FYI hilo unaloita dubwana lilikuja kudhibitiwa kwa kufungiwa na kuchomwa moto and that was its end.Mfano wa jinsi miscalculation za CCM zilivyompaisha Lissu na kuweza kuwa mtu ambaye hawataweza tena kumdhibiti kama vile ambavyo yule mad scientist alivyoshindwa kulidhibiti dubwana alilolitengeneza mwenyewe.
Kawadanganye wasiofuatilia post zako...you are obsessed with Lissu, he haunts you in your sleep.Kwani nimesema Tundu Lissu ni evil?
Kwa matusi I give it to you...you can shout them from the rooftops but even the perfumes from all of Arabia will not cleanse your bloody hands.Stop being so sensitive and stupid to the point that you can't even see my point. Come on now...
Namba 3 inaingia akilini,,RAIA waoga mno
Huyu nyani ni msukuma, hakuna watu limukeni kama hao ndugu zanguFYI hilo unaloita dubwana lilikuja kudhibitiwa kwa kufungiwa na kuchomwa moto and that was its end.
Kawadanganye wasiofuatilia post zako...you are obsessed with Lissu, he haunts you in your sleep.
Kwa matusi I give it to you...you can shout them from the rooftops but even the perfumes from all of Arabia will not cleanse your bloody hands.
BLUE/SAMAWATI: hatokuwa tundu lissu yule ingawa anaweza kujaribujaribu lakini hatokuwa na kujiamini kulikopitiliza....kuna wakati inaweza kutokea akawa anadhani anasikia mlio wa bunduki bungeni na kustuka kumbe ni makofi ya wabunge wenzake ....ondoa hofu kabisa mkuu.Zile kamata kamata zisizo na kichwa wala miguu dhidi ya Tundu Lissu na zile kesi uchwara zote zilizofunguliwa dhidi yake naamini ndizo zilizompandisha chati huyo bwana katika huu utawala wa awamu ya tano.
Mara nyingi kama si zote hizo kamata kamata zilitokea baada ya yeye kutoa maneno makali dhidi ya serikali na rais.
Kuna nyakati alikuwa yupo sahihi na nyakati zingine alikuwa mzushi tu. Kwa mfano, aliposema nchi inaendeshwa kwa misingi ya kikabila na kikanda, huo ulikuwa ni uzushi tu. Zilikuwa ni propaganda tu.
Uzushi na propaganda kwenye siasa ni jambo la kawaida sana na la kutegemewa kuwepo. Mwanasiasa asiyezusha, asiyetia chumvi, na asiyepiga propaganda atakuwa kakosea fani.
Sasa mimi naamini hii serikali inafanya makosa sana katika kuwakamata na kuwafungulia mashitaka watu wanaoipinga na kuikosoa. Hizo kesi wanazofunguliwa ni vichekesho mtupu.
Katika kukosea kwao huko, naamini serikali imeunda lidubwana [monster] ambalo kuanzia sasa kwenda mbele itakuwa vigumu kulidhibiti. Lidubwana hili nalifananisha na lile lidubwana la kwenye filamu ya Frankenstein.
Lidubwana hilo ndo Tundu Lissu. Hebu fikiria haya:
Jamaa keshaonyesha kuwa haogopi kuikosoa serikali wala kumsema vibaya rais [mambo ambayo ni ya kawaida sana kwenye demokrasia na ambayo yanahimizwa kufanyika].
Uthubutu na ujasiri wake huo ndo umepelekea yeye kukamatwa kamatwa na kufunguliwa vi kesi uchwara.
Uthubutu na ujasiri huo huo ndo si ajabu umepelekea yeye kushambuliwa kwa risasi kwa lengo la kutaka kumuua. Sijui kwa uhakika ni nani anayehusika na hilo shambulio.
Sasa pata picha atapopona na kurejea tena nchini na kuendelea na harakati zake pale alipoishia!
Serikali itamfanya nini huyu mtu? Wataendelea kumsumbua na hizo kamata kamata zao na kumfungulia hivyo vi kesi uchwara mtu ambaye tayari ana huruma za umma kwa ujumla wake kutokana na yale yaliyomtokea?
