Tundu 'Frankenstein' Lissu

Tundu 'Frankenstein' Lissu

Kwa hiyo unaunga mkono kwamba Mh. Tundu Antiphas Lissu ndiye lidubwasha (the evil moster) kwenye filamu ya Frankenstein ambaye kwa uovu wake baada ya kufinyangwa kazi yake ilikuwa ni kuuwa tu. Mleta mada ni wazi kachanganyikiwa lakini kwa wewe kuunga mkono jitihada za mleta mada kumfananisha Mh.Tundu Lissu na huyo ibilisi aliyeua watu kumeniacha hoi.
  • Ni lini Mh. Tundu Lissu amekuwa na kiu ya damu?
  • Ni lini Mh. Tundu Lissu ameishi kwa kujificha gizani?
  • Ni lini Mh. Tundu Lissu amekuwa moja katika wasioonekana?
Chuki za Nyani Ngabu kwa Mh. Tundu Lissu zinaeleweka kwani zinachochewa na Genealogy ambayo haijamuacha salama, imemganda kama shati lililoloa. Ni chuki hizo hizo kutoka kwa watu wale wale zilizopelekea risasi zaidi ya 30 kushindiliwa mwilini mwa Mh.Tundu Lissu kwa lengo la kumuua. Lakin Mwenyezi Mungu katengua hukumu iliyotolewa na hao mashetani na kwa sasa hali yake inaimarika.

Hii hali imeleta sintofahamu kubwa kwa watu kama Nyani Ngabu...toka tukio limetokea hatulii na idadi ya mada alizoanzisha humu JF ni ushahidi wa utetezi wake dhaifu. Kama panya anauma na kupuliza kuondoa wingu lililotanga kugubika hisia za uhusika wa jamaa zake. Kiwewe kizito kimewakumba waliopanga, kuratibu na kutekeleza jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Lissu...tuzidi kumuombea Mh. Lissu.

..nakuunga mkono 100%.

..binafsi sikupenda alivyotumia jina "Frankeinstein" ktk sentensi moja na jina la Tundu Lissu.

..lakini wakati mwingine inabidi uvumilie tu ktk kuchanganyika na hawa vijana wa Lumumba.
 
Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,

Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
(Shhhhusiwambie hivyo bana). Akirudi tunampokea uwanja wa ndege anarukaruka kama ndama,Bashite macho chini.
 
Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,

Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Mkuu unadhani mawazo yako ni mawazo ya Mungu? Lahasha! Unajidanganya aliye muokoa na kifo ndiye haswa atakaye mrudisha ktk hali yake ya awali. Sisi hatuwezi bishana na shetani (wewe) ila tunaimani na Mungu wetu aliye umba vinavyo onekana ambavyo hata wewe unaviona na visivyo onekana.
 
Kwa hiyo unaunga mkono kwamba Mh. Tundu Antiphas Lissu ndiye lidubwasha (the evil moster) kwenye filamu ya Frankenstein ambaye kwa uovu wake baada ya kufinyangwa kazi yake ilikuwa ni kuuwa tu. Mleta mada ni wazi kachanganyikiwa lakini kwa wewe kuunga mkono jitihada za mleta mada kumfananisha Mh.Tundu Lissu na huyo ibilisi aliyeua watu kumeniacha hoi.
  • Ni lini Mh. Tundu Lissu amekuwa na kiu ya damu?
  • Ni lini Mh. Tundu Lissu ameishi kwa kujificha gizani?
  • Ni lini Mh. Tundu Lissu amekuwa moja katika wasioonekana?
Chuki za Nyani Ngabu kwa Mh. Tundu Lissu zinaeleweka kwani zinachochewa na Genealogy ambayo haijamuacha salama, imemganda kama shati lililoloa. Ni chuki hizo hizo kutoka kwa watu wale wale zilizopelekea risasi zaidi ya 30 kushindiliwa mwilini mwa Mh.Tundu Lissu kwa lengo la kumuua. Lakini Mwenyezi Mungu katengua hukumu iliyotolewa na hao mashetani na kwa sasa hali yake inaimarika.

