Tundu hafai kuwa mwanasheria wa CHADEMA

Tundu hafai kuwa mwanasheria wa CHADEMA

Kesi ya Dowans ilishikiliwa na jopo la mawakili waliobobea hapa nchini yet walipigwa chini. Kumbuka kila swala mahakaman lina pande mbili. Ebu fanya marejeo nyuma.....kesi ngapi CDM imeahindwa zikiwa chini ya huyo unayemuita leo kimeo...shame on you...kauze mihogo au kahawa maji

Poleni. Hasira haijengi.
 
Waliokuwa wakisema Tundu kiboko leo wanamtetea, ungemwona pale mahakamni leo ungemwonea huruma. Umbumbumbu wa cdm na bavicha yao ni tatizo; ni kwamba ''Tundu haeleweki lakini wao wanamwamini'' Jk. ''Tundu don't shout, argue'' AG

Kwani alipata GPA ngapi? Tusimlaumu bure, tujue uwezo wake kwanza, kwa mwenye kujua aweke hapa hiyo GPA yake.
 
Ni mwanasheria anayejichanganya na mwisho wa siku anawachanganya wenzake. Mfano kesi hii ya leo, alitamba sana kumtoa knock out wakili kijana Msonda, kwa kutumuia ujanja wa kisheria lakini kapigwa chini. Ni aibu kwa chadema kumtegemea kama mwanasheria wenu.Atakuja waangusha kwenye swala kubwa kuliko hili. Nawasilisha.
Kaka michango yako juzi kati ulikuwa upande wa Ccm. Leo upo chadema? Lissu ameshinda kesi nyingi sana na wewe unalijua hilo. Sema unataka kuweka league hapa
 
Lissu ni kama wanasheria wengine akichemka anaachemshwa tu, tena hili halihitaji ucdm wala unyinyiemu, (HATA MWL ANAMWALIMU WAKE)
 
Kaka michango yako juzi kati ulikuwa upande wa Ccm. Leo upo chadema? Lissu ameshinda kesi nyingi sana na wewe unalijua hilo. Sema unataka kuweka league hapa

Kesi gani? Mimi sikuelewi,hebu nidadavulie.
 
Ila wanachama wakitunisha vigimbi kama zito jamaa wataacha fukuza fukuza.
 
Ni mwanasheria anayejichanganya na mwisho wa siku anawachanganya wenzake. Mfano kesi hii ya leo, alitamba sana kumtoa knock out wakili kijana Msonda, kwa kutumuia ujanja wa kisheria lakini kapigwa chini. Ni aibu kwa chadema kumtegemea kama mwanasheria wenu.Atakuja waangusha kwenye swala kubwa kuliko hili. Nawasilisha.

usisahau na kiDHungu kilimshinda km mm!!
 
mimi ninachofurahi ni kwamba Lissu ni mwanachama wa CHADEMA,Msando ni mwanachama wa CHADEMA!

Wewe Shonza ni mwanachama wa chama gani?

Acha kupakazia watu wewe! Ralphryder, Ndio kageuka Shonza? Acha kuweweseka wewe msukule!
 
Last edited by a moderator:
Mi cungani nawe Kwa Hili, Mhe Lema Ar alishinda ktk mahakama hizihizi unaziita za ccm, ziheshim, mwenzio Kasema Vzr sn, Kuna kushinda Na kushindwa, Na lisu Kuna kesi Nyingi kashinda
 
Back
Top Bottom