Tundu 'Frankenstein' Lissu

Tundu 'Frankenstein' Lissu

..nakuunga mkono 100%.
..binafsi sikupenda alivyotumia jina "Frankeinstein" ktk sentensi moja na jina la Tundu Lissu.
..lakini wakati mwingine inabidi uvumilie tu ktk kuchanganyika na hawa vijana wa Lumumba.
Waliloazimia Mwenyezi Mungu bado kaweka breki na kiwewe kilichowakumba ni kizito...kila moja katika wahusika kwa namna moja ama nyingine anatapatapa. Wako waliotayarishwa kuanzisha mada za hovyo mtandaoni hata hivyo tunao, tutawaumbua kila wakitokeza pua hadi waone aibu. Fikiria mtu na akili zake timamu anamfananisha Mh. Tundu Lissu na the evil monster kwenye filamu frankenstein! Je hao waliopanga mauaji wenyewe atawafananisha na nani kwenye hiyo filamu? How low can one get!
 
Tundu Lisu ni Msaliti, mwisho wa mjadala!
Tamka kasaliti nini?! Zaidi ya kuwasaidia WaTz wanaoonewa na serikali yako?! Na kuwaambia ukweli ikiwemo na bunge !! Taja usaliti wa Lissu linganisha hata na alietushikia bendera?!!
 
Kwa hiyo unaunga mkono kwamba Mh. Tundu Antiphas Lissu ndiye lidubwasha (the evil moster) kwenye filamu ya Frankenstein ambaye kwa uovu wake baada ya kufinyangwa kazi yake ilikuwa ni kuuwa tu. Mleta mada ni wazi kachanganyikiwa lakini kwa wewe kuunga mkono jitihada za mleta mada kumfananisha Mh.Tundu Lissu na huyo ibilisi aliyeua watu kumeniacha hoi.
  • Ni lini Mh. Tundu Lissu amekuwa na kiu ya damu?
  • Ni lini Mh. Tundu Lissu ameishi kwa kujificha gizani?
  • Ni lini Mh. Tundu Lissu amekuwa moja katika wasioonekana?
Chuki za [B]Nyani Ngabu[/B] kwa Mh. Tundu Lissu zinaeleweka kwani zinachochewa na Genealogy ambayo haijamuacha salama, imemganda kama shati lililoloa. Ni chuki hizo hizo kutoka kwa watu wale wale zilizopelekea risasi zaidi ya 30 kushindiliwa mwilini mwa Mh.Tundu Lissu kwa lengo la kumuua. Lakini Mwenyezi Mungu katengua hukumu iliyotolewa na hao mashetani na kwa sasa hali yake inaimarika.

Hii hali imeleta sintofahamu kubwa kwa watu kama [B]Nyani Ngabu[/B]...toka tukio limetokea hatulii na idadi ya mada alizoanzisha humu JF ni ushahidi wa utetezi wake dhaifu. Kama panya anauma na kupuliza kuondoa wingu lililotanga kugubika hisia za uhusika wa jamaa zake. Kiwewe kizito kimewakumba waliopanga, kuratibu na kutekeleza jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Lissu...tuzidi kumuombea Mh. Lissu.

Wewe ni mpumbavu kabisa.
 
Sisi tunaendelea na kazi tu...uhanaharakati weka pembeni
0e6f35a7140547d583483fbf012db968.jpg
 
..nakuunga mkono 100%.

..binafsi sikupenda alivyotumia jina "Frankeinstein" ktk sentensi moja na jina la Tundu Lissu.

..lakini wakati mwingine inabidi uvumilie tu ktk kuchanganyika na hawa vijana wa Lumumba.

Oh please. You are just as stupid.

Nimetumia mfano wa Frankestein metaphorically.

Lakini kwa sababu ya upumbavu wenu mna spin hoja yangu.

Pumbavu kabisa.
 
Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,

Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
umeeleweka mtumwa wa shetani
 
Wewe ni mpumbavu kabisa.

..Mzee mwenzangu nadhani umeteleza kiduchu ktk heading ya bandiko lako.