Hii hali imeleta sintofahamu kubwa kwa watu kama Nyani Ngabu...toka tukio limetokea hatulii na idadi ya mada alizoanzisha humu JF ni ushahidi wa utetezi wake dhaifu. Kama panya anauma na kupuliza kuondoa wingu lililotanga kugubika hisia za uhusika wa jamaa zake. Kiwewe kizito kimewakumba waliopanga, kuratibu na kutekeleza jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Lissu...tuzidi kumuombea Mh. Lissu.
Well said mkuu!
 
Mkuu unadhani mawazo yako ni mawazo ya Mungu? Lahasha! Unajidanganya aliye muokoa na kifo ndiye haswa atakaye mrudisha ktk hali yake ya awali. Sisi hatuwezi bishana na shetani (wewe) ila tunaimani na Mungu wetu aliye umba vinavyo onekana ambavyo hata wewe unaviona na visivyo onekana.

Vipi kama hitman aliyem-shoot aliagizwa na Mungu, i mean who knows in this life!
 
Wasukuma this time midomo imezidi huku Bashite mara magfool Arusha Sasa wengine na threads zisizo na miguu Wala mikono vurugu tupo mpaka 20/20 tutakoma.
 
Lissu akirudi bongo atakuwa kapoa. Msitegemee yule lissu mpambanaji mliyemzoea...

Kwanza, kiakili hataweza kuwa sawa...

Pili, woga umeshamwingia. Mara nyingi alikuwa anasuguana na "wasiojulikana", ila kwa sasa hataweza tena kutumia lugha hii " niko radhi kufa, kutetea wananchi " ...

Tatu, wengi tulitegemea taharuki baada ya kupokea taarifa kuhusu kupigwa risasi. Lakini mambo yalikuwa kinyume. Raia waoga wanaendelea na kazi kama kawaida. Labda watu wa mitandao na magazeti " keyboard warriors"....

Kwa wale wanaofikiri kuwa atarudi kwenye hali yake ya awali waendelee na ndoto hiyo...
Mpango wenu ovu ume fell,
 
Zile kamata kamata zisizo na kichwa wala miguu dhidi ya Tundu Lissu na zile kesi uchwara zote zilizofunguliwa dhidi yake naamini ndizo zilizompandisha chati huyo bwana katika huu utawala wa awamu ya tano.

Mara nyingi kama si zote hizo kamata kamata zilitokea baada ya yeye kutoa maneno makali dhidi ya serikali na rais.

Kuna nyakati alikuwa yupo sahihi na nyakati zingine alikuwa mzushi tu. Kwa mfano, aliposema nchi inaendeshwa kwa misingi ya kikabila na kikanda, huo ulikuwa ni uzushi tu. Zilikuwa ni propaganda tu.

Uzushi na propaganda kwenye siasa ni jambo la kawaida sana na la kutegemewa kuwepo. Mwanasiasa asiyezusha, asiyetia chumvi, na asiyepiga propaganda atakuwa kakosea fani.

Sasa mimi naamini hii serikali inafanya makosa sana katika kuwakamata na kuwafungulia mashitaka watu wanaoipinga na kuikosoa. Hizo kesi wanazofunguliwa ni vichekesho mtupu.

Katika kukosea kwao huko, naamini serikali imeunda lidubwana [monster] ambalo kuanzia sasa kwenda mbele itakuwa vigumu kulidhibiti. Lidubwana hili nalifananisha na lile lidubwana la kwenye filamu ya Frankestein.

Lidubwana hilo ndo Tundu Lissu. Hebu fikiria haya:

Jamaa keshaonyesha kuwa haogopi kuikosoa serikali wala kumsema vibaya rais [mambo ambayo ni ya kawaida sana kwenye demokrasia na ambayo yanahimizwa kufanyika].

