Tundu Antipas Lissu



Unashangaa nini?
Si yeye mwenyewe alitamka na kukana kushiriki kumleta Lowassa?
Mbaya zaidi amekwenda mbali kwa kuongeza mambo mengi yasiyo ya lazima.Kutofautiana katika jambo ni sehemu ya hulka ya Binadamu.yeye kadai ameleza ukweli mtupu na lisu kaeleza Ukweli mpaka kiasi chake na kaacha swali nyuma kwa Dr.Kumalizia majibu.

Kusema kweli kama mtu mzima kutolea maelezo kuachana kwake na Siasa ilikuwa jambo lake mwenyewe na Mwenyekiti kusema kuwa Dr.kaomba kupunzika ilikuwa Kauli yenye staha kubwa. Sasa yeye kutumia Kauli za vijana ya majukwani kujibu Chama as if Matusi na kejeli zilikuwa zimetoka kwa Viongozi wa Chama si haki hata Kidogo.

Ndiyo maana sisi wengine tulishauri Dr.akae kimya au angeishia kwenye kueleza Ukweli kuwa walishindwa kuelewana na yeye sasa Siasa Basi-na Kama anataka na kuamini atafanikisha jambo kupitia Uanaharakati basi ajikite huko kwa namna ambayo haitaonekana yuko kwenye siasa.
 
Msanii we tuite mtakavyo msimamo upo pale pale.Propaganda za kuendeleza ufisadi mwaka huu no.Kuzungumzia kwaherini CCM.
 

Hatari sana!!
 
Mkuu Msanii unajua walinzi wa Dr Slaa wanalipwa mshahara na CDM so move yote ya Josephine waliona na wakatoa taarifa kwa mwajiri ambae ni CHADEMA makao makuu.

Suala la kumchunguza au kufuatilia maisha ya Dr Slaa ni wajibu wa CDM wanaolipa walinzi,nyumba,gari / usafiri na gharama zingine.Kumbuka Dr Slaa kavuta mshahara wa mwezi July 2015 anatumia gari la chama na nk.
 
Last edited by a moderator:
Lowassa you need to prove to thinkers that you are not a Fisadi as allegations are continuing encumbering your name and destroying your integrity day after day.

Lowassa, you have failed despite repeated demands to address said allegations but wantonly disregard them as abortive. It is hard if not impossible to trust a person with such behavior of dismiss syndrome.

Please, Lowassa, prove to us that the allegations encumbering you are frivolous by giving us impeccable evidence which are pristine.
 
mkuu uchaguzi 2010 tulikuwa wote humu JF ! ulikuwa umekunywa maji ya BAVICHA ... sasa umeona rangi zao halisi ...
 
Afadhali hata wana ccm kuliko ninyi mnaoshabikia UAKWA chama ambacho hakipo. Na ujue si kila asiyeshabikia majibu yasiyo na msingi ni ccm, kuna wana chadema wanaokwazwa kuona chadema inaongozwa na watu waliosema wanajiunga na UKAWA lakini ndiyo wasemaji wakuu wa chadema
 

hivi too late ndo nini? kampeni si zimeanza wiki moja tu, bado zaidi ya siku 50, pia DK Slaa kasema kabisa aligoma tokea mwanzo, wakakataa na kuamua kuendelea, maana yake hata angesema bado chama kingendelea na mipango yake, kwa hiyo kwa wananchi wala hajachelewa maana muda wa kupiga kura bado sana.
 
Mkuu Tundu Lissu naye keshachafuka baada ya kuwakaribisha wachafu,unadhani Tundu atasema nini zaidi ya kumtumikia boss wake mpya,walamba viatu sio malofa tu hata wasomi pia
 
kwa jinsi ilivyo kuna watu wameshaamua kutotumia akili zao.
Hapa ni primitive brain ipo ktk kazi, cerebral cortex haijawa engaged kabisa.
chadema inajengwa na makundi makuu mawili, wanaolipa kisasi na waliokosa fursa, so kila mmoja anahisi kuwa nafasi yao ndio hii, sidhani kama utasikilizwa.
analysis itafanywa baada ya uchaguzi lkn sasa mihemko ndio inayoongoza, na tegemea matusi zaidi kwa watu waliokata tamaa kuliko mtu kutafakari hoja zako.
undecided voters wanaweza kuksikiliza na kumake sense ktk thread yako, so usijifikirie vibaya kama ukitukanwa na good thing ni kuwa wanaousoma uzi wako wapo wengi kuliko walioujibu. viewers ambao hawajarespond wengi wao sio hao wenye mihemko maana kwa wale wenye mihemko kujibu huwa ni automatic *kumbuka primitive brain ikiwa kazini huwezi kuacha kureact with emotions.
ukiwa na hoja nyingine ya msingi usiache kuizungumza kwa kelele za watu wanaotumia vibaya mawasiliano
 
kwahiyo ww ujinga wa fikra na umasikini wa mawazo chanya ndo umetulelea na kuandikaaaaaaaa hadi vidole vimekuuuuuma kisa nn???
treni haina Reverse
 
Sisi na Lowasa mbio mpaka ikulu
 
Naona tu miandishi bila hoja ya mhimu!
 

UMENENA MKUU...MATUSI YA VIJANA WA VIROBA WA CHADEMA YASIKUSUMBUE! #HapaKaziTu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…