..Hata mimi sijapendezwa na jina "frankeinstein" lakini nimevumilia tu hivyo hivyo.

..kama itakupendeza naomba urekebishe hoja yako tuendelee na mjadala.
 
Oh please. You are just as stupid.

Nimetumia mfano wa Frankestein metaphorically.

Lakini kwa sababu ya upumbavu wenu mna spin hoja yangu.

Pumbavu kabisa.
Mimi nimemwita Tundu Yesu.

Naona walokole hawajaniona bado.
 
Ni swala la mtazamo tu, wewe kwako Tundu Lisu ni muhimu kwangu siyo, ni Binadamu kama wengine tu, hata wale wana CUF waliokuwa wanatoka Dodoma nakufariki kwa jali ya gari mlishamgilia hapa, Watanzania waliokuwa wanapigwa risasi Kibiti pmj na Askari wetu mlikuwa mnashangilia hapa, Wenyeviti wa CCM wa Vijiji waliopigwa risasi hamkuonyesha Ubinadamu wowote ule ambao leo hii mnautaka Dunia nzima iuonyeshe kwaTundu Lisu, hata mpaka Wabunge wenu Bungeni walikuwa wanawakejeli, sasa iweje nyine mnataka kumlazimisha kila mtu awe na huzuni kwa Tundu Lisu, kama wewe una huzuni poa hiyo inatosha lkn usitake kulazimisha kila mtu, after all huzuni ni swal an mtazamo!
Wabunge wa UKAWA waliomba bunge lisimame na kujadili hali ya mauaji Kibiti, je nafasi ya mjadala huo ulipatikana?! Unajitia huoni bure kabisa wewe?! Hizi itikadi hazitakusaidia chochote zaidi ya Tz kuendelea kusota mkiani
 
Lisu kawashinda kichwani ndo maana kila kumkamata kulikuwa hakumpati na hatia,shetani kaona short cut ni kumuua tu,akidhani ataepusha kero
 
Wabunge wa UKAWA waliomba bunge lisimame na kujadili hali ya mauaji Kibiti, je nafasi ya mjadala huo ulipatikana?! Unajitia huoni bure kabisa wewe?! Hizi itikadi hazitakusaidia chochote zaidi ya Tz kuendelea kusota mkiani

Tafuta uzi unaongelea ajali ya wana CUF waliofariki wakitokea Bungeni, halafu uone chadema walivyofurahia, tena kama ushahidi utaona majina ya hawa hawa wanaolazimisha kila mtu awe na huzuni na Tundu Lisu walivyokebehi na kufurahia vifo vya Binadamu wengine, kama nilivyosema huzuni ni swala la mtazamo tu, kama wewe una huzuni na Tundu Lisu sawa hamna tatizo lkn siyo lazima kila mtu awe na huzuni kama vile ninyi ambavyo pia hamkuwa na huzuni na wana CUF waliofariki kwa ajali ya gari, ni rahisi kihivyo tu!
 
Ataendesha harakati zake kwenye wheelchair
Wheel chair,
Unaumwa vilivyo chooni we we,
Jamaa yupo salimini bin salaaaama,
Mmeshikilia rambirambi mmeona kifo hakimpati mmeanza kumuwazia ulemavu,
Napo Mungu atawaaibisha
 
Ukiwa mfuasi wa ccm kichwani kunabaki ombwe (vacum), empty headed
 
Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,

Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Kama alivyowashangaza watu wa kawaida na madaktari kuendelea kuishi hata baada ya kupigwa mwilini zaidi ya risasi 10 na kupoteza 80% ya damu yake, TAL atawashangaza tena mtakapomwona akitembea.

Risasi ambayo itamfanya achelewe kutembea ni ile aliyopigwa kwenye nyonga. Lakini watu hufanyiwa total replacement, na baadaye, baada ya mazoezi ya muda fulani, hutembea tena.

Baada ya hatua hii, yawezekana akawa dhaifu wa mwili lakini atakuwa ni mwenye nguvu zaidi kisiasa. Wait and see.
 
Suspect no. One yuko kimya, wakati kila mtu anamfahamu
 
Back
Top Bottom