Uthubutu na ujasiri wake huo ndo umepelekea yeye kukamatwa kamatwa na kufunguliwa vi kesi uchwara.

Uthubutu na ujasiri huo huo ndo si ajabu umepelekea yeye kushambuliwa kwa risasi kwa lengo la kutaka kumuua. Sijui kwa uhakika ni nani anayehusika na hilo shambulio.

Sasa pata picha atapopona na kurejea tena nchini na kuendelea na hatakati zake pale alipoishia!

Serikali itamfanya nini huyu mtu? Wataendelea kumsumbua na hizo kamata kamata zao na kumfungulia hivyo vi kesi uchwara mtu ambaye tayari ana huruma za umma kwa ujumla wake kutokana na yale yaliyomtokea?

Sioni utamkamataje na kumfunga mtu ambaye kanusurika kuuwawa namna ile. Akili yangu inaniambia hata dhamiri yako, kama ni safi, basi itakusuta tu.

Hakika hii serikali ya awamu ya tano ilibugi stepu katika namna ya kumkabili Lissu na sasa amekuwa lidubwana ambaye anaweza asidhibitike tena.

Ni muda tu ndo utaotueleza.....
Nimekuwa nafikiria scenario hiyo pia Ila Kama ulivyomalizia muda utaamua maana with passage of time, sympathy inapotea, memories zinafade Na kila mtu anaendelea Na mihangaiko yake, tunabaki tu kusema Yule jamaa enzi zake...
 
Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,

Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!

Japo watu wengi wanafikiri Lisu atarudi na moto ule au zaidi, lkn mm nakuhakikishia Lisu akirudi atakuwa kama kina Ulimboka!
Ni faida gani kumtenda mtu anayethubutu hivyo?! Halafu ukayaacha mazezeta yasioelewa, na wanaunga mkono na kupiga mameza, hata pale kiongozi mkuu anapowaletea mikataba ya 3% kwa miaka 100 !!!! Ujinga gani huu watu wanauona kama uzalendo na hali ni kulizika taifa??!!
 
Tundu Lisu ni Msaliti, mwisho wa mjadala!
 
Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,

Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Huna ubinadamu, japo nipo CCM lakini hayo sio maneno ya kusema hujafa hujaumbika ndg
 
Ni swala la mtazamo tu, wewe kwako Tundu Lisu ni muhimu kwangu siyo, ni Binadamu kama wengine tu, hata wale wana CUF waliokuwa wanatoka Dodoma nakufariki kwa ajali ya gari mlishamgilia hapa, Watanzania waliokuwa wanapigwa risasi Kibiti pmj na Askari wetu mlikuwa mnashangilia hapa, Wenyeviti wa CCM wa Vijiji waliopigwa risasi hamkuonyesha Ubinadamu wowote ule ambao leo hii mnautaka Dunia nzima iuonyeshe kwaTundu Lisu, hata mpaka Wabunge wenu Bungeni walikuwa wanawakejeli, sasa iweje nyie mnataka kumlazimisha kila mtu awe na huzuni kwa Tundu Lisu, kama wewe una huzuni poa hiyo inatosha lkn usitake kulazimisha kila mtu, after all huzuni ni swala la mtazamo tu!
 
Ni kama vile unasema wakammalizie ili asipone na kurejea kuendelea na harakati zake pale alipoishia. Kwamba unajiuliza serikali itamfanya nini tena mtu ambaye keshanusurika kifo, hinting ni serikali ilimkosakosa? Strange. Na unasema Lissu alishambuliwa kwa kuwa strategy ya vi kesi uchwara ilishindwa kumdhibiti? Na kwanini una-assume kwamba ni halali kwa serikali "kumkabili" na "kumdhibiti" Lissu? You sound like a Chief Strategist katika Ikulu ya Magufuli.

Aisee!

Kuna watu mna akili za ajabu kweli.
 
Back
Top Bottom