Tundu hafai kuwa mwanasheria wa CHADEMA

Tundu hafai kuwa mwanasheria wa CHADEMA

Ni mwanasheria anayejichanganya na mwisho wa siku anawachanganya wenzake. Mfano kesi hii ya leo, alitamba sana kumtoa knock out wakili kijana Msonda, kwa kutumuia ujanja wa kisheria lakini kapigwa chini. Ni aibu kwa chadema kumtegemea kama mwanasheria wenu.Atakuja waangusha kwenye swala kubwa kuliko hili. Nawasilisha.

Unataka uwe wewe?
 
Kwani nyie hilo ndo munaliona sahizi? Duuu! To laity coz mimi nilisha sema toka juzu kuwa "muelewe naini hapo nikifarana na nani mama wakifaranga .mungeelewa juu ya usemi huo --- tundu mngemuto kuwa mwanasheria wa cdm .sasa nani mupumbavu hapo???? Nipe jibu nahizo dv 5 zenu hizo;.
 
Ukiona maamuzi yanapigwa danadana hadi kupelekea kucheleweshwa basi ujue mkono wa dola unafanya kazi. Zitto ni mtu wa ccm lazima issue yake ifanyiwe maamuzi na Ikulu. Lakini one day yes

tutafute jinsi ya kurekebisha kasoro ndan ya chama si kukurupuka oh ccm mara dola
 
Ni mwanasheria anayejichanganya na mwisho wa siku anawachanganya wenzake. Mfano kesi hii ya leo, alitamba sana kumtoa knock out wakili kijana Msonda, kwa kutumuia ujanja wa kisheria lakini kapigwa chini. Ni aibu kwa chadema kumtegemea kama mwanasheria wenu.Atakuja waangusha kwenye swala kubwa kuliko hili. Nawasilisha.

Kwanini usiseme Jaji hafai kwa kutoa amri ya kipumbavu?
 
Kinachomponza Lissu ni kutaka sifa za kitoto na kuropoka ropoka kama mwehu.
 
Acha kupakazia watu wewe! Ralphryder, Ndio kageuka Shonza? Acha kuweweseka wewe msukule!

Shonza si mwnachama mwenzio wa Magamba? acha kumkana mwenzio!

Kwa taarifa yako mimi ni mwanachama wa CHADEMA ,sio wewe unayeleta ushabikishabiki tu wa kijinga hapa..

Kjenge chama chenu,ya CHADEMA tuachie sisi wenyewe! hayakuhusu.....

We binti vipi?
 
Dogo nani amekudanganya kwamba Majaji wanafuata sheria kwenye issue kama hii yenye interest ya CCM? The Judiciary of Tanzania is not yet independent! NOT YET UHURU! But the time is coming when the Judiciary will be free! It is just a matter of time!

Ndio jaji huyu huyu aliemrudishiA ubunge Lema. Hapo ilikuwaje kwa ccm

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
CDM ikishinda mahakama imetenda haki, CDM ikishindwa mahakama haijatenda haki. Hamridhiki jatmani, msije
kama mlijua mahakaman hakuna haki na zito ni mbunge wa mahakama kwa mujibu wa lisu kwa nini lema alikata rufaa ya ubunge kwenye mahakama hz hz? msiwe wepes wa kusahau kisa mapenz
 
Ni kilio cha mbwa koko hicho. FACT 2ILL STAND TO BE FACT! TUNDU IS NO MORE A THREAT IN A LAW SOCIET! KEEP UP MSONDA

Dogo nani amekudanganya kwamba Majaji wanafuata sheria kwenye issue kama hii yenye interest ya CCM? The Judiciary of Tanzania is not yet independent! NOT YET UHURU! But the time is coming when the Judiciary will be free! It is just a matter of time!

Dogo nani amekudanganya kwamba Majaji wanafuata sheria kwenye issue kama hii yenye interest ya CCM? The Judiciary of Tanzania is not yet independent! NOT YET UHURU! But the time is coming when the Judiciary will be free! It is just a matter of time!
 
Ni mwanasheria anayejichanganya na mwisho wa siku anawachanganya wenzake. Mfano kesi hii ya leo, alitamba sana kumtoa knock out wakili kijana Msonda, kwa kutumuia ujanja wa kisheria lakini kapigwa chini. Ni aibu kwa chadema kumtegemea kama mwanasheria wenu.Atakuja waangusha kwenye swala kubwa kuliko hili. Nawasilisha.

Unakurupuka
 
Chadema imekufa.

Nimeamini CDM ni jembe. Nahitaji kadi ya CDM haraka maana mmepitia mambo mengi lakini mmepanda chat sana badala ya ku R.I.P kama waziri alivyotabiri!! Peopleeeeeees
 
ni mwanasheria anayejichanganya na mwisho wa siku anawachanganya wenzake. Mfano kesi hii ya leo, alitamba sana kumtoa knock out wakili kijana msonda, kwa kutumuia ujanja wa kisheria lakini kapigwa chini. Ni aibu kwa chadema kumtegemea kama mwanasheria wenu.atakuja waangusha kwenye swala kubwa kuliko hili. Nawasilisha.

unakurupuka jipange uje upya
 
Shonza si mwnachama mwenzio wa Magamba? acha kumkana mwenzio!

Kwa taarifa yako mimi ni mwanachama wa CHADEMA ,sio wewe unayeleta ushabikishabiki tu wa kijinga hapa..

Kjenge chama chenu,ya CHADEMA tuachie sisi wenyewe! hayakuhusu.....

We binti vipi?

ACHA HASIRA KIJANA. Kumbuka hasira hasara.teh teh teh
 
Ni mwanasheria anayejichanganya na mwisho wa siku anawachanganya wenzake. Mfano kesi hii ya leo, alitamba sana kumtoa knock out wakili kijana Msonda, kwa kutumuia ujanja wa kisheria lakini kapigwa chini. Ni aibu kwa chadema kumtegemea nkama mwanasheria wenu.Atakuja waangusha kwenye swala kubwa kuliko hili. Nawasilisha.
umbumbumbu unakusumbua kijana na hujui unachoongea, ama --------- tu! Tundu Lissu ameshinda kesi nyingi sana china usimamizi wake zilizofunguliwa na ccm kupinga matokeo ya ubunge wa wabunge mbalimbali wa chadema mf ilemela nk.
 
Ni kilio cha mbwa koko hicho. FACT 2ILL STAND TO BE FACT! TUNDU IS NO MORE A THREAT IN A LAW SOCIET! KEEP UP MSONDA

Ni kweli, kwa sasa ni wakati wa mbwa koko kulia! Hata hivyo, Mungu si Athumani, wakati unakuja ambapo watawala wa Tanzania, nao watalia! Watawala wa Zambia, Kenya, Ghana, n.k; siku moja nao walilia! Zamu ya kulia kwa watawala wa Tanzania, pia inakuja. God is no respecter of persons!
 
Back
Top Bottom