Sioni utamkamataje na kumfunga mtu ambaye kanusurika kuuwawa namna ile. Akili yangu inaniambia hata dhamiri yako, kama ni safi, basi itakusuta tu.
Hakika hii serikali ya awamu ya tano ilibugi stepu katika namna ya kumkabili Lissu na sasa amekuwa lidubwana ambaye anaweza asidhibitike tena.
Ni muda tu ndo utaotueleza.....
Aiseeeeeee. Mbona inaonekana umekata tamaa ya kimaisha hivyo. Kama ni kijana pambana tu utafanikiwa bwana. Kama ni mzee jitahidi hata uache neno kama assert katika kizazi chako, kwani neno ni bora kuliko ukiacha Mali. Usikate tamaa hivyo bwana.Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,
Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Labda kama ni mungu Magu...Vipi kama hitman aliyem-shoot aliagizwa na Mungu, i mean who knows in this life!
Mfano ni mzuri kabisa...Huo mfano uliotumia siyo mzuri.
..I get a little uncomfortable unapotumia jina "frankeinstein" ktk sentensi moja na mpendwa wetu Tundu Antipas Mughwai Lissu mzalendo nambari moja wa Tz na mtetezi wa wanyonge.
..zaidi kiongozi wetu yupo hospitali akijiuguza kutokana na shambulio la marisasi lililotaka kumtoa maisha. Ulipaswa kuzingatia hilo wakati ukiwasilisha hoja yako.
..Again, hoja yako ni nzuri na mimi nimeichangia.
NB:
..Nashauri tuendelee tu na mjadala wetu. Kuna mambo muhimu zaidi ya kujadili ndani ya bandiko lako.
What Doesn't Kill You Makes You StrongerKwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,
Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Alipigwa risasi ngapi? Na wapi (eneo), linganisha huduma ya kwanza ya kimatibabu ya Papa huko Ulaya na TZ/Kenya!
Hapo unaweza kuwa una make a case against the government,na mshabiki wa Tundu Yesu anakushambulia wewe.Mfano ni mzuri kabisa.
Tatizo lako unatumia hisia zaidi kuliko akili katika kumjadili huyo "mpendwa" wako Lissu.
Al-Watan keshasema ni heri mumuite Tundu Yesu kabisa.
Mfano wa jinsi Lissu atakavyokuwa mgumu kudhibitiwa na serikali kutokana na makosa ya hiyo serikali una ubaya gani hasa?
Mimi sijazungumzia ubaya wa Lissu. Sijasema matendo ya Lissu ni sawa na matendo ya Frankenstein. Kwanza Frankestein monster ni kiumbe wa kufikirika tu.
Kama ningemfananisha na Hitler hapo sawa.
Lakini katika muktadha wa hoja, kwamba CCM na serikali yake ndo wanahusika moja kwa moja katika kumpandisha chati Lissu na sasa hawatoweza tena kumdhibiti kama vile ambavyo yule mad scientist alivyotengeneza lile li monster aliloshindwa kulidhibiti...sioni kabisa kosa hapo.
Nipo sahihi kabisa.
FYI hilo unaloita dubwana lilikuja kudhibitiwa kwa kufungiwa na kuchomwa moto and that was its end.
Kawadanganye wasiofuatilia post zako...you are obsessed with Lissu, he haunts you in your sleep.
Kwa matusi I give it to you...you can shout them from the rooftops but even the perfumes from all of Arabia will not cleanse your bloody hands.
Ataendesha harakati zake kwenye wheelchair
Nguin per se!So what? That was just a movie.
The only one with an obsession here is you. Your old ass is obsessed with me. Wherever you see my face you have to get my attention. Behaving like a groupie. I must live rent free in your head.
And for some reason you seem not to get enough of them. Shocker!
Hapo unaweza kuwa una make a case against the government,na mshabiki wa Tundu Yesu anakushambulia wewe.
Yote hayo yanitokee kwa sababu ya Tundu Lisu?
laba mungu wenu wa kuzimu lakini si MUNGU MTAKATIFUVipi kama hitman aliyem-shoot aliagizwa na Mungu, i mean who knows in this life!
