Unakumbuka chopa 5 kata 3?
Unaweza kuniambia nini kilitokea mpaka usemi huo ukatokea?
Hivi kwanini tunajidanganya hata nafsi zetu?
Lisu hapati zaidi ya 20% ya kura.
Achilia mbali wabunge ambao mkifikisha 15 mshukuru Mungu
Nyani kama Nyani😀Nyani Kama Nyani ni mtu mwenye akili sana. Shida yake ni pale ungosha unapomuingiaga kichwani, hapo ndo anajitoaga sana ufahamu.
Akiweka pembeni ukabila na ukanda, Nyani ni great thinker wa kiwango cha juu sana!!
Huu uzi ni wa 2017 MzeeMtoa mda alitakiwa aandike hii facts way back to 2017 not now. Nyani Ngabu ni mzushi sana. Lkn siyo haba kwa yeye ku-disclose ya moyoni kwake against TAL kupitia hii post yake.
Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,
Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
CCM imechokwa nchi nzima tunajua mtaiaba hadharani ila siku zenu zinahesabika[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu oktoba siyo mbali!
Najua ni ngumu sana kwa mfuasi wa chadema kukubali kwamba tutashindwa! Hicho kichaka cha tume huru kipo miaka yote ndio mnajifichaga hapo!
Basi tufanye Lisu ni zaidi ya tume huru na atashinda urais huu wa oktoba kisha kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tz, akiwa na robo tatu ya wabunge wa bunge la jamhuri.
Usiku mwema mkuu.
Mkuu tindo, kwanza nikupongeze kwa kuwa mfuasi kindakindaki wa CHADEMA na hasa Lissu. Hongera za dhati.
Je, unamshauri ajiandaeje, kampeni zikianza, kuhusu mambo kadhaa ikiwemo:
√ Sera na Mikakati mbadala ya maendeleo badala ya kung'ang'ania shutuma dhidi ya Serikali na viongozi wake, hasa Rais Magufuli na viongozi wa dini;
√ Kujibu tuhuma za ufisadi ndani ya chama chake dhidi ya M/Kiti wake, kama zilivyotolewa na zitaanikwa upya, wakati wa kampeni, na wanasiasa waliokihama chama;
√ Ushindani dhidi ya wagombea Urais wa vyama vingine vya upinzani ambao wanatofautiana kwa mbali na jinsi anavyojinasibu kwa wapiga kura, kuelekea kampeni za Uchaguzi Mkuu;
√ Ukimya wa Jeshi la Polisi kuhusu shambulio lilolenga kuondoa uhai wake; na
√ Kesi zake ambazo wadhamini walijiondoa, hivyo kisheria dhamana imefutwa. Isitoshe mara mwisho hakuhudhuria mahakamani kwa kisingizio za kiafya, lakini ameonekana akishiriki shughuli za kisiasa tofauti na hayo madai.
FUMBO MFUMBIE MJINGA ...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu oktoba siyo mbali!
Najua ni ngumu sana kwa mfuasi wa chadema kukubali kwamba tutashindwa! Hicho kichaka cha tume huru kipo miaka yote ndio mnajifichaga hapo!
Basi tufanye Lisu ni zaidi ya tume huru na atashinda urais huu wa oktoba kisha kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tz, akiwa na robo tatu ya wabunge wa bunge la jamhuri.
Usiku mwema mkuu.
Hii post mbona ni ya mwaka 2017. Angalia tarehe iliyotumwa.
Dah Mungu mkubwa kuna waliokoment hivi ona sasa yuko wap na anafanya nn tumshukuru Mungu kwa kila jambo yeye ndo ajuae kesho yetu sio mwanadamuKwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,
Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Mmmh ulisema??? Huyu mtu haogopi tena sijui ni nin mtamfanya mpka aogope tenaJapo watu wengi wanafikiri Lisu atarudi na moto ule au zaidi, lkn mm nakuhakikishia Lisu akirudi atakuwa kama kina Ulimboka!
Jamaa mbona umekazania sana hii? Nani aliesema Dk Slaa na Lowassa walianguka kwenye Sanduku la kura?Nyomi?
Anafikia hata robo ya lile la Slaa 2010 na Lowasa 2015
Hakika hii serikali ya awamu ya tano ilibugi stepu katika namna ya kumkabili Lissu na sasa amekuwa lidubwana ambaye anaweza asidhibitike tena.
Ni muda tu ndo utaotueleza.....
hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Amini ninachokuambia, Lisu hapati zaidi ya 20% ya kura!
Tafadhali muondowe mama yetu Samia kwenye hilo kundi, huyu mama ni mama kweli, hata Nairobi alikwenda hospitali kumjulia hali shujaa Lisu.
Mama Samia siyo dhalimu.
Huenda akisemacho kikawa tofauti .Mkuu maneno yako mengi huwa ni tofauti na matokeo,, hili nalo huenda likaja kuwa tofauti na matokeo
Acha tujipe muda
Huenda akisemacho kikawa tofauti .
Hakika hii serikali ya awamu ya tano ilibugi stepu katika namna ya kumkabili Lissu na sasa amekuwa lidubwana ambaye anaweza asidhibitike tena.
Ni muda tu ndo utaotueleza.....
Hahahaaaa 🙏Hakika uliona mbali Baba Kabula.
Ungeweka wazi vigezo vya ushindani halali tujadiliane.Hiyo October ipo kila mwaka, nothing special, ila sio kwa kura. Sio lazima Lisu ashinde, ila kama ushindani ni halali na sio wa utashi wa Magufuli, hata akishinda sio ushindi wa kutambia. Kinachofanya ccm iwe na viti vingi vya ubunge sio kukubalika sana, bali ni mfumo mbovu wa uchaguzi, ambao hata mtoto mdogo anajua fika muundo wake sio sahihi kwa ushindani.