Tundu hafai kuwa mwanasheria wa CHADEMA

Tundu hafai kuwa mwanasheria wa CHADEMA

Kweli hafai yaan mpaka anatoa siri za ndani za chama mahakamani kuwa CHADEMA SIO CHAMA CHA WAVAA KANZU NA BAGALASHIA!
 
tundu kafulia, kakutana na kiboko yake. Chezea msando wewe...

Hivi unajua kuwa hapa TZ wapo wanasheria wawili tu (Tundu na Jaji warioba) waliosomea Environmental law na mambo mengine ya kuhusu sheria? hapo ndo ujuwe huyu jamaa ni kichwa hata mwenyekiti wangu wa CCM anajua hili. kwenye ukweli huwa niko positive.
 
Lisu anazichanganya sheria halafu anawachanganya na wenzake.
 
Kweli hafai yaan mpaka anatoa siri za ndani za chama mahakamani kuwa CHADEMA SIO CHAMA CHA WAVAA KANZU NA BAGALASHIA!

Amesema ukweli. Hilo ndilo lililojificha nyuma ya pazia ya chadema.
 
Nani huyu mboronga sheria? Ha ha ha ha ha ha ha, hata kikwete alimchamba juzi hadharani.

Analolianzisha Lissu Kikwete hulifanya, ndivyo ilivyokuwa kwenye issue ya katiba. Kikwete haoni namna ya kushindana na Lissu, anaona jamaa anavyowanyanyasa na kuwadharirisha wabunge na mawaziri wake bungeni.
Hivyo basi, Kikwete kumshambulia Lissu ni kwa lengo la kuwapooza vijana wake ili ionekane kama yupo nao, lakini kihoja kumbe yupo na jamaa.
 
kwa watu msiojua sheria mna tatizo kubwa wakati mnapojadili mambo ya sheria
bora ungeomba mwongozo kutoka kwa wanasheria.
Kwa wakili kushindwa kesi au kushinda kesi ni kawaida, wao sio mahakimu au majaji.
Sio mara ya kwanza kwa Lissu kushindwa kesi amefanya kazi yake
amecheza na facts na law kutetea upande wake halikadhalika kwa msando sio kesi yake ya kwanza kushinda au kushindwa
jaji anaangalia kesi imeegemea upande gani kulingana na sheria,
na shahidi zilizo mbele yake.
haimaanishi wakili anaeshindwa kesi hajui sheria,kama una mawazo hayo umepotoka

nchana nlisema kwa jinsi kesi ilivo uamuzi wa leo utaegemea kwa Zito,
alikuwa na haki ya kusikilizwa na Baraza kuu..
lakini kwa vile iko hivo Lissu asingekaa kimya akubali yaishe bila kuandika submission zake au kuzitoa orally..
nakushauri usipost jambo la sheria kama hujui sheria.

Lingine la kujiuliza huu ni uamuzi mdogo, kesi ya msingi bado
na kwa trend ilivo Zito amekosa mshauri wa busara,
atakaemshauri akae kimya kwenye mitandao na atakaemshauri kukiacha chama kama hawamtaki,
Mwanakijiji alimshauri mapema aondoke Chadema.

Zitto anapendwa na wengi, ana legacy yake hata akisimama kama mgombea binafsi atapita huyu.
namshauri astep down akasome PhD yake akirudi atafundisha chuo kama ana GPA 3.8 na kuendelea
kisha ataamua kuwania tena ubunge..hana haja ya kupingana au kuwatukana kwenye mitandao viongozi wenzake
yeye bado kijana mdogo ana dreams na future nyingi..sio lazima siasa

Ni mwanasheria anayejichanganya na mwisho wa siku anawachanganya wenzake. Mfano kesi hii ya leo, alitamba sana kumtoa knock out wakili kijana Msonda, kwa kutumuia ujanja wa kisheria lakini kapigwa chini. Ni aibu kwa chadema kumtegemea kama mwanasheria wenu.Atakuja waangusha kwenye swala kubwa kuliko hili. Nawasilisha.
 
Unathubutu kudhani kuwa hoja za Msando ndiyo zimempa ushindi? Usithubutu kabisa, kama ni sifa na zimuendee Jaji kwa reference na conclutions zake.
 
Ni mwanasheria anayejichanganya na mwisho wa siku anawachanganya wenzake. Mfano kesi hii ya leo, alitamba sana kumtoa knock out wakili kijana Msonda, kwa kutumuia ujanja wa kisheria lakini kapigwa chini. Ni aibu kwa chadema kumtegemea kama mwanasheria wenu.Atakuja waangusha kwenye swala kubwa kuliko hili. Nawasilisha.
haya ni masuala ya kisheria. wanasheria ni tofauti ma makocha ambao hufukuzwa timu isipofanya vizuri. sheria ni kucheza na vifumgu kuufanya ukweli kuwa uwongo au uwongo kuwa ukweli. ndo maana ukikosa kisheria hupaswi kukiri bali kuitaka sheria ihakikishe umekosa ikishindwa unaokoka.
 