Zile kamata kamata zisizo na kichwa wala miguu dhidi ya Tundu Lissu na zile kesi uchwara zote zilizofunguliwa dhidi yake naamini ndizo zilizompandisha chati huyo bwana katika huu utawala wa awamu ya tano.
Mara nyingi kama si zote hizo kamata kamata zilitokea baada ya yeye kutoa maneno makali dhidi ya serikali na rais.
Kuna nyakati alikuwa yupo sahihi na nyakati zingine alikuwa mzushi tu. Kwa mfano, aliposema nchi inaendeshwa kwa misingi ya kikabila na kikanda, huo ulikuwa ni uzushi tu. Zilikuwa ni propaganda tu.
Uzushi na propaganda kwenye siasa ni jambo la kawaida sana na la kutegemewa kuwepo. Mwanasiasa asiyezusha, asiyetia chumvi, na asiyepiga propaganda atakuwa kakosea fani.
Sasa mimi naamini hii serikali inafanya makosa sana katika kuwakamata na kuwafungulia mashitaka watu wanaoipinga na kuikosoa. Hizo kesi wanazofunguliwa ni vichekesho mtupu.
Katika kukosea kwao huko, naamini serikali imeunda lidubwana [monster] ambalo kuanzia sasa kwenda mbele itakuwa vigumu kulidhibiti. Lidubwana hili nalifananisha na lile lidubwana la kwenye filamu ya Frankenstein.
Lidubwana hilo ndo Tundu Lissu. Hebu fikiria haya:
Jamaa keshaonyesha kuwa haogopi kuikosoa serikali wala kumsema vibaya rais [mambo ambayo ni ya kawaida sana kwenye demokrasia na ambayo yanahimizwa kufanyika].
Uthubutu na ujasiri wake huo ndo umepelekea yeye kukamatwa kamatwa na kufunguliwa vi kesi uchwara.
Uthubutu na ujasiri huo huo ndo si ajabu umepelekea yeye kushambuliwa kwa risasi kwa lengo la kutaka kumuua. Sijui kwa uhakika ni nani anayehusika na hilo shambulio.
Sasa pata picha atapopona na kurejea tena nchini na kuendelea na harakati zake pale alipoishia!
Serikali itamfanya nini huyu mtu? Wataendelea kumsumbua na hizo kamata kamata zao na kumfungulia hivyo vi kesi uchwara mtu ambaye tayari ana huruma za umma kwa ujumla wake kutokana na yale yaliyomtokea?
Sioni utamkamataje na kumfunga mtu ambaye kanusurika kuuwawa namna ile. Akili yangu inaniambia hata dhamiri yako, kama ni safi, basi itakusuta tu.
Hakika hii serikali ya awamu ya tano ilibugi stepu katika namna ya kumkabili Lissu na sasa amekuwa lidubwana ambaye anaweza asidhibitike tena.
Ni muda tu ndo utaotueleza.....
KABISA KATAA AU KUBALI..UKIANZA KUONA VITOTO VYAKO HATA SHULE HAVIELEWI,VINAFELI FORM FOUR HATA KAMA UTAKUWA NA PESA KIASI GANI HIYO NI LAANA TOSHA.KWA SASA HUWEZI KUONA LAKINI SIKU ZAJA AMBAZO HATA UKOO NA FAMILIA YAKO AJIRA HAZITAKUWEPO,BIASHARA ZIATAKUWA HAZIENDI.DAMU YA TUNDU LISSU ITAKUWA INA KULILIA KATIKA ARDHI.NAOMBA BAADA YA MIAKA KADHAA TUKIPEWA UZIMA URUDI HAPA UTOE USHUHUDA WA LAANA HIYO.KISASI NI JUU YA BWANA.WEWE LEO NI MBUNGE WA VITI MAALUM NINA UHAKIKA HUWA UNAHISI DUNIA HII NI YA KWAKO NA KAMWE HUTA KUFA WALA HUTOPATA MAJANGA.KAA UTAMBUE MUNGU HADHIHAKIWI APANDACHO MTU NDICHO AKACHOVUNA(WAKOLOSAI 5;6).CHEO ULICHONACHO NI DHAMANA TU,LEO UNAVYO KESHO HUNA.Bahati nzuri nina kufahamu vizuri