Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aache kuzungumzia masuala ya kupigwa risasi kila Mkutano

Tundu Lissu amesema akichaguliwa ataunda tume ya ukweli na maridhiano.

Kwa maana hiyo yuko tayari ku-move on, na pia anataka kuliongoza taifa ktk kuondokana na matendo ya kikatili na uovu.

Lingine amesema wakati wote wa utawala wake atakuwa mfariji mkuu, hatobeza wala kudhihaki waTz waliopatwa na maafa au ajali.
 
Yaani upigwe risasi 36 uache kuongelea mi ningesema kila sehem....
 
Huyo jamaaaa, asipotumia hiyokiki ya alioigiza ili ije impe promo kwenye uchaguzi huuu na kuwalagai chama chake wamuhurimie agombeee yeye eti kisa anamuujiza, inje yahapo kichani kwa masuala ya kujenga hoja ya kisiasa yuko empty kichwaniii.

Sasa yeye kuchakutwa ni kutushuhudia miujiza, lakini pamoja na umahili wa sheria alionao hatujawahi onatukio lake lile analipereka mahakamani atasikumojaa.
Huu ushuhuda lazima autumie kila kona ilikuutengenezea kiki ya kuhurumiwa kupewa uraisiii.
Alipomiminiwa riaasi zaidi ya 30 kick kwake ilikujaje?
 
Alipomiminiwa riaasi zaidi ya 30 kick kwake ilikujaje?
Angemiminiwa hizo risasi na wasiojulikana angekaaakimya hata kufungua mashitaka iliuchunguzi ufanyike na jinsi anavyopenda kiki za ujuaji wakila kituu?

Mwambieni jamaayenu, kwa nini hajafungua kesi mahakamani iliuchunguzi ufanyikeee??,
Anaogopa nini huyo mwanaushuhuda wenu?
Yaaanii hatakama ni we we usifungue kesi mahakamaniii??
 
Jiweke kwenye nafasi yake uone kama ni rahisi hivyo...kuongea ni tiba bora ya afya ya akili..kuongea huleta nafuu ya fukuto la maumivu makali
Na kwa kufanya hivyo kila mara anapeleka ujumbe muhimu na wa kutisha kwa watesi wake kuwa yuko imara kuliko hata kabla ya shambulio na HAJASAHAU....hajafanya nini!? HAJASAHAU.....!!!!
Huu ni wakati wa kunadi sera na ilani ya Chadema? Au ni kipindi cha kuonyesha hasira na machungu ya moyoni?
 
Kwa Nini asizungumzie wakati wakati tukio lilimpata akiwa mwanasiasa tena mbunge. Tena ilitakiwa kila anapotaka kuzungumza anaanza na ilo suala la kupigwa risasi 16. Na akimaliza analizungumzia tena. Na kufunga mkutano kwa Maombi.
 
napendekeza TL asiache kuwaeleza wananchi masahibu yaliyompata kila apatapo kajinafasi...nimegundua hili linawauma sana mataga.

huko vijijini ndio iwe lazima, watz hatupendi ukatili tutampa kura za huruma!.
Unashauri tumchague kiongozi mkuu wa nchi kwa sababu ya kumuonea huruma tu?
 
Kwa Nini asizungumzie wakati wakati tukio lilimpata akiwa mwanasiasa tena mbunge. Tena ilitakiwa kila anapotaka kuzungumza anaanza na ilo suala la kupigwa risasi 16. Na akimaliza analizungumzia tena. Na kufunga mkutano kwa Maombi.
Ili iweje sasa? hata sisi wananchi tuna majanga mengi tu yaliyotupata Lissu sio wa kwanza wala wa mwisho,kama suala la huruma basi kuna watu wanatia huruma mara mia ya Lissu na wapo tu mitaani wanapambana na hali zao.
 
Jiweke kwenye nafasi yake uone kama ni rahisi hivyo...kuongea ni tiba bora ya afya ya akili..kuongea huleta nafuu ya fukuto la maumivu makali
Na kwa kufanya hivyo kila mara anapeleka ujumbe muhimu na wa kutisha kwa watesi wake kuwa yuko imara kuliko hata kabla ya shambulio na HAJASAHAU....hajafanya nini!? HAJASAHAU.....!!!!
Umemjibu vizuri sana

Yeye anayemkejeli Lissu afanye Kama yeye ndio lissu aone jinsi huyu jamaa alivyo mapito magumu na bado kasimama imara
 
Huyo jamaaaa, asipotumia hiyokiki ya alioigiza ili ije impe promo kwenye uchaguzi huuu na kuwalagai chama chake wamuhurimie agombeee yeye eti kisa anamuujiza, inje yahapo kichani kwa masuala ya kujenga hoja ya kisiasa yuko empty kichwaniii.

Sasa yeye kuchakutwa ni kutushuhudia miujiza, lakini pamoja na umahili wa sheria alionao hatujawahi onatukio lake lile analipereka mahakamani atasikumojaa.

Huu ushuhuda lazima autumie kila kona ilikuutengenezea kiki ya kuhurumiwa kupewa uraisiii.
Ungepigwa wewe risasi Wala usingepona naamini hivyo maana una kaushetani flani hivi

Lissu hata aongee Mara 1000 kupigwa risasi watu watamwelewa .
 
Alipigwa na naniii???

Alivyo kiherehere wakujifanya anajua kila kitu angekuwa hajaenda kuripoti ata kwa barozi wa nyumba kumiiii?
Kama kweli siokiki kwanini hataki kwenda kuripoti mahakamaniii?
Anaogopa nini hukooo??

Ungepigwa wewe risasi Wala usingepona naamini hivyo maana una kaushetani flani hivi

Lissu hata aongee Mara 1000 kupigwa risasi watu watamwelewa .
 
Back
Top Bottom