia eti asubiri atimize miaka 55.!?
Huu ni unyama, ni uporaji na unyonyaji.
Viongozi hawaoni hili kwa kua wanalishwa na kuhudumiwa na kodi za wavuja jasho lakini huu ni ukatili mkubwa sana kwa watumishi walipoteza ajira zao ili hali akiba zao waliojiwekea zibazuiluwa NSSF kuwanufaisha wakubwa.
 
Kesho tutafokewa na mgombea wao maana hana cha kujibu sanasana atabaki anafoka

Binafsi mbali na saba u nyine nyingi, ila hii ni sababu ya mimi kumpa kura Lissu. Fao la kujitoa
 
Hawezi kukujibu kitu kwasababu ubongo unachukuliwa unapoingia ccm. Ila kuna kitu hamuwezi kuamini lakini ccm ni washirikina sana. Hizo skafu, kofia na t-shirt, kila kitu chao wanakinenea. Ukivaa tu umemezwa, akili inafutika.
 
UJINGA NI KUFIKIKIRI KILA ANACHIKISEMA TUNDU LISSU NI KWELI NA UJINGA ZAIDI KUFIKILI MAGU ANAWEZA JIBU TETESI WAKATI WA KAMPENI NJOONI NA VIELELEZO VYA SHUTUMA TUTAMTUMA POLE POLE SIZE YA LISU AJIBU
Wewe ni mzururaji tu usiye na ajira yoyote nchi hii, unaishi kwa ujira wa kujikomba.

Wanaokatwa mishahara yao kila mwezi ndio wanajuwa uchungu wa hili wakiwemo wanaccm.
 
You nailed it

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
UJINGA NI KUFIKIKIRI KILA ANACHIKISEMA TUNDU LISSU NI KWELI NA UJINGA ZAIDI KUFIKILI MAGU ANAWEZA JIBU TETESI WAKATI WA KAMPENI NJOONI NA VIELELEZO VYA SHUTUMA TUTAMTUMA POLE POLE SIZE YA LISU AJIBU
Acha kutufokea. Acha jazba. Fao la kujitoa lipo? Unajua April 10, 2018 ilikuwa ndio mwisho wa watu kufikiriwa kupewa fedha NSSF? Manyonya damu wakubwa nyie. Watu wamekufa wanafatilia mafao yao ambayo yangewasaidia wapate matibabu au kutatua matatizo yao mengine. Mtalaaniwe mufe vifo vibaya ku.mamayo zenu.
 
Huyo sio mtanzania tena ana damu za ukorofi na ukabila na za mabeberu.Damu ya kinyaturu hana kwahyotumsamehe na kichwani bado dawa zimejaa bado hajapona jamani.
 
Huyu jama hela anapeleka wapi?ndio rais aliekopa kuliko marais wote ana madeni haikawahi kutokea
 
Huyo sio mtanzania tena ana damu za ukorofi na ukabila na za mabeberu.Damu ya kinyaturu hana kwahyotumsamehe na kichwani bado dawa zimejaa bado hajapona jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…