Tundu akifanya utundu wa kuchinja

Tundu akifanya utundu wa kuchinja

bhageshi

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
264
Reaction score
101
Sipata kuiona hii humu JF kama imo mtanisamehe kuirudisha tena, ila binafsi nimeipenda sana tubishane kwa hoja lakini mwisho wa siku tuwe marafiki. wanarushiana madongo wakati wa kazi baada ya hapo ni kujivinjali tehetehetehe......

</SPAN>

</SPAN></SPAN>​
 

Attachments

  • Bunge-1.JPG
    Bunge-1.JPG
    35.4 KB · Views: 299
  • Bunge-2.JPG
    Bunge-2.JPG
    36.8 KB · Views: 274
Hakika huyu ni Tundu na utundu wa kuchinja!

halafu sijui Tundu anatafuna nini mdomoni?
 
Tundu magoma yote yaliyomo Mjengoni anaangukia kwa kikongwe hichi hata kama ni kucheza.....Tundu angemuachia Wasila
 
ha ha..mama kapata dogodogo..
ila amejitahidi kuoneka kijana...
safi sana..
 
Tundu magoma yote yaliyomo Mjengoni anaangukia kwa kikongwe hichi hata kama ni kucheza.....Tundu angemuachia Wasila

Hapana, nadhani alikuwa nalengo la kufikisha ujumbe siasa sio vita, tufanye siasa kwa maendeleo ya Taifa lakini nje ya siasa ni marafiki na amani itadumu.
 
Tundu magoma yote yaliyomo Mjengoni anaangukia kwa kikongwe hichi hata kama ni kucheza.....Tundu angemuachia Wasila

Naona umesahau kwamba daima Gari bovu huvutwa na gari zima . Tundu yuko sahihi kabisa hapo na hata mama amefurahi
 
Sipata kuiona hii humu JF kama imo mtanisamehe kuirudisha tena, ila binafsi nimeipenda sana tubishane kwa hoja lakini mwisho wa siku tuwe marafiki. wanarushiana madongo wakati wa kazi baada ya hapo ni kujivinjali tehetehetehe......



​

hakumvunja kweli kiuno hapo?
 
Hapo anampoza tu si unajua mjinga mpe cheo halafu muonyeshe unampenda huku unamuadabisha
 
Back
Top Bottom