Hakuna aliyeshinda leo kumeonekana kuna kesi ya msingi .itasikilizwa tarehe 21
 
kwa watu msiojua sheria mna tatizo kubwa wakati mnapojadili mambo ya sheria
bora ungeomba mwongozo kutoka kwa wanasheria.
Kwa wakili kushindwa kesi au kushinda kesi ni kawaida, wao sio mahakimu au majaji.
Sio mara ya kwanza kwa Lissu kushindwa kesi amefanya kazi yake
amecheza na facts na law kutetea upande wake halikadhalika kwa msando sio kesi yake ya kwanza kushinda au kushindwa
jaji anaangalia kesi imeegemea upande gani kulingana na sheria,
na shahidi zilizo mbele yake.
haimaanishi wakili anaeshindwa kesi hajui sheria,kama una mawazo hayo umepotoka

nchana nlisema kwa jinsi kesi ilivo uamuzi wa leo utaegemea kwa Zito,
alikuwa na haki ya kusikilizwa na Baraza kuu..
lakini kwa vile iko hivo Lissu asingekaa kimya akubali yaishe bila kuandika submission zake au kuzitoa orally..
nakushauri usipost jambo la sheria kama hujui sheria.

Lingine la kujiuliza huu ni uamuzi mdogo, kesi ya msingi bado
na kwa trend ilivo Zito amekosa mshauri wa busara,
atakaemshauri akae kimya kwenye mitandao na atakaemshauri kukiacha chama kama hawamtaki,
Mwanakijiji alimshauri mapema aondoke Chadema.

Zitto anapendwa na wengi, ana legacy yake hata akisimama kama mgombea binafsi atapita huyu.
namshauri astep down akasome PhD yake akirudi atafundisha chuo kama ana GPA 3.8 na kuendelea
kisha ataamua kuwania tena ubunge..hana haja ya kupingana au kuwatukana kwenye mitandao viongozi wenzake
yeye bado kijana mdogo ana dreams na future nyingi..sio lazima siasa[/QU
Unachosema ni sahihi kabisa zitto alikosa mshauri toka zamani kugombana na vigogo wa chama siku zote you become a loser.zitto angekubali kuwa royal kwa viongozi wake alikuwa na future kisiasa.kumbuka wengi mle Cdm ni wazee so angeweza kuja kupanda na ku shiksa nafasi za juju muda ukifika.LAkini washauri wake mabomu.kisiasa kwishney.maana Najee ya cdm hakuna umaarufu kisiasa
 
Kwani nyie hilo ndo munaliona sahizi? Duuu! To laity coz mimi nilisha sema toka juzu kuwa "muelewe naini hapo nikifarana na nani mama wakifaranga .mungeelewa juu ya usemi huo --- tundu mngemuto kuwa mwanasheria wa cdm .sasa nani mupumbavu hapo???? Nipe jibu nahizo dv 5 zenu hizo;.

ndio maana huna hata 'like" moja.......
 
mzandiki na mfitini njaa inamsumbua wala sio mpinzani huyu akachukue hela kwa nimrod mkono amewapotezea wayu muda mahakamani leo sijui nae ni masalia anaekuja kidigitali
 
Ni mwanasheria anayejichanganya na mwisho wa siku anawachanganya wenzake. Mfano kesi hii ya leo, alitamba sana kumtoa knock out wakili kijana Msonda, kwa kutumuia ujanja wa kisheria lakini kapigwa chini. Ni aibu kwa chadema kumtegemea kama mwanasheria wenu.Atakuja waangusha kwenye swala kubwa kuliko hili. Nawasilisha.
Weka takwimu kaka.
Kasimamia kesi ngapi,kashinda ngapi na kashindwa ngapi?
Lissu hakuanzia kwenye CDM kumbuka mambo ya mazingira.
Leo kupoteza kesi moja ndio,hafai?
 
Hivi unajua kuwa hapa TZ wapo wanasheria wawili tu (Tundu na Jaji warioba) waliosomea Environmental law na mambo mengine ya kuhusu sheria? hapo ndo ujuwe huyu jamaa ni kichwa hata mwenyekiti wangu wa CCM anajua hili. kwenye ukweli huwa niko positive.

NONSENSE (Ya capital letters)
 
Back
Top